bajaji

Bajajirao Mudhoji Naik Nimbalkar was a Maratha nobleman and sixteenth Raja of Phaltan Jagir during 1644-1676. He was sardar of Deccan Sultanates and Maratha nobleman.

View More On Wikipedia.org
  1. NJOMBE: Watu wanne wajeruhiwa baada ya simu kulipuka ndani ya Bajaji, Julai 24, 2022

    Watu wane wamenusurika kifo baada ya kutokea mlipuko mkubwa uliyosababishwa na simu ndani ya bajaji yenye nambari za usajili MC 567C JK-TVC katika barabara ya Njombe -Songea . Akizungumzia tukio hilo kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema mkasa wa betri kulipuka umeleta...
  2. M

    SI KWELI Bodaboda na Bajaj zapigwa marufuku kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam kuanzia Aprili 21, 2022

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo.
  3. Iringa: Dereva Bajaji atupwa Jela maisha kwa kumbaka mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemhukumu kifungo cha maisha na fidia ya shilingi milioni 7 dereva wa Bajaji, John Umbo (20) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike wa miaka 10. Imeelezwa kuwa siku ya tukio Mei Mosi, 2021 alimrubuni mtoto huyo na kumpeleka kichakani ambapo...
  4. Natafuta bajaji ya kuleta hesabu Dodoma

    Habari wapendwa, Niko Dodoma natafuta bajaji ya kuendesha na kuleta hesabu niko Dodoma. Naomba mwenye connection tuwasiliane.
  5. Igoma-Mwanza: Bajaji ya mizigo inauzwa

    Bajaj ya mizigo inauzwa. Milioni 3 tu kampuni wanhoo Nzima na iko kijiweni mpaka sasa inapiga kazi Eneo: Mwanza Ndama/igoma Piga simu; 0713096076 Nje ya mada: Chukua tahadhari, usitumie hasira kufanya maamuzi. Risasi saba sio suluhu ya matatizo
  6. Nani yupo nyuma ya project ya kulipa bajaji zilizobandikwa picha za Rais Samia?

    Wakuu, Kutokana na uchunguzi wa kuaminika kuna Bajaji zilizobandikwa picha za mheshimiwa Mama yetu hapa Dar es salaam maeneo ya ilala, kinondoni, Temeke na maeneo mengine na wahusika wamekuwa wakilipwa KWA mwezi 70000/= KWA kinondoni,30000/= ilala na maeneo kama temeke na kwingineko!je malipo...
  7. Dar: Walemavu Wamkataa Waziri Bashungwa, wataka atengue tamko la bajaji na bodaboda kufanya kazi mjini kati

    WALEMAVU, BODABODA WAANDAMANA WAKITAKA WAZIRI BASHUNGWA KUTENGUA TAMKO LAKE*. Kufuatia katazo wa Waziri wa TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa kuhusu sakata la bodaboda na bajaji kuingia mjini, Walemavu na Bodaboda wameandamana mpaka ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam wakishinikiza Waziri...
  8. B

    Daniel Chongolo: Bodaboda na bajaji hawawezi kuondolewa katikati ya jiji la Dar es Salaam

    CHONGOLO: BODABODA NA BAJAJI HAWAWEZI KUONDOLEWA KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo Kwa upande wa zoezi linaloendelea la kuwapanga watu wa bajaji na bodaboda mkoa wa Dar es salaam kuwa watu hao, hawawezi kuondolewa katikati ya jiji hilo...
  9. Kanusho: Bodaboda na Bajaji hawajapigwa marufuku kuingia katikati ya Jiji kuanzia Alhamisi 21 Aprili, 2022

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania imewatangazia kuanzia kesho Alhamisi bodaboda na bajaji zote hazitaruhusiwa kuingia katikati ya Jiji hilo. ================= TAARIFA HII IMEKANUSHWA DAR: BODABODA WAPEWA VITUO 9 MJINI Baada ya kudaiwa bodaboda na Bajaji za biashara...
  10. Bariadi: Watu 7 wafariki katika ajali iliyohusisha Bajaji na lori

    Watu 7 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kutokana na ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lenye namba za usajili T172 AUP, ambalo liligongana na Bajaj yenye namba za usajili MC 426 CFQ. Watu saba wamefariki dunia na wengine nane wamejeruhiwa katika ajali iliyohusisha Lori kugonga...
  11. K

    Nadhani jeshi la polisi mnakosea kukamata Bajaji na pikipiki; hawa Watu wanatafuta riziki walishe familia mnapanda chuki

    Jeshi la polisi KAZI mnayofanya Sasa hivi inatia kichefuchefu hasa Kwa mtu anayetambua ugumu wa maisha uliopo. Kukamata pikipiki na Bajaji Katika Hali hii ya ukata nikudhibiti Watu wasitafute riziki. Mmewanyima vijana ajira ya pikipiki na Bajaji matokeo yake wizi umeshamiri Kwa Kasi kubwa Sana...
  12. INAUZWA MWANZA: Nauza Bajaj kwa bei ndogo

    NUNUA BAJAJ UPEWE NA DEREVA WAKE BURE... Mwanza 0713096076 Nauza bajaj za kila aina!! Bei nzuri tu kuanzia mil 3 mpaka milioni 5 mwisho. zote ziko vijiweni zinafanya kazi MTEJA SERIOUS PIGA SIMU...
  13. INAUZWA Subwoofer za magari na bajaji zinapatikana hapa

    Subwoofer yenye Amplifier ndani -Inch 10' -Watts 1000 -Mdundo kama wote[emoji344][emoji344][emoji344] Kwa ajili ya Gari[emoji593] lako au Bajaji Zinapatikana Bei 100,000/= Delivery ipo Ukihitaji kwa Waliopo Dar, Mikoani Tunatuma Pia WhatsApp & Calls 0714122948
  14. Wakuu, natafuta Bodaboda au Bajaji ya kuendesha kwa mkataba

    Salaam wakuu, Mimi kama kijana nimekuja kwenu Kama Vile mama Samia alivyotuhasa kuwa kazi zipo nyingi mtaani. Mama anakazia hapa Vijana tujishughulishe sasa mimi nimechagua kuwa dereva wa boda au bajaji. Yoyote ambaye anatafuta dereva wa kumkabizi chombo nipo hapa. Location: Mwanza, Nyegezi...
  15. Waziri Mkenda awataka DIT waanze kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameitaka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kujitanua zaidi kwa kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki. Ameyasema hayo Januari 28, 2022 Jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea Taasisi hiyo ili...
  16. Nina milioni 8 nifanye kipi kati ya kununua bajaji au kununua gari kwa ajili ya Uber na Bolt?

    Habari za mda huu wana JF nimejichanga hatimaye nimefanikiwa kufikisha 8m cash binafsi nimewaza vitu viwili kichwani chakwanza nifungue duka la spea za magari au pikipiki na akili nyingine inaniambia ni nunue gari kwajili ya Uber na Bolt. Nipo hapa nduguzangu kupokea maoni tofauti naamini hapa...
  17. INAUZWA Bajaji inauzwa Kilimahewa, Mwanza

    Bajaji haina shida yoyote Karibu 0713096076 Kilimahewa, Mwanza Bei: 3 milioni tu mil only.
  18. M

    Nahitaji kuendesha bajaji ya mkataba

    nahitaji bajaji ya mkataba wakuu... Nipo Tabora lakini nina uenyeji Dsm na ninaweza nikaja kufanyia kazi popote bajaji itakapo patikana. 0716611090
  19. K

    INAUZWA Nauza Bajaji ya TVS King

    Habari zenu, nauza Bajaji ya kijani Aina ya TV's king, iko mikocheni na iko kwenye Hali nzuri Sana na inavibali vyote na inafanya kazi to a Uber na bolt. Bei ni milioni mbili na laki nne (2.4 million). Mawasiliano 0620704530. NB- Hii ni Bajaj yangu hivyo haina udalali.
  20. Dar es Salaam: RC Makalla azuia utekelezaji wa amri ya kuzuia bodaboda na bajaji kuingia city center

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amezuia utekelezaji wa zuio la Bodaboda na Bajaji kuingia mjini hadi atakapotoa tamko jipya baada ya kikao chake na Uongozi wa Bodaboda, Jeshi la Usalama Barabarani na Uongozi wa Jiji la Dar es salaam. Mapema leo Mkuu wa Usalama Barabarani Kanda Maalum...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…