Katika purukushani za maisha huku na kule, kuna kipindi nilishawahi kukamatwa na kuwekwa ndani
Kesi yangu ilikuwa bado inaendelea, lakini ndani ya moyo wangu nilikuwa naamini kwamba, kwa namna yoyote ile, ipo siku nitatoka. Changamoto kubwa ilikuwa hata kuwafikishia wazazi taarifa kwamba...