bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Wajumbe wa MCC Kawe ina maana hata hapa 'JamiiForums' mpo pia na bado tu 'Mnanisagia Kunguni' Mwanenu?

    Wajumbe wa MCC Kawe kama mpo pia na hapa JamiiForums naomba nichukue nafasi hii kuwatakeni radhi kama kuna nilikowakosea ili mnisamehe na nyota yangu ya kukubalika irejee kwa Jamii. Kwani kama kuna sehemu ya kipekee ambayo mara kwa mara nimekuwa nikitamba kuwa nakubalika, ni maarufu na mimi...
  2. Wanawake punguzeni masharti ili muolewe

    Habari za boxing day wana JF. Mwaka ndio huo unaelekea kupinduka na inshallah Mwenyenzi Mungu atujaalie wote neema tuvuke salama salimini! Vp kwa wale dada zetu ambao bado wanaendelea kukataa wanaume na kusubiri Mr. Right guy, mwaka unaisha bado upo single unazidi kuzeekea nyumbani na...
  3. Mnaohangaika Kunichafua katika Shindano Jukwaa la Sports nikishinda au nikishindwa bado nitashukuru Mungu

    Kama Wewe hujawa au siyo miongoni mwa Wawania Tuzo na labda Ulitegemea kuwepo huna haja ya Kumalizia Hasira zako Kwangu GENTAMYCINE kwa Kunitukana na Kunidhalilisha. Kwangu Mimi GENTAMYCINE kuwepo tu hapa kwa Wapigiwa Kura ni Ushindi tosha Kwangu na nawashukuru Walionipigia Kura, Watakaonipigia...
  4. Kiufundi bado naiona Yanga SC ni bora kuliko Azam FC na kwamba ina 85% za kushinda leo

    Ukiwatizama Yanga SC katika kila Idara na kuangalia Fitness yao hasa kwa Mchezaji mmoja mmoja na ukawalinganisha na wa Azam FC na current performance yao ambayo ni ya kusuasua bado nawaona Yanga SC si tu ni favourite katika Mzizima Derby ya leo bali pia ni Title Contender ambao nilishasema (japo...
  5. B

    Sala humtoa mtu kwenye maovu na kumuweka katika mema. Kama unasali na bado unafanya maovu sala yako ni sifuri

    Huwezi kuwa unasali halafu unaendelea kufanya uovu. Ni heri upumzike maana Sala yako haina faida. Nawasilisha.
  6. E

    Inahitaji kuwa mjinga na kichaa kilichokubuhu kuendelea kuamini eti CCM italeta maendeleo!

    Miaka zaidi ya sitini, nchi bado hata haieleweki ni lini itaondokana na uchumi tegemezi licha ya kuwa na kila kitu. Kitabu cha mwanzo kwa wasomaji wa Biblia, nyoka alitambulika kama nyoka tuu, lakini kitabu cha ufunuo, nyoka anatambulika kama JOKA kwa sababu moja tu, nyoka, hakushughurikiwa...
  7. Nimemtizama huyu Mshambuliaji Mghana Opoku na Kugundua hata bado hajafikia 50% ya uwezo alionao Manzoki

    Mwekezaji Mohammed Dewji, CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah Mhene 'Try Again' wana Simba SC hatutowaelewa kama hatutalisikia Jina la Mshambuliaji Kiboko ya Mayele aitwae Manzoki. Msajilini haraka Ceaser L.obi Manzoki.
  8. Mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani bila kumuudhi January, miezi 3 sasa bado hajapata njia sahihi

    Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa. Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja...
  9. Kama una ndugu yako amekufa lakini bado anaishi njoo hapa

    Kuna watu wana ndugu zao wanaishi nao Majumbani lakini tiyari wamekufa Je, mnajua mnabidi kufanya nini?
  10. Kumbe Urusi walipokea msaada wa silaha kutoka Korea Kaskazini na bado wakashindwa!

    Supapawa anazidi kutia huruma, amesaidiwa na Syria, Iran, Korea Kaskazini, wafungwa kwenye gereza zake wakiwemo baadhi ya Waafrika, ameokoteza hadi wanywa gongo mtaani ila bado anapigwa tu. WASHINGTON - ;North Korea has delivered arms to Russia's private military group Wagner, the White House...
  11. B

    Kumbe umeme mikoani bado kizungumkuti?

    Niko ukweni kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka. Hali ni mbaya. Umeme hakuna masaa 12 kwa siku. Yaani ni mwendo wa 0700 - 1900 kila siku. Siku niliyofika nilidhani ilikuwa kutuwezesha nchi nzima japo kumwona Messi akichukua kombe baadaye usiku. Kumbe hola! Kumbe haya ndiyo maisha ya...
  12. Inashangaza kuona Naibu Waziri anaeshutumiwa kuwaamuru askari wa uhifadhi wawaachie ng'ombe waliokamatwa bonde la Ihefu bado yupo ofisini

    Salaam wanajamvi, Juzi kulikuwa na mkutano ulioitishwa na wahariri wa vyombo vya habari mkoani Iringa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mh Makamu wa Rais. Mkutano huu dhima yake mahususi wahariri walilenga kumpatia Mh Makamu wa Rais taarifa juu ya kile walichobaini nini chanzo cha kukauka kwa...
  13. S

    Bado sijaelewa jambo moja: Hivi tunataka kuendesha SGR sambamba na reli ya zamani?

    Kuna kila dalili kwamba SGR itakapokamilika bado tutakuwa na reli ya zamani ikitoa huduma. Hapo mwanzo nilifikiri kwamba reli ya zamani itaendelea kutoa huduma kwa matawi ya Tabora - Mpanda, na labda Dar -es Salaam kwenda Tanga, Moshi na Arusha, ambako sijasikia lolote juu ya kuwepo kwa SGR...
  14. Akili za watanzania wengi bado hazipo tayari kupata maendeleo

    Sijui shida ni elimu au vip. Mfano mdogo sana nilijaribu kwenda kununua kiwanja maeneo mawili tofauti katika mikoa miwili tofauti. Kilichonishangaza ni kwamba, unakuta muuzaji wa kiwanja, au mmiliki amegawa hivo viwanja kwa style ambayo mpaka unaweza kujiuliza 'hivi huyu mtu ni kichaa?'...
  15. Mkuu wa Wilaya ya Songwe bado yuko kazini?

    Merhaba! Wakuu Kuna vitu kwenye hii nchi vinakera na kuchukiza sana na kuumiza inakuaje mkuu wa wilaya moja nchini ya songwe eti bado yuko kazini mpaka sasa japokuwa ana tuhuma nyingi mojawapo ni kufanya ukatili wa kijinsia kumpiga mwanamke au msichana na kumjeruhi still mpaka sasa yuko ofisini...
  16. Drones tiza za Iran zapigwa chini Ukraine, Mrusi bado haamini ameishiwa kete

    Mrusi bao anajaribisha bahati, hizi drones zimeishiwa umuhimu wake, wataalam walishazisoma na kuja na mbinu za kuzishusha....zimepigwa tisa...takbir Nine Iranian-made Shahed drones were shot down early on Monday in Kyiv's airspace in the latest attack by Russia on the city, the capital's...
  17. Je, Messi akikosa Kombe La Dunia Atakua Juu ya Cristiano Ronaldo?

    Habarani Wapenda Michezo. Naomba niseme mapema mimi ni shabiki wa Ronaldo the Boy from Madeira CR7 shabiki Kufakufa. Hio haimanishi siwez kusema mazuri ya Messi NO, MESSI is so F*ck*ng Talented Kabisa. Nirud kwenye Mada. Leo ndio ndio ile siku Maalum. Macho Mengi yapo kwa Messi. Dua Nyingi...
  18. Video za kibongo uhalisia bado sana, Meja Kunta umechemka

    Iwe ni wewe ama director, mtu anaigizia kama Rubani halafu anavaa kofia ya Polisi?
  19. Bado sijapata mwenza

    Habari za majukumu, Nimewah Kupost hapa kutafuta Mwenza lakini bado sijapata na naendelea kuwa mpweke wa mahusiano. Mimi ni mwanaume wa miaka 35, mferu kiasi sio mnene sio mwembamba, nafanya biashara za kawaida na naishi maisha ya kawaida. Najua kupenda na napenda kupendwa pia. Nitafurah...
  20. Vouda Mlijua Mkinitaja Majina yote Kuniwishi Birthday ndio Ntalipa Deni. Thubutu na Mkome Na Bado Mpawa Silipi

    Hahahaaa mwenzenu si nikatajwa Kwa midoido yote na vouda kujipendekeza huko wakajibetua Kuniwishi Birthday eti Fulani bini Mwanzenzele Rugaimukamu we wish you a happy birthday ndio ntahamaki nijitwishe niwalipe deni lao. Mmenitesa sana makato ya Tozo za simbanking za muamala na uhuni wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…