bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Serikali ilihudumia ununuzi wa umma wa Tsh. Trilioni 19.90 kwa miaka mitatu (2022/23–2024/25), lakini changamoto za uwajibikaji bado zipo

    Ripoti ya Uwajibikaji wa Ununuzi wa Umma ya Mwaka 2024/25, iliyoandaliwa na WAJIBU na Policy Forum kwa kutumia ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG Mwenendo wa Uwajibikaji Katika Ununuzi wa Umma kwa Kipindi cha Miaka Mitatu 2022/23 hadi 2024/25. Uchambuzi wa ripoti za...
  2. A

    KERO Ulyankulu - Tabora panakua lakini huduma ya barabara na maji bado ni changamoto

    UJUMBE KWA VIONGOZI WETU — ULYANKULU INAHITAJI MAENDELEO YA KWELI Kwa heshima kubwa kwa viongozi wetu wa Serikali, Mkoa wa Tabora na Wilaya ya Uyui, tunaomba suala la barabara ya Ulyankulu na upatikanaji wa maji lipewe kipaumbele. Ulyankulu inaendelea kukua na kuwa eneo muhimu kwa shughuli za...
  3. Watanzania tulitegemea tusikie uchaguzi wa Rais mpya wa TLS sasa mbona kimya, sasa tutafanyaje uchunguzi wa tuhuma wakati mhusika bado yupo ofisini?

    Chama Cha Tanganyika law society (TLS) kilianzishwa na kulindwa na Sheria namba 307 (The Tanganyika law society act, 307) MLEZI wake mkuu akiwa ni serikali hivyo basi TLS si Mali ya mtu ni Mali ya serikali iliyoundwa kisheria, serikali inaangaza utendaji wa Kila siku wa TLS. Matukio ya Rais wa...
  4. Ufaransa wamejifunza Tanzania bado kuzima internet tu.

    Watanzania wa October 29 waliifundisha dunia namna ya kufungua vichwa na masikio ya viongozi vilaza wasiotaka kusikiliza Kero za wananchi masikini. CCM wakiendeleza ukilaza wa kuwalea ccm mtandao basi mwaka 2030 itakuwa mara 20 ya kinachoendelea Ufaransa na Ulaya yote.
  5. Inchi bado imevimba acheni kiburi mapokezi ya miss grand wanainchi hawana habari

    Kuna usemi wa kiswahili unasema kibaya chajitembeza kizuri cha jiuza haya angalia hayo mapokezi unaona watu wa tabaka moja hatuoni wale wenzetu wasio na viatu unga unga mwana walisukumwa na tukio zaidi tunaona kundi furani liliotoka nyumbani likavaa na kupendeza ajiri ya tukio maana yake nini ni...
  6. Kero: ABC Bus ya Mbeya bado ni hovyo kabisa

    Wakati ulimwengu ukienda haraka, na watu wengine wakiangalia namna ya kuongeza ufanisi na kupunguza maudhi, Tanzania naona bado sana tunapiga marktime. Yaani gari tumekata ticket, inayoonesha saa 1830 inawasiri ila hadi saa 2015 bado haijaja. Na wahusika wakiulizwa jibu ni rahisi kabisa...
  7. Je! Zile hela za Donation za kulisha mkutano mkuu wa chadema bado zipo? Maana naona CHADEMA Kuna UTAPELI mwingine wanataka waucheze kupitia Pambalu

    Watanzania shitukeni Kuna UTAPELI mkubwa sana ndani ya chadema, mpaka sasa mkutano mkuu haujafanyika ili hali watu walishashangishwa Hela nyng ambazo inasemekana zimeliwa na viongozi wa chadema. kama hela hazijaliwa basi viongozi wa chadema wajitokeze waseme zipo wapi na zipo sh ngapi mpaka...
  8. A

    KERO Watumishi wa Halmshauri ya Wilaya ya Chemba bado hatujalipwa fedha za kujikimu na hakuna majibu kamili

    Habari, hali ya kutolipwa au kucheleweshewa malipo imekuwa kama desturi kwa watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Dodoma. Hakuna hatua zinazoonekana kuchukuliwa kuhakikisha tunalipwa fedha zetu kwa wakati, licha ya kuwa tunatumia fedha zetu wenyewe kujikimu na kutekeleza majukumu yetu...
  9. Bado inatafakarisha: Ilikuwaje Nyerere arithi taifa kwa njia ya kidemokrasia na yeye akaleta udikteta?

    Wale pro-Nyerere wote nawaita humu. Kichwa kinajieleza chenyewe. Ni kweli Nyerere alirithi Tanganyika kwa njia za kidemokrasia kupitia uchaguzi halafu baada ya yeye kuingia kwenye madaraka, akaamua kwa utashi wake yeye binafsi, kuleta udikteta kupitia chama chake cha TANU na baadae CCM. Na huu...
  10. Miaka 27 bila Mwl Nyerere; Je CCM bado inaiishi falsafa yake ya kimapinduzi?

    Leo imetimia miaka 27 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere atutoke October 14, 1999. Moja ya urithi aliotuachia ni Chama Cha Mapinduzi. February 5, 1977, TANU na ASP zilipounganishwa kuzaa CCM mwalimu alisema; “Kuanzishwa kwa Chama Cha Mapinduzi ni kitendo cha watu waliodhamiria kuleta...
  11. Ni sababu zipi za msingi Tanzania huduma za internet ziko juu, majumbani bado huduma za Wi-fi ni chache kuliko Kenya?

    Wanajamvi Kenya ni mashemeji kwahiyo mambo mengi sisi kama Wabongo huwa tunafanya comparison na mashemeji. Sasa nilikuwa na kasafari Nairobi kwa siku kadhaa kuna vitu nimegunduwa ni tofauti sana na kwetu kwaleo nitaongelea huduma za Internet na sample ni Jiji la Nairobi. Hali iliyopo nyumbani...
  12. Hivi Manqoba bado ni kocha wa Yanga?

    Huyu tapeli wa kuitwa Manqoba mngqithi bado ni kocha wa Yanga? Kama bado anasubiri nini? Engineer fukuza haraka sana huyu tapeli before it's too late. Hawezi kuivusha Yanga makundi ya klabu bingwa wala kutetea ubingwa wa NBC. Ameshaonesha si kocha anayetoshea hata kama mechi na Simba...
  13. CCM bado inahitajika Tanzania, hata kama watu wengi wameichoka

    CCM ni old version kwa ajili ya old version people. Watanzania bado sana kuingia kwenye Dunia mpya. Nina mashaka kwamba hawa wahitimu wa masomo ya uhandisi na famasia ambao walipaswa wawe wavumbuzi hawatagundua kitu chochote kipya. Si kwamba hawana akili ila akili zao wamezikabidbi kwa Mitandao...
  14. PostGE2025 Aliyeuliwa na Mungu, Alobaini yake imefika na kupita. Tuliowaua 29/10/2025, bado hatujawaazimishia; hivi tuko seriously?

    Aliyeuliwa na izraeli mtoa roho amefikisha siku kadha na tumesherekea, wale walio uliwa na mapolisi ccm tarehe 29/10/2025 na kuwazika kama mijibwa tupo busy na matume, uku mkinuka dhambi za ukuaji(mfyuuuu)!
  15. PostGE2025 October 29 wengine tulilia sana na tunalia hadi leo! Sasa ni zamu yenu na bado hadi mtakoma!

    Asakri wakilia wakati wakiaga milii ya wenzao watatu tayari kwa kwenda kuzikwa.
  16. Nchi nyingi za Africa wananchi bado ni wajinga sanaaa.

    Ujinga wa wananchi wa nchi nyingi za Afrika hauiishi leo au kesho. Kundi kubwa ni bendera fuata upepo halijui linataka nini. Ni huzuni sana. Akitokea mmoja kuwatetea utasikia wanasema sisi hatuna wala shida ni yeye tuu huyo.
  17. Tanzania bado ni ya 5 duniani kwa maambukizi ya UKIMWI. Usidanganyike na zile chudai za kavu kavu ukaona kawaida kuteleza. Jilinde na linda na wenzako

    Inawezekana kwa VVU kudumu miaka 8 bila kusababisha dalili zinazoonekana na baadhi ya watu huishi na VVU kwa miaka 10 bila kujua kwamba wana VVU. SOURCE: UNIAIDS
  18. EPL, Bundesliga,Laliga,Conference,Europa,Champions League ,Dfb-pokal Alafu bado unakosa Odds 20??? Huu ni mwezi wa kustaafu kubeti ukituliza kichwa

    Hapa sio odds 2 tu ukitulia unatengeneza hata odds 50 mpaka 100 kikubwa focus upande wa magoal. Hasahasa hawa wajerumani wa Dfb na Bundes rahisi kuokota huko Conference unaweza hata kucheza direct na ukaokota odds za kutosha. Weka 10,000 mpaka 50,000, tustaafu game nyingi sana huu mwezi...
  19. E

    Japo tumepiga kelele tukanyamaza bado tunakukumbuka amb. Polepole Mafwele anajitokeza kwenye kadamnasi live.

    Balozi polepole ukiwa hai au umekufa bado tunakukumbuka, tumenyamaza lakini hatujakusahau. Mambo bado ni mabaya sana, Mafwele anaandaliwa kuwa kuwa IGP nafikiri ni namna ya kumlinda.
  20. M

    Kwa zama hizi, kutegemea mkeo hatachepuka hadi kifo ni ndoto za mchana, shukuru kama bado anaweka mipaka inayolinda ndoa, familia na heshima yako.

    Kwa zama hizi, kutegemea kwamba mke hatachepuka hadi kifo ni ndoto za alinacha. Wanawake wengi wanaoelewa walishawahi kuwa na wapenzi; hata ukimuoa bikra, vishawishi ni vingi sana. Ongeza changamoto kwa wanaume kama kisukari, presha, tatizo la nguvu za kiume, stress na majukumu yanayoweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…