bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, unaweza kuwa kwenye uhusiano mpya lakini bado ukawa unaathirika na maumivu ya uhusiano uliopita?

    Nimekuwa nikitafakari jambo hili na nimejiuliza maswali kadhaa. Je, kuna watu ambao tayari wana wapenzi wapya, wanawapenda na wanaendelea na maisha yao, lakini bado wanabeba maumivu, hofu au kumbukumbu za mahusiano yao yaliyopita? Kwa mfano: Bado unaogopa kuachwa tena kwa sababu ya...
  2. K

    Sakata la Shirika la Ndege US bado inatumia diski za floppy katika vituo zaidi ya 400 vya usafiri wa anga

    Katika kufatilia sakata la usimamishwaji wa ndege yaliyotokea jana, kumbe sikujua taifa lenye nguvu duniani lililotolewa kamasi na Iran bado linatumia mifumo ya miaka ya 70 katika uwasilishaji wake wa taafifa za ndege na haliya hewa. Najua vijana wengi wa leo hasa wale waliotoka vijijini hata...
  3. R

    Kumbe bado maandalizi ya ElNino yanaendelea, Tanga bado wanatengeneza njia za pembeni

    Lazima kuhalalisha namna mtakavyo gawana helà. Kweli bado kuna haja ya kutengeneza njia za pembeni ie service road kwa maandalizi ya El Nino?
  4. Urusi na China bado zinaiogopa US. Nimeshangaa wanachofanya China na Russia

    Urusi imeshindwa kuondoa utegemezi wa dola ya Marekani (USD) na kuifanya Yuan ya China kuwa sarafu mbadala katika biashara ya kimataifa. Ngoja nieleze kwa lugha rahisi. 1. Urusi ilitaka kufanya nini? Baada ya Marekani na nchi za Magharibi kuiwekea Urusi vikwazo kutokana na vita vya Ukraine...
  5. Hivi mzazi nawezaje kuruhusu mtoto wako afanye ngono na bado ukataka vijana wafungwe akifumaniwa?

    Mzazi na akili zako timamu unamchoma binti mdogo sindano au unamuweka kijiti mwanao, ukiwa na lengo la kuzuia mimba. Hivi hii na kumruhusu kufanya ngono atakavyo kuna tofauti gani? Ameshajua anachomwa sindano au anawekwa kijiti asipate mimba. Maana yake anao uhuru wa kufanya ngono atakavyo...
  6. Kusini mwa Jangwa la Sahara, watu milioni 900 sawa na asilimia 83 bado wanapika kwa kuni na mkaa #COP31

    Kusini mwa Jangwa la Sahara, watu milioni 900 sawa na asilimia 83 bado wanapika kwa kuni na mkaa, na milioni 600 hawana umeme kabisa. Ukubwa wa changamoto hii ndio unaofanya uwepo wa Rais Samia Suluhu Hassan katika COP31 kuwa na uzito mkubwa kwa Tanzania na bara zima la Afrika. #TanzaniaCOP31...
  7. C

    Umeme ukikatika, CCTV yako bado inarekodi? Wengi hugundua kwa kuchelewa

    Kuna kitu kimoja watu wengi husahau wakiweka CCTV — na mimi nimeona wateja kadhaa wakiumia kwa sababu hiyo hiyo. Unaweka kamera nzuri, DVR nzuri, kila kitu kinafanya kazi. Lakini umeme ukikatika (na sote tunajua hali ya umeme ilivyo), mfumo mzima unazima. Kamera zinalala. Na mara nyingi, ni saa...
  8. Kumbe kuna watu hadi leo walikuwa wanashikiliwa na serikali ya Samia tangu vurugu za October 29,2025?

    My take,Kumbe walituzuga tu wameachia vijana kadhaa wengine wakaendelea kushikiliwa
  9. C

    Nauza Wi-fi bado mpya kabisaaa

    BEI YA HARAKA: Inauzwa Airtel Internet Router (Mpya Kabisa) • Hali: Mpya kabisa (Brand New), imefunguliwa boksi tu lakini haijatumika kutokana na matatizo ya dharura. • Mtandao: Airtel (Inafaa sana kwa internet ya nyumbani au ofisini au wale wanaotaka kuuza internet mtaani). • Bei ya Dukan...
  10. F

    Intuition yangu inaniambia kuwa Polepole yu hai Bado. Tumwombee

    Ni muda Sasa umepita, Kila Nikitaka kuamini kuwa hayupo, hatunae kwamba move on, dhamira yangu Inagoma kuamini jambo hili. Intuition au dhamira ndiko inapotokea sauti ambayo mara nyingi Pascal Mayalla amekuwa akidai kuisikia. Sasa pata picha Tundu Lisu anaungana nasi, Kisha tunakuja pata...
  11. Huyu kiongozi bado anatuona watanzania wote ni wapumbavu kama hiyo mikatuni iliyomzunguka?yaani maccm?hizo barua Lissu alikuwa alimwandikia baba yake?

    Nachukia sana ninapo ona jitu kama kiongosi limezungukwa na misitu,iliyojifunika minguo ya ccm wakisubiri uongo. Yaani leo hio kiongosi unawadanganya hayo maccm yakuwa Tundu Lissu aliandika barua za kuomba msamaha kabisa?ili jitu likoJe na mikengeza hiyo litakuwa pia ni kiziwi? halisikiii wala...
  12. Mya, ana miaka 45 hana mchumba, hana mtoto she is proud of her life

    Mya aishangaza dunia akiwa na 47 hana kila kitu isipokua pesa tu ndio anayo ya kumtosha, na hajali na bado ni mrembo balaaaa
  13. Ujinga zingine ziko kwa DNA 😄 🤣 😂 😆 ni ngumu kuwatoa wafuasi wa huyu kwa huyu .......apeli najua kuna watu bado na hii wataamini 😄 🤣

    UJINGA ZINGINE ZIKO KWA DNA 😄 🤣 😂 😆 NI NGUMU KUWATOA WAFUASI WA HUYU KWA HUYU .......APELI Najua kuna watu bado na hii wataamini 😄 🤣
  14. M

    Bara Kuna Uncle T na Visiwani Kuna Mauzinde: Hii vita bado ni Ngumu

    Nenda kajionee mwenyewe katika Instagram Akaunti zao uone watu wakubwa na Maarufu wanaowa-Follow kwenye Instagram Akaunti zao wenye jinsia ya kiume na wale ambao wao kina Uncle T na Mauzinde wanawa-Follow katika akaunti zao au biashara zao zinazomilikiwa na Wanaume. Ndiyo maana sikushangaa...
  15. Ufaransa inaendelea kutokota bado UK.....

  16. M

    Ni mwaka wa tatu na majukumu yamemzidi bado karidhika na mshahara ule ule! Chunguza vizuri kashaudukua mfumo wa biashara yako

    Na ndio sababu kubwa huwa inawafanya wafanyakazi wengi madukani ama kwenye makampuni kuacha kazi wakishaona bosi anaweka mifumo ya kubana mianya
  17. Hivi Clinical Officer bado anathaminika kweli mtaani kwa elimu yake,?

    Mimi ni Clinical officer mwenye uzoefu wa kutosha, nina leseni hai, nafanya procedure zote kama vile kuzalisha, kushona , kufunga back slab na complete cast, kutoa maji tumboni na kifuani (thoracocentesis & Paracentesis), Kutaili (Male circumcision) na ku assist major surgery thither...
  18. Y

    VIDEO: Leo nimeamini Tanzania na CCM bado tunahazina kubwa ya vijana wanaoelewa ni wapi tunaelekea kama Taifa hasa kwenye kuzitafuta trilioni 2,600

    Wandugu hata kama haumkubali huyu jamaa ila ukweli ni kwamba jamaa anaakili na anapicha halisi ya tunafikaje 2050. 👇🏿👇🏿 UCHUMI WA SHILINGI TRILIONI 2,600. Tanzania imeweka lengo la kujenga uchumi wa dola trilioni moja, sawa na zaidi ya shilingi trilioni 2,600, ifikapo...
  19. B

    Kwa staili hii, CHADEMA bado ina safari ndefu;Wasaliti ni wengi sana kwenye chama, kina Deogratius Mahinyila Amkeni mkitetee chama chenu.

    Kwa kweli yanayoendelea CHADEMA yanakatisha sana tamaa. Chama kimejaa wasaliti ambao wengine hata sisi ambao hatujasoma saikolojia ya binadamu, ukimwona tu unajua huyu ni msaliti. Bahati mbaya, wako hadi kamati kuu ya chama, kuona nani anachangia nini kwenye kikao, ili ashughulikiwe.. Huenda...
  20. Bila kuwa na katiba imara na yenye nguvu Lissu angekuwa bado anaropoka ujinga mitaani

    Mwanasiasa/mwanaharakati chunga sana mdomo wako, chama chako/hao wafadhiri wako ni wadogo sana kuliko nchi ya Tanzania. Tanzania ni kubwa kuliko chama chako kabla hujaongea jua kuwa Kuna Sheria, kama vile Sheria cybercrime act, 2015 na nyingine nyingi ambazo zipo kwaajili ya kulinda maadili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…