baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je system inataka kumvua ubunge Baba Levo ili apewe Zitto?

    Kuna kesi inaendelea pale mahakama kuu masijala ndogo ya Kigoma kuhusu ushindi wa Clayton Chipando a.k.a Baba Levo kuhusu ubunge wake. Kuna tuhuma kuwa ushindi wa Baba Levo ulikuwa na hujuma kwa wapinzani wake wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025. Endapo atakutwa na hatia, Baba Levo anaweza...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali kama baba ije na muswada kuandaa vijana waliofunzwa siasa ya Kitanzania

    Inavyoonekana kwa sasa tumewaachia walami watufundishie vijana wanaoingia kwenye vyama pinzani kuhusu siasa. Madhara yake ni kutengeneza vijana wasio na uzalendo kamili au mirengo yenye siasa kwa maendeleo ya Taifa. Mwanzoni tuliwategemea wastaafu au viongozi waliofunzwa siasa njema kianzisha...
  3. JamiiForums Tanzania Navyozidi kuwa mtu mzima nagundua kuwa mapepo huwa yapo katika jamii duni, ukishafanikiwa utayaita afya ya akili

    UKishafanikiwa utayaita afya ya akili. Utamwaisha mtoto wako milembe mapema mnooo Ukifika kule utagundua afya ya akili ya mwananadamu ni uwanda mpana sanaa wakati huku mtaani afya ya akili inapimwa kwa kiwango cha kuokota makopo na kukimbia sokoni matako wazi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tujadili kauli hii: Baba kupata mtoto ni baraka, kumlea ni wajibu lakini yeye kukutunza ukizeeka usitegemee/usiombe hata kama ana uwezo, ni hiari!

    Hii nimeikuta mahali, baba anaishi maisha magumu ya kimaskini sana, lakini mtoto wake ni milionea! Baba anamwomba mtoto angalau amthamini tu kama baba, lakini mtoto anamtolea nje! Hampi hata salamu licha ya pesa! Kisa ni kwamba mtoto anadai baba alimtelekeza! Hadithi za kutelekezwa mtoto...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Familia ya Baba, Mama, Watoto na Wajukuu.

    Katika familia inatarajiwa Baba akiyumba, basi Mama amuimarishe Baba, Mama akishindwa na yeye akayumba vile vile, basi Watoto wawaimarishe wazawa wao, lakini kama imeshindikana kabisa watoto kufanya hivyo na wao wakayumba vile vile, angalau basi Wajukuu wawaimarishe hawa ndugu zao. Je, ikitokea...
  6. JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Irani Mojtaba Khamenei hatahudhuria mazishi ya baba yake

    Wanaukumbi. 🚨 KUTOKEA KWA MMOJA KUNATAWALA VICHWA VYA HABARI. 🇮🇷 Kiongozi Mkuu wa Irani Mojtaba Khamenei hatahudhuria mazishi ya baba yake. Uamuzi huo umezua maswali mara moja, huku umakini ukielekezwa kwenye umuhimu wa moja ya kutokuwepo kwa watu waliofuatiliwa kwa karibu zaidi kwenye...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Je, Muhoozi anaanza kumrithi baba yake kinamna?

    Kwa sasa, hakuna mtu mwenye kusikika na kusababisha utata kama mwana wa mfalme Muhoozi Keinerugaba. Anakamata wale wanaopinga. Anafungia vyombo vya habari. Anatoa matamshi kana kwamba yeye ndiye rais. Je, hii nguvu kaipata wapi? Je, kuna kitu anakijua kuhusiana na afya ya baba yake ambacho wengi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Baba yako analo?

  9. JamiiForums Tanzania Kuwa mkweli kwa mambo yanavyoenda Baba au Mama yako anaweza shindwa kuwa Rais wa Tanzania? Kwa kigezo cha Uwezo wa Tuliyenaye sasa

    Tuwe wakweli kabisa Je Mzazi wako kama akipimwa na Samia Suluhu Hassan kwa mizania 1. Uzalendo 2. Elimu hata kama si degree 3. Maamuzi yenye busara kutoumiza watu 4. Uelewa wa Mambo ya Jamii Je mzazi wako anaweza shindwa iongoza Tanzania kama Rais? Maana zamNi cheo cha Urais was a...
  10. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu, MBUNGE Bora wako ni yupi? Mimi ni Baba Levo.

    Mi nshamaliza kwenye title
  11. JamiiForums Tanzania Wosia wa baba mkwe

    Hakika nimehudhuria ndoa nyingi ila hii ndoa ya jana ilikuwa ni kiboko sana, baada ya rafiki yetu kuwa mgumu sana kwenye kuoa, hatimaye tulifanikiwa kumshawishi aoe, maana ilikuwa kila siku anasema anajipanga kujitafuta yeye kwanza ili awe na maisha mazuri, tulimshinda kwa hoja ya msingi kuwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Single maza bwana, yaani baada ya kukurudisha kwenye chati ndo umeamua kumrudia baba watoto wako

    Nilikukuta umechoka mbwa wewe unalala sebuleni kwa rafiki yako eti umetoka huko ulikotoka kuja kutafuta kazi baada ya kuzalishwa watoto wawili uliowaacha kwa mama yako. Nikakupenda kutokana na ucheshi na heshima ulikuwa ukinionesha kwenye nyumba tuliopanga mimi na rafiki yako. Bwana...
  13. JamiiForums Tanzania Naona jamii sasa imeamka kumuadhimisha baba katika 'Father's Day'

    Kwa miaka mingi, imekuwa kawaida kuona Mother's Day ikipewa uzito mkubwa, huku Father's Day ikipita kimya kimya kwa watu wengi. Lakini safari hii nimeona jambo tofauti; watu wengi zaidi wamejitokeza kuwapongeza na kuwaenzi baba. Hili ni jambo la kutia moyo. Naam, inaonekana jamii imeanza...
  14. JamiiForums Tanzania Ubusy wa Baba Jinsi unavyopoteza thamani ndani ya familia.

    Baba wengi Sasa hivi wanafanya kazi kwa bidii sana. Wanaondoka alfajiri, wanarudi usiku. Wanahangaika, wanajitaidi, ili familia isikose chochote. Baba hawa wanajenga nyumba, wanalipia karo, wanakidhi mahitaji yote. Kwa macho ya watu huyu ni baba aliyefanikiwa. Lakini ndani ya kuta za nyumba...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hisia zinaniambia Baba Levo ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge

    Katika kesi iliyopangwa kufanyika tarehe 6/7/26//2026 ya kupingwa ubunge wa ' Baba Levo' hisia za ndani kabisa zinaniambia ajiandae kisaikolojia kuachana na ubunge
  16. S

    JamiiForums Tanzania Je, nimchukie mama au binamu yangu? Nitaanzaje kumuita binamu baba?

    Guys IPO hivi naitaji kushare stori yangu na nyie kwasababu ya mengi kujifunza ndani yake that's true story sio joke nashindwa kuelewa niendelee kumchukia mama au niwachukie wote binamu na mama kwasababu siwezi kumuita binamu baba never story yangu inaanzia 2013 mpaka now mkiwa tiali mtaniambia...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Nyumba Imekosa Baba?

    Kwa haya yanayoendelea mimi kama kijana yananifikirisha kiukweli,ni kama kuna kitu kinamiss sidhani kama tushawahi pitia hali kama hii kabla https://www.facebook.com/share/v/1DccRyaBBW/ https://www.facebook.com/share/v/1EGHcVzfu1/ https://www.facebook.com/share/v/1F3pb91mTn/...
  18. JamiiForums Tanzania Unajichelewesha mwenye mimi kuwa baba wa watoto wako

    Nakuvizia kwenye nyumba za ibada, hutokei Nakupigia simu, hupokei Nakutumia ujumbe wa simu, hunijibu Nakuandikia barua, hunijibu Nakutumia vocha, hunipigii Nakutumia hela ya matumizi, hushukuru Sasa mimi nifanyeje; endelea kujichelewesha mwenyewe, mimi kuwa baba wa watoto wako.
  19. JamiiForums Tanzania Kijana wa Miaka 25 Kuwa Baba wa Kambo wa Mtu wa Miaka 36, Inawezekana Kweli?

    “Mimi ni mvulana wa miaka 25, nina mapenzi na mwanamke wa miaka 55. Tunakaa pamoja na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 36 na mvulana huyu haniheshimu kama baba yake wa kambo. Najaribu kumuelimisha kuhusu maisha lakini hasikii. Tafadhali nisaidie,nifanye nini?” Huyu ni kijana anaomba...
  20. J

    JamiiForums Tanzania vidude muhimu sana kwa akina baba

    Napatikana kibaha ila ulipo unapata tu huduma namba 0712583157 kupiga au whatsapp pia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…