baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kauli Bora Kutoka Kwa Mwanasimba LiaLia Baada ya kupoteza Fainali ya Mapinduzi

    Tusichoshane jisomeeee mwenyewe. Halaf shusha Reply unamuonaje huyu mtu ana maumivu kiasi gani? Na kasema hili kwa ukweli wa asilimia ngapi?
  2. JamiiForums Tanzania Mapinduzi Day na DW: Mazungumzo Baada ya Kufanya Kipindi

    Imekuwa kawaida vyombo vinapokuja kunihoji kuhusu masuala ya historia wale wanaonihoji husikia historia ambazo hawakupata hata siku moja kuzisikia wala hawakusomeshwa si shule ya msingi, sekondari au chuo kikuu. Basi tunapomaliza mahojiano huwa wananiuliza maswali mengi sana kiasi husema kuwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hatma baada ya kupona Gono

    Wanajamvi habari, mi ni kijana miaka 30 naishi Dodoma na Mpenzi wangu anaishi Dar. Tuko na zaid ya mwaka sasa kwenye mahusiano. Mara nyingi huwa ye anakuja Dom na mara chache mi nashuka Dar kuonana nae. Mwezi wa 11 mwaka jana alikuja, baada ya kukutana nae wiki moja mbele nikaanza kusikia hali...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi ya Zanzibar yanaendelea, sasa hufanyika kila baada ya miaka mitano

    Mapinduzi ya mwaka 1964 yaliiondoa serikali halali na kuisimika serikali ya Mapinduzi. Watu waliuliwa wengi wakati na baada ya mapinduzi. Baada ya mapinduzi tulitegemea kuona demokrasia ikitawala ili kupata viongozi waliopatikana kwa ridhaa ya wananchi. Bahati mbaya sana kikundi cha watu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukalia veto, Russia yakumbuka shuka kumekucha

    1. Russia na China zilikuwa na uwezo wa kuzuia azimio UNSC dhidi ya Yemen kupitishwa. 2. Siku Moja baadaye kimenuka huko; bila shaka Pana vita kamili sasa. 3. Ikumbukwe kwenye azimio hilo China, Russia, Mozambique na Aljeria wali susa na hivyo kupita kwa 11 za "ndiyo." 4. Kwamba Russia...
  6. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yasema itaendelea na uhusiano mwema na Israel baada ya vita

    Huku wavaa makobaz uswahilini wanatokwa mishipa kwenye makomwe kwa hasira walizo nazo kwa Israel, sasa Saudi imesema itaendelea freshi na Israel.... ==== Saudi Arabia's ambassador to the UK says it is interested in normalising relations with Israel after the war in Gaza, but that any deal...
  7. JamiiForums Tanzania Tunauza na kufunga AC unalipa baada ya kufungiwa

    karibuni
  8. JamiiForums Tanzania Nakerwa na tabia ya vijana kuponda na kudharau mikoa yao baada ya kufika Dar

    Habarina wana jukwaa mambo sio mabaya wala mazuri hii ni January Bila kupoteza wakati moja kwa moja kwenye mada. Kumekuwa na kasumba ya vijana wengi kwa sasa kudharau mikoa yao waliyotoka kwa kuilinganisha na dar nilikaaa na jamaa zangu waliozamia darslam stori zao zote nikuponda tu mikoa yao...
  9. JamiiForums Tanzania Lushoto: Wazee wakausha maji baada ya mradi kuanzishwa bila kupewa taarifa

    Wakazi wa Kata ya Kwekanga wilayani Lushoto mkoani Tanga wamekumbana na ukosefu wa maji baada ya wazee wa kata hiyo kudaiwa kuzuia chanzo cha maji kutotoa maji hadi kufanyike tambiko, baada ya mkandarasi kuanza mradi bila kuwashirikisha. Akizungumza katika mkutano wa hadhara, Meneja wa Mamlaka...
  10. JamiiForums Tanzania EX kaniacha baada ya miaka nane nikapata kifaa kuliko yeye

    Alright okay ni wako selemani sele hilo nalo ni lile somo la kuogopa wanawake kama ukoma twende na mistari. Nilikuwa na Manzi yangu niko nae miaka 8 sasa ni dem ambae yuko tough Sana kwangu kwanza hayuko romantic, ana majibu makavu kichizi unaweza mwambia nakupenda akakujibu Asante mkuu...
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kimara mwisho njia ya kuelekea Matosa imekuwa kero baada ya kutomaliza maboresho ya daraja lililopo nyuma ya chuo

    Na kusababish kero kubwa kwa wananchi ni bora hata wangeliacha lilelile daraja la mwanzo kwani ni kero tu hakuna matengenezo yyte yanayoendelea na njia imefungwa. Rais na mbunge wa Ubungo liangalie hili kwa jicho la tatu TUNATESEKA
  12. JamiiForums Tanzania Hawa ndio watakaochukua nishani za juu baada ya vita vya Gaza kumalizika kwa ushindi

    Ikiwa miezi mitatau imetimia tangu vita vianze kati ya Israel na Palestina na bila mshindi kupatikana, wafuatiliaji wa vita hivyo wana nafasi ya kuchagua wa kupewa nishani baada ya kumalizika kwa vita vyenyewe. Kwa mtazamo wangu nishani ya mwanzo itawaendea Hamas kwa kuchukua maamuzi magumu na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania JE SIMBA SC WANAJUA KWAMBA MCHEZAJI BABACAR SARR NI MTUHUMIWA WA UBAKAJI ALIYEKIMBIA ULAYA BAADA YA KUSHTAKIWA..??

    Mhhh
  14. JamiiForums Tanzania Padre wa Kanisa Katoliki Italia afukuzwa baada ya kuhubiri kwamba Papa Francis ni 'Masonic' na 'Anti-pope'

    Fr. Ramon Guidetti wa Italy amefukuzwa tar 3 January 2024 baada ya kuhubiri kwamba papa francis anakinajisi kiti cha Mtume Petro (anti-pope) na anatimiza matakwa ya wapinga Kristo. Hio ilitokea alipokua anahubiria tarehe 31 December 2023 siku iliokua ni kumbukizi ya kifo cha Papa Benedicto wa...
  15. JamiiForums Tanzania Je, baada ya Muuaji Rasta Kato Kukamatwa Songea je, JWTZ litawaomba Radhi wale Raia 75 iliyowakamata Kawe na Kuwapiga vibaya?

    Katika huu Uzi Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu Wajuvi wa Masuala Mtambuka Tanzania.
  16. JamiiForums Tanzania Jana nimeenda club kwa mara ya kwanza, nimetoka nduki baada ya kuuziwa maji 4000/=

    Kiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na maumivu. Nilikua zangu road nikasema Wacha niende rock city mall nikashangae maghorofa, nikajikuta...
  17. JamiiForums Tanzania Hai yalipuka kwa shangwe baada ya Mbowe kutangaza Mama Samia amechangia milioni 150 Ujenzi wa Kanisa Hai

    Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia TZS 150,000,000/- za Ujenzi wa Kanisa Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Hatimaye Samia amejipata baada ya kujitafuta kwa muda mrefu

    Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji. Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha. Nasubiri...
  19. JamiiForums Tanzania Nimeghairi kumpatia ujauzito Shamsa baada tu ya kukutana na mabinti wawili wakikicharanga kimombo

    Mipango yangu mimi pamoja na Shamsa imeingiwa kidudu maji. Tulipanga kupeana ujauzito, kisha tumtunze mwanetu mpaka pale atakapofikisha umri wa kwenda shule ili tumnunulie kiufagio na kidumu cha lita 5 akaanze vidudu, aje kutusaidia baada ya miaka 20 ijayo Baada ya kukutana na hawa mabinti...
  20. JamiiForums Tanzania Sasa nahitaji ndoa kuliko kitu kingine chochote. Siwezi tena kusubiri

    Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa. Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa. Haswa ukizingatia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…