baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Nilivunja urafiki wetu baada ya kauli iliyonidhalilisha na kunikejeli nina sura mbaya

    Wanasema urafiki wa kweli hujengwa kwenye misingi ya kuaminiana, kusaidiana kwenye shida na kulindana dhidi ya jambo lolote linaloumiza. Lakini maisha yangu kama mwanafunzi wa mwaka wa kwanza chuoni yalikuja kunivuruga kabisa, na kunifanya nianze kujihoji: Hivi kweli nahitaji watu maishani...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Serikali (ajira ya 2021 mwezi wa 7), tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja

    Watumishi wa serikali ajira ya 2021 mwezi wa 7, tunazungunshwa kuhusu kupandishwa madaraja. Mikataba inadai mtumishi atapandishwa daraja baada ya miaka 4 kazini, lakini sisi tumemaliza miaka minne mwaka 2025 tukaambiwa bado hatujakidhi vigezo hadi mwaka 2026, ambapo inakuwa ni miaka mitano...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mafuta yashuka bei baada ya makubaliano ya USS na Iran. Subiri, hapa Malawi yatapanda

    Ujumbe ni huo, hakuna zaidi Hapa yatapanda mara dufu
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Swala la kisheria:Umehukumiwa kesi ya kuua alafu unabahatika baada ya kusota mda na kuzeeka unakutana na marehemu ni mzima wa afya baada ya kutoka.

    Msaada wa kisheria kwa wanasheria.Mahakama imekuambia umehusika japo sio mshiriki alafu ila katika kesi ukapewa kifungo na umri wako ukijumlisha ni bonasi za mungu. Mwisho wa siku yule marehemu waliyesema mahakamani umehusika na unamfahamu au kupeleleza unakutana naye .Je mahakama itafanyeje
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Bagamoyo walisema kuunganishe umeme baada ya kulipia ni Siku 30, sasa wanasema siku 60

    Ninakero yangu, mkoa wa Pwani Bagamoyo Tanesco ni Kero, nimelipia kuhusu kuunganishiwa umeme tangu mwezi wa nne mwanzoni 2026 hadi sasa hawajaniunganishia, kila nikiwapigia mwanzo walisema siku 30 za kazi baada ya siku 30 za kazi kupita wanasema ni siku 60 za kazi ni kerooo.
  6. Dumas the terrible

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya:Taarifa ya Watoto watatu kufariki baada ya kupata sindano ya chanjo Iringa!

    Habari wakuu kuna taarifa nimepata kutoka kituo cha afya Isimani ikisema kuna watoto watatu wamefariki Dunia baada ya kupata sindano ya chanjo, Tunaomba kama kuna taarifa za kina Wizara ya Afya na mamlaka toka huko waje waitolee ufafanuzi maana kuna taharuki kubwa imezuka na hatua zaidi...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Japan waendelea na utamaduni wao wa kusafisha chumba cha kubadilishia nguo baada ya mechi

    Japan kwa mara nyingine wameacha chumba chao cha kubadilishia nguo kikiwa katika hali ya usafi wa hali ya juu baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Uholanzi, Moja ya mila na desturi bora zaidi katika ulimwengu wa soka. Baada ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia dhidi ya Uholanzi, kwa...
  8. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Baada ya makubaliano ya Iran na Marekani kufanikiwa. Italy, UK, France na German zakubaliana kuiondolea vikwazo Iran

    Niaje waungwana Dunia imebadilika aisee. Leo hii zayuni ( Netanyahu ) anaitwa muuaji anaetafutwa kufikishwa kwenye Criminal Court. Wakati nchi hizo zikiondoa vikwazo kwa Iran, hili zayuni liuaji Netanyahu haliwezi kutia mguu wake katika nchi yoyote hapo juu bila kutiwa nguvuni na kukabidhiwa...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Sir. Lewis Hamilton ameshinda Barcelona Grand Prix leo baada ya kupitisha races 45 bila kua kinara!

    Zimepita siku 708, au Grand Prix 45 tokea Sir Lewis Hamilton ashinde Grand Prix (P1). Ilikua ni Sikukuu ya 7, 7 2024 (British GP), akiwa na Mercedes Benz. Ila leo tarehe 14, June, 2026 amevunja mkosi kwa kushinda Barcelona GP. Hongereni team Ferrari.
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Afariki dunia baada kurushwa bila kamba ya kumshikilia mchezo wa kujirusha daraja refu

    Msichana mwenye umri wa miaka 21 amefariki baada ya kurushwa kutoka kwenye daraja la mita 40 huko Limeira, Brazil na wafanyakazi wa kuruka kwa kamba ya bunge (bungee jump) ambao walisahau kumfunga kamba yake ya usalama.
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ina maana aliwadanganya Watanzania kuwa ndani ya siku 100 suala la katiba mpya litaanza kushughuliliwa? Alikuwa na wenge baada ya matukio ya Oktoba 29

    Ahadi ni deni. Tena ahadi inayohusu masuala ya msingi ya kitaifa. Taifa linahitaji katiba mpya. Alitambumbua kabisa moja ya sababu zilizosababisha vurugu ni wananchi kutaka katiba mpya. Sasa hiyo ahadi imeyeyuka mithiri ya barafu. Siku 100 zimekuwa siku 4000.
  12. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Sherehe na maandano makubwa ya Mashoga Duniani yamefanyika Tel Aviv Israel baada ya kusimama kwa miaka miwili

    Moja kwa moja. Hatimaye jana Tarehe 12 /6 /2026 lile parade kubwa na maarufu zaidi la Mashoga Duniani "Pride Parade" limefanyika Tel Aviv , baada ya October 7 kutokana na tishio la kiusalama tamasha Hilo kubwa la LGBTQ halikufanyika limekuja tena kufanyika mwaka huu na inakadiwa watu takribani...
  13. chakii

    JamiiForums Tanzania Moshi: Kijana wa bodaboda apoteza maisha baada kukimbizwa kugongwa na gari la Polisi akihisiwa kubeba mirungi

    Gari ya polisi Rombo yadaiwa kumgonga dereva pikipiki aliyedaiwa kuwa na mirungi nakuondoka na mwili, barabara yafungwa RPC asema barabara ishafunguliwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema barabara ya Rombo na Moshi imefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa zaidi ya saa...
  14. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Nataka nibadili jina langu JF baada ya watu kulisema sana

    Mzuka wana jamvi ? Kuna wapuuzi humu JF walikuwa wanafananisha jina langu na la ID ya Chizi Maarifa wakati ni majina mawili tofauti yasiyo fanana sasa baada ya kelele zao nimeona nibadilishe jina na nataka nichague jina Moja kati ya yafuatayo 1. Ghayo de Nyangwisi 2. Ghayo de Nyambumbu 3...
  15. Magayor Mongolian

    JamiiForums Tanzania Mzee Trump amesitisha mashambulizi aliyopanga kufanya Leo baada kujigamba atatoa kichapo leo

    Mzuka wana jamvi ? Babu Trump alijisifu leo Iran itaenda kuwa majivu atapiga vibaya mno lakini ghalfa amePost kuwa amesitisha Hilo. Sasa Trump watu watamchoka kumuona muimba Taarabu ikumbukwe takribani zaidi ya mara 5 kila akisema Leo Iran inakuwa majivu anasema ameombwa na viongozi wa mataifa...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Akimbia Hospitali baada ya mkewe ‘singo maza’ kutembelewa na mzazi mwenzie

    Kaka mmoja hapa mtaani alioa mwanamke mwenye Watoto Wawili wa Baba Mmoja, huyo mwanamke Aliachana Na MUME Wake kipindi Watoto Wakiwa Wakubwa tayari wameanza shule, baada ya kuachana na mume wake Akaolewa Na huyu kaka wa hapa mtaani, kaka ana pesa Kiasi. Jana Mke Kaumwa Sana ikapekea akalazwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akibiwa hospitalini na mwanaume wake baada ya kutembelewa na mzazi mwenzie.

    Daaa sijui kwa Nini inakuwa hivi.
  18. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Umefaidika na nini baada ya kuoa mwanamke mpambanaji/mwenye kipato?

    Ugonile, kumeibuka kasumba ya wanaume kutaka kuoa wanawake wanaojimudu kiuchumi/wenye kazi au biashara inayowaingizia kipato. Vipi wanaleta chochote mezani kama mlivotarajia au tuwaache na maisha yenu?
  19. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuamua kwenda kupanga na kujitegemea, chumba chako cha kwanza kilikuwa na muonekano gani?

    Kipindi hicho usikute ata kitanda huna godoro unaweka down nenga .
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu kinanishangaza. Kwanini watu waliotekwa kisha wakafariki inalazimishwa wazikwe haraka?

    Huu mchezo wa utekaji na kwa mtindo huu unazidi kuwa na nguvu sana. Nilishuudia mkoa X walitekwa watu zaidi ya wanne.Mmoja alipatikana kijiji cha mbele akiwa amefariki ila wanakijiji walipotoa taarifa polisi na polisi ikaamuru kuzikwa haraka bila kuuliza lolote. Ndugu wa marehemu walipojaribu...
Back
Top Bottom