baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tufanye unaamini Mungu, huamini Mungu au bado hujafanya uamuzi, unahisi nini hutokea dakika ya kwanza baada ya kufa?

    Wakuu hii ni mada ya kutafakari najua ishajadiliwa sana humu ndani ya forum na huko makwenu..sasa tuweke hitimisho japo najua sio rahisi je tuseme moyo umesimama kabisa na umethibitishwa umefariki.Wewe unahisi nini hasa hutokea dakika ya kwanza baada ya hapo?Unadhani ndiyo mwisho wa kila kitu...
  2. JamiiForums Tanzania Unadhani Makamu Mwenyekiti wa chadema taifa anaweza kua anapitia hali gani kisaikolojia baada ya tuhuma zake za ufisadi kutrend sana mitandaoni

    Je, anapata usaidizi wowote maalumu wa kiafya kutoka kwenye idara za chama chake kulingana na nafasi yake chadema taifa, na kutokana na maoni mseto yanayoenezwa mitandaoni dhidi ya tuhuma za ufisadi wa fedha za chama zinazomkabili? Kwa maoni yangu, licha ya familia yake kumtia moyo, nadhani...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya maridhiano nini kinafuata, uchaguzi unarudiwa au, Isije kuwa ni maridhiano ya kugawana vyeo maana kila baada ya uchaguzi maridhiano

    Kwa akili ya kawaida mnapokuwa na mgogoro mnatafuta sababu za mgogoro harafu ndo mnakubaliana kuutatua huo mgogoro , Hapo ili kupata suruhu huwa tunatafuta mtu watatu ambaye atakaa katikati kuhakikisha pande zote mbili zinaridhia yale yaliyojadiliwa na kuafikiwa yanatekelezwa. Kama sababu za...
  4. JamiiForums Tanzania Lionel Ritchie anaendelea vizuri baada ya kukimbizwa na kulazwa hospitalini

    Mwanamziki mkongwe maarufu mmarekani ambye nyimbo zake hazichuji Lionel Richie 78, anaendelea vizuri baada ya kukimbizwa hospitalini. Alikuwa akitumbuiza stejini jijini St. Paul Minnesota nakushikwa na kizunguzungu na kupelekea wauguzi kumuwahisha hospitalini. Gwiji huyo wa miondoko ya Soul...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume anaona uzito kumuoa binti baada ya kuona post zake na comments zake mtandaoni

    Ni mazungumzo ya mtu na kaka yake, mdogo mtu kamuuliza bro wake,vipi mipango ya kuoa imefikia wapi? Bro akajibu Mwanamke mwenyewe kama nataka nimpotezee maana vitu anavyopost mitandaoni na jinsi anavyojibu comments zake ni mtihani sana. Naam huo ni mfano wa kweli kabisa ambao mfanyakazi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Baada ya kumshukuru Mungu huwa namshukuru Rais Samia kwa kunipa fursa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast amesema; "Chama kikubwa kama CCM hata nafasi ya kuwa mjumbe wa kuandika ilani, hilo ni jambo kubwa sana. Sasa mimi sikuwa tu mjumbe, Kitila Mkumbo...
  7. JamiiForums Tanzania Narudishaje account yangu baada kuwa banned kwa kutumia Gb Whatsapp?

    Ndugu wadau Nimeipata changamoto baada ya account yangu ya Whatsapp kuwa banned. Nimekuwa nilipenda hizi unofficial apps kama Gb Whatsapp, ila walinionya ya kuwa huwa zina kuwa zinafanya uwe banned Sasa wadau kimeniramba tangu juzi account yangu imekuwa ikiniletea message hiyo? Japo kuwa tayari...
  8. JamiiForums Tanzania Tiketi zashuka bei 60% baada ya Portugal na USA kuaga mashindano

    Baada ya Ureno na Marekani kuaga mashindano tiketi zimekosa soko na kushuka kwa asilimia 60 ,, baada ya watazamaji kupungua kwa kiasi kikubwa. Infunce ta Ronaldo na Uenyeji wa USA kutamatika kumefanya mauzo ya tiketi kwenye kombe la dunia kushuka zaidi ya nusu bei. Jiulize kama Argentina nayo...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna maswali kama Baada ya utawala mwisho wako utakuwaje.

    Hata ufie ukiwa ofisini ila nauliza tu Je baada ya utawala mwisho wako utakuaje kama usikilizi viongozi wema wadini sio wanaokusifia. Sawa ukawa umetoka kwenye utawala ndio hawa wanaolalamika sisi mtaani kwa nini tukuwa pamoja wakati nguvu zimekuishia na ulivyo kuwa na nguvu mbona ulituona sio...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Baada ya matokeo kidato Cha sita

    Kwa form six wanaohitaji kuomba vyuo na MIKOPO. Ukipata changamoto... Tuwasiliane nikusaidie Nitafute kwa 0623446608 au 0792715343
  11. JamiiForums Tanzania FiFA wafuta red card baada ya Simu ya Trump

    Katika hali ya kushangaza, Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) limempa ruhusa mshambuliaji Folarin Balogun kucheza mechi dhidi ya Ubelgiji. Licha ya kadi nyekundu aliyopewa awali, FIFA imetumia mamlaka yake chini ya Kifungu cha 27 kubadilisha adhabu hiyo kuwa “kifungo cha nje” (suspended...
  12. JamiiForums Tanzania Maono: Baada ya hayo yote, akiondoka ataichoma nchi

    Baada ya kuharibu kote huko, sasa anaelekea taratibu kutuharibia amani yetu. Amani ambayo kila siku hujidai kuilinda kwa nguvu zote. Unaweza vipi kusema unailinda amani, huku mkimuacha Sheikh Mwaipopo atambulishe vikundi vya mbwa mwitu na chui weusi? Au walikuwepo tangu ugaidi wa Kibiti...
  13. JamiiForums Tanzania Hali yangu baada ya kujibiidisha na kusoma na kufuatilia makala za kifalsafa

    Habari wanajf. Najihisi kuwa na furaha na amani tele.Nimejikuta ninaOVERCONFIDENCE hatari mbaya kabisa😀😀😀. Sielewi ni kwanini ila nametokea kuwa mpenzi wa makala na maandiko ya wanafalsafa wale watukutu,RADICALS. Baada ya kukutana na vitu ambavyo nimekuwa najiuliza maswali na kukosa majibu...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya uchaguzi kukamilika hatuwezi kukaa vyama vyote tukaunda serikali pamoja?

    Habari Nashauri baada ya uchaguzi inawezekana kabisa tukakaa pamoja wale walioshinda na vyama vyote vya upinzani tukaunda serikali na serikali ikawa na viongozi kutoka kwenye chama chochote ili mradi ana uwezo mzuri wa kufanya kazi sio lazima waziri atoke ccm inawezekana akatoka chauma au act...
  15. JamiiForums Tanzania Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu,

    Habari! Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha. Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu, maadili mema na nia ya kujenga uhusiano wa kweli unaoweza kuishia kwenye ndoa. Umri ninaopendelea ni miaka 20 hadi 32. Ninaamini uhusiano mzuri huanza...
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Taharuki Mpimbwe: Katibu wa Hospitali Asimamishwa Baada ya Kuibua Maswali ya upigaji wa Fedha

    Katibu wa Hospitali ya Wilaya ya Mpimbwe amesimamishwa kazi na Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Mpimbwe baada ya kuhoji masuala yanayohusu malipo ya fedha za kujikimu kwa waajiriwa wapya pamoja na matumizi ya fedha za ujenzi wa njia za watembea kwa miguu (walkway) katika hospitali ya wilaya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mawakili 40 waungana kumtetea Besigye baada ya Martha Karua kuzuiliwa kuingia Uganda

    Mawakili 40 kutoka Taasisi 12 za uwakili nchini Uganda wameungana kumtetea kiongozi wa upinzani, Dkt. Kizza Besigye na Hajj Obeid Lutale ambao wamewekwa kizuizini kwa muda sasa. Wamewasilisha maombi mapya Mahakama Kuu kupinga hatua za serikali wanazodai kuwa zinakiuka haki ya kikatiba ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu mkubwa wa kusomea Fani yoyote baada ya kumaliza shahada yako.

    1.Truck driving. 2. Heavy Duty machine operator 3.Tafsiri na mkalimani(Chinese) 4.Ufundi Bomba Kijana muhitimu wa elimu ya juu tumia miaka miwili baada ya kuhitimu kutafuta Fani ambazo zitakufanya uishi vizuri huku ukisubiri kazi ya Taaluma yako(academic qualifications) Ahsante
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya maisha kunichapa haswa mkoani, sasa nakuja Dar es Salaam kuanza from zero. Nipe neno lolote

    Maisha ya mkoani shikamooo Hakuna connection Hakuna dili za kutosha Kazi ngumu malipo hafifu Sasa nakuja Dar es salaam kutafuta Nipe connection ushauri nk Karibu
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Ufugaji kuku kunishinda Nataka nigeukie Sungura

    Wakuu, Kufuga kuku kuna changamoto nyingi na gharama kubwa ! Hapa nimekumbuka hivi viumbe Sungura nilivifuga sekondari vinazaliana haraka na vina nyama tamu san!! Nataka nifuge hivi sasa! Kwa ajili ya chakula tu kwangu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…