The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.
Chuki ya Pole pole na genge lake inadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli.
Cha kushangaza huyu anayejitambulisha kuwa ni mtetezi wa Katiba hakuwa...
Wakuu,
Kuna huyu mwanaume huko nchini mwaka 1997 alimnunia mkewe kwa takriban miaka 20 baada ya mwanamke wake kupata mtoto wa kwanza na kisha kumsahau kabisa mumewe baada ya kuhamishia mapenzi yote kwa watoto.
Katika mnuno huo, huyo mwanaume ambayo ambaye jina lake ni Otou Kattayama alikuwa...
Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni.
Kimsingi tuna safari kubwa.
Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais.
Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
Wadau, nikiwa na milion 60 mbezi mwisho au kibaha baada ya mbezi naweza jenga nyumba yenye chumba n seble yenye vyumba nane,kiwanja bei pembeni. Nisaidieni mawazo wakuu
Julai mosi, 2025 bajeti ya mwaka 2025/2026 ilipitishwa na Bunge letu; moja ya mambo yaliyopitiwa ni kuondole kwa ushuru wa ongezeko la thamani (VAT) Kwenye gesi za kupikia (LPG); kusudi lilikua kuhamasisha matumizi ya gesi badala ya nishati kama kuni na mkaa, kama njia ya kupunguza uharibifu wa...
Mchungaji Tony Kapola ajibu wanaomkosoa kuhusu muujiza wa kupuliza mtungi wa gesi
Baada ya kusambaa kwa video ikimuonyesha Mchungaji mke wa Mchungaji Tony Kapola akieleza muujiza wa kujaza gesi kwa kupuliza mtungi na kutumia zaidi ya siku 14 kumaliza gesi hiyo, kumeibuka mijadala mikubwa kwenye...
Huu hapa na nilimuuliza chatgp swali kulinganisha seapiano kubwa kbs kwasasa sp 912 na huu mziki ni nani zaidi
Nimenunua active subwoofer 250,000 boom box
Power supply 10 A bei 50,000
Radio ya gari 40,000
Twita 30,000
Amplifier ndogo kwaajili ya twita 15,000
Je wakuu niongeze nn au nipunguze...
RANGO!
You hate death wapi weweeee.. watu wengi wanatekwa na kupotezwa kila uchwao, huumizwi. Mzee Kibao alitekwa na kuuwawa, hukusikitika. Uliishia kukejeli.
You hate death wakati ulizuia hoja ya utekaji kujadiliwa? Mdude ambaye alitekwa jimbo kwako, hujawahi hata kutoa pole. Unaumizwa na...
Muda huu risasi za moto zinarindima baada ya wananchi kuandamana na kufunga barabara kumtaka diwani ambaye inadaiwa ametekwa akiwa Tarime na hajulikani alipo! Hali ambayo imepelekea wananchi kuandamana kumtafuta
Inadaiwa huyo diwani alikuwa yupo upande mwita waitara, na mpinzani wake alikuwa...
Pole pole episode ya NNE
Itawafanya kamati kuu kutizamana
Je mwajua itazungumzia Nini?.
Kikubwa ni chanzo Cha kifo Cha Hayati Magufuli na watatajwa wote walio usika na ushahidi wake
All the best
Ila Kassimu Majaliwa na Desdory Mpango hawako salama
Nimekaa naye miaka zaidi ya 4 hapa katikati tulipitia migogoro kadhaa mpaka nusu ya kuachana
Basi leo ni siku ya pili naogeshwa ndani kwenye beseni na hajawahi fanya hapo kabla. Je? Au kuna sehemu kajifunza nahisi itakuwa ni mtandaoni. Maana naona kama movie hivi ila ndo ukweli wenyewe hivo...
100 Years ni filamu fupi ya majaribio ya kisayansi iliyoandikwa na kuongozwa na John Malkovich na Robert Rodriguez, kwa ushirikiano na kampuni ya vinywaji ya Louis XIII Cognac.
Kilicho cha kipekee kuhusu filamu hii ni kwamba haitatolewa hadi mwaka 2115—miaka 100 baada ya kutengenezwa.
Wazo kuu...
Baada ya kuzuka wimbi la watanzania kudai katiba mpya miaka hiyo kipindi cha Jk kuliibuka matukio mengi ili kuzima wimbi la katiba mpya kwa watanzania
CCM inakujaga na planned and calculated mission za muda mrefu mfano ni mingi ila kwa uchache
Shabuda, Zitto, Sumaye, late Lowasa etc hii ni...
Mwaka 1998 kaka aligoma kabisa kusomea ualimu japo mzee alikuwa alikuwa mwalimu bado hajastaafu.
Ukawa mvutano mkubwa mno basi bro akaona aoe Mzee hakutoa mahali na akamtimua yule binti kabisa.
Mambo yakawa si mambo mama anasema anasema muache mzee anasema utasepa nae ndoa ikaingia mgogoro...
Matokeo ya kura za maoni za Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Mfenesini mjini hapa yamechelewa kutangazwa kutokana na sintofahamu iliyojitokeza kutokana na kura kudaiwa kuongezeka. Idadi ya wajumbe walikuwa 472 lakini baada ya kura kuhesabiwa zikafikia 528, sawa na ongezeko la kura 56...
Muigizaji na mchekeshaji maarufu Zimwi amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu
Hivi karibuni amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa yeye ni baba wa mtoto mmoja na amekuwa na mwanamke aliyemkimbia kipindi cha kuugua ingawa alimsaidia sana mke wake pamoja na familia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.