baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Karani wa Sensa aingia Mitini baada ya kulipwa 600,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Karani wa Sensa Kata ya Ilomba Jijini Mbeya LUtengano Mwakibambo kwa tuhuma za kutofika kwenye kituo cha kazi alichopangiwa kwa kusingizia kuwa anaumwa. Mtuhumiwa baada ya kulipwa Tsh. 600,000 kama malipo ya awali alitoweka lakini August 21, 2022...
  2. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Viongozi kupiga picha na makarani baada ya kuhesabiwa, je sio kupoteza muda Au walikuwa spesho kwa ajili yao tu?

    Naomba kwa wenye fikra yakinifu zisizoegemea upande wowote, wanisaidie kujibu hili swali. Maoni yawe ni baada ya kuhesabiwa na sio wakati zoezi likiendelea
  3. J

    JamiiForums Tanzania KAHAMA : Afariki dunia masaa machache baada ya kuhesabiwa kwenye sensa ya Agosti 23

    TAARIFA KWA WOTE, IELEWEKE SIO SENSA IMEMUUA ILA ALIKUWA HOSPITALI AKIJIUGUZA HAPO KABLA, KILA MMOJA AHESABIWE MIMI KAMA JABALI TAYARI NIMEHESABIWA LEO NAKUOMBA KAMA UMEKOSA NAFASI LEO SIKU BADO ZIPO KAHESABIWE. Hospitali ya Kahama, mkoani Shinyanga === Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 60...
  4. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Njombe Karani wa Sensa afutwa kazi baada ya kuibiwa Kishkwambi

    Mratibu wa zoezi la sensa mkoani Njombe Amewafuta kazi makarani wawili, baada ya mmoja kuibiwa Kishkwambi, akiwa na mwenzake kwenye ulevi ulipitiliza Pamoja na kuwafuta kazi hao, Mratibu amesema zoezi litakwenda vema japo hao wawili wameondolewa Mambo ya ngoswe yameanza mapema kujitokeza...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Watu 14 wafariki baada ya kudaiwa kunywa pombe, wengine wapo hoi

    Watu 14 wamefariki Dunia katika Mji wa Arua Nchini Uganda baada ya kudaiwa kunywa pombe inayodhaniwa kuwa na sumu. Baadhi ya watu wengine wapo hospitalini wakiwa na hali mbaya, Polisi wameeleza vifo saba vilitokea maeneo ya Mvara na Oluko na vingine saba vimetokea Madi Okollo, yote yakiw ani...
  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Kinachofuata baada ya Raila Odinga kufungua Pingamizi la Urais

    Ndani ya saa 24 baada ya jibu la ombi kuwasilishwa, kiambatanisho kitawasilishwa na kutolewa uamuzi, ambapo upande wa Mawakili wa Rais Mteule William Ruto utakuwa na siku 4 kuwasilisha na kutoa majibu kufuatia ombi hilo. Mkutano wa kabla ya kesi utafanyika ndani ya Mahakama Kuu kwa siku 8...
  7. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FAHAMU: Katiba inamzuia Rais wa Kenya kufanya haya baada ya Uchaguzi Mkuu

    Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya, baada tu ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9, 2022 Rais alipoteza; Mamlaka ya kuteua Majaji wa Mahakama Kuu, kuteua Afisa yeyote wa Umma, kuteua au kumfukuza kazi Katibu wa Baraza la Mawaziri, Katibu Mkuu na Maafisa wengine wa Serikali. Kwasasa hawezi kutumia Mamlaka ya...
  8. Kalunya

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kuwapa vijana wazo la ujasiliamali/biashara baada ya malipo ya kazi ya zoezi la sensa kuisha

    Wasalamu! nawasalimu wote kwa jina la tozo ziendelee. Tunaishukuru serikali kwa kusikia ombi letu la kuwapa ajira ya mda vijana wasio na ajira kwenye zoezi la sensa ya watu angalau vijana wachache waliobahatika kupata nafasi hio wataambulia kitu baada ya zoezi kuisha. Si chini ya sh milioni...
  9. Poker

    JamiiForums Tanzania Mtoto akutana na baba yake gesti baada ya kudanganya yupo shule anasoma! 😂

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa, wazazi walimpeleka mtoto wao kike kwenye shule ya bweni akasome huko ili asipate bugdha huko mtaani. Sasa siku ya siku mtoto huyo wa kike akiwa katika gesti alisikika akipiga kelele za furaha na mahaba ndindindi! Ndipo kelele hizo zilipoanza kuwa kero...
  10. whiteskunk

    JamiiForums Tanzania Anataka kuwa mke bora baada ya kunidharau

    Tulidumu karibu miaka 10, nia yangu ilikiwa ni kumuoa ila baada ya kukamilisha mipango niliyojiwekea, ilipobaki miezi michache tuoane akanikalisha chini akaniambia kuwa hawezi kuendelea kuwa na mimi. Ikabidi niheshimu mawazo yake japo roho iliniuma mpaka kufikia hatua nikawa napata maumivu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumchuna miaka 3, nimekula dili na mama amkatae siku ya kumtambulisha

    Nikiwa na miaka 21 kuna mwanaume mtu mzima (39) amekuwa akionesha nia ya dhati ya kutaka kunioa. Mm nilimpa masharti kuwa siko tayari kwa ndoa lkn akaning'ang'ania. Nikawa mtoto wa kike nikikohoa tu muamala unasoma, nikilia shida muamala unasoma na nikiwa na uhitaji wowote ule muamala unasoma...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Aliachana na mumewe baada ya kupima HIV yeye akaonekana hana maambukizi. Anataka anipe mzigo. Je nipige?

    Waliishi na mumewe kwa zaidi ya miaka 15. Sasa wameaachana kwa talaka na hii ni baada ya wote kupima na mke akabainika hana maambukizi huku mume akiwa Hiv positive. Nimeomba mzigo kasema fresh. Sasa hofu yangu ni kula mzigo wa namna hii.
  13. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Shaka: Ni marufuku kwa hospitali za Serikali kumtoza Mama mjamzito kiasi chochote cha fedha wakati, kabla na baada ya kujifungua

    SHAKA "TUSIWATOZE FEDHA WAJAWAZITO" Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa Itikadi na Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amewataka watoa huduma kote nchini kuacha kuwatoza fedha wanawake wajawazito wakati wa kliniki na wanapofika kujifungua. Shaka ametoa maelekezo hayo akiwa Jimbo la Bukene...
  14. Willima

    JamiiForums Tanzania Wanawake wana haki ya kubaki na majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa

    Wanawake kubadili majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa na kufuata majina ya waume zao ina onyesha au kuashiria hali ya utegemezi wa mwanamke kwa waume zao, mwanamke kufuata jina la mume wake baada ya kuolewa kunaashiria kuwa yeye ni mali ya mwanaume (mume wake), na anakosa mamlaka ya...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Rais wa Liberia awasimamisha Kazi maafisa 3 wa Serikali baada ya Kuwekewa Vikwazo na Marekani kwa ufisadi

    Rais George Weah amewasimamisha kazi maafisa watatu baada ya serikali ya Marekani kutangaza kuwawekea vikwazo kwa madai ya Rushwa na Ufisadi wa mali za Umma Maafisa hao ni pamoja na Nathaniel McGill, Waziri wa nchi na Mkuu wa wafanyakazi wa Rais, anashutumiwa kwa kutishia wapinzani wa kisiasa...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Nilichoamua kufanya baada ya kugundua sina uwezo wa kipesa wala akili za kiubunifu za kuikomboa jamii

    Naipenda sana jamii yangu Nilitamani sana kuwa mwenye mchango katika jamii lakini bahati mbaya mpaka naingia utu uzima sikufanikiwa kutoka kimaisha na kuweza kuifanyia jambo la maana. Niliangalia shughuli niifanyayo, kwa mifano hai ya waliotangulia kuifanya kabla yangu, HAKUNA KUTOKA...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa

    Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa kutoka mimba hadi umri wa miaka miwili. Hakuna nyara katika kufanya hivyo kwa wazazi, lakini athari zake ni za thamani. Tena, kwa sababu wewe si mzazi huyo au ulilelewa kizembe katika utoto wako, haimaanishi kwamba...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania India: Taharuki baada ya wanaume 11 waliombaka mjamzito kuachiwa huru

    Kuachiliwa kwa wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha kwa ubakaji na mauaji nchini humo kumezusha maandamano, huku mwathiriwa wa ubakaji akitoa wito kwa Serikali kubatilisha uamuzi wake, akisema umetikisa imani yake katika haki Bilkis Bano alikuwa na ujauzito wa miezi mitano...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Ulinzi wa Ruto wabadilishwa baada ya kuchaguliwa kuwa Rais Mteule

    Kitengo cha ulinzi kinachomlinda Rais Mteule wa Kenya, Dkt. William Ruto kimeimarishwa tangu alipotangazwa kuwa mshindi katika Uchaguzi Mkuu wa Urais, Agosti 15, 2022. Kitengo cha Ulinzi cha General Service Unit (GSU) kimeweka walinzi katika nyumba ya Ruto iliyopo Jijini Nairobi na nyingine ya...
  20. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hili lisipofanyika naiona Damu Kubwa sana inaenda kumwagika Kenya baada ya huu Uchaguzi Mkuu

    Ili Kukonga nyoyo za kila upande Hasimu Team Ruto na Team Odinga yeyote atakayetangazwa rasmi na Supreme Court ya nchini Kenya kuwa ndiye Mshindi' amteue Mpinzani wake kuwa Waziri Mkuu Cheo ambacho kwa Katiba ya Kenya hakipo ila katika Mazingira tatanishi na kuleta Usawa na Utulivu huwa...
Back
Top Bottom