Nimemaliza chuo narudi kijijini nakutana na yaleyale, nikaacha kazi na kuingia kwenye tech nikiamini tech itatatua matatizo haya mpaka kilimo, nakutana na tech Ecosystems yenye maneno mengi, nikafeli, nikaamua kurudi kijijini.
Nikakuta matatizo ni yaleyale, nimekaa vijijini na kushuhudia...