baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Inuka Tena Baada ya Kuanguka: Somo la Maisha

    Kaa chini kwa dakika chache na utafakari maisha. Fikiria watu uliowahi kuwaona wakifanikiwa sana — leo hawapo tena. Fikiria wafanyabiashara waliotikisa miji kwa utajiri wao — leo majina yao hayasikiki. Fikiria kampuni zilizokuwa kubwa, maduka yaliyokuwa yamejaa watu, biashara zilizokuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Trump kuondoka China ,sasa mbabe Putin ameitwa China ili kuchambua yaliyojadiliwa na Jin ping na Trump

  3. JamiiForums Tanzania Unaitazama na kuitathimini vipi Tanzania ya baada ya miaka 50 kutoka leo?

    Karibuni🇹🇿
  4. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kuchafuana baada mahusiano kuvunjika?

    Mmeamua kuachana si kila mmoja aondoke kimyakimya...ishu za kuchafuana zina umuhimu wowote? eti wakuu🤔
  5. JamiiForums Tanzania Mwanamke Anayerudi Baada ya Mafanikio

    Mwanamke kukuacha wakati wa struggles inaweza kueleweka. Lakini kumrudisha baada ya wewe kusimama tena — hiyo inaweza kuwa kujisaliti mwenyewe. Wapo wanawake ambao hawawezi kuvumilia kipindi kigumu cha mwanaume. Kipindi cha kujijenga. Kipindi cha uncertainty. Kipindi ambacho maisha bado...
  6. JamiiForums Tanzania Azam vs Pamba dakika ya 90, 0-0 nyongeza dk 7. Lakini baada tu ya Azam kufunga goli zikapunguzwa mpaka dak 3

    Nani mwingine aliona hio kitu
  7. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Ukimeza dawa na kisha ukatapika baada ya mfupi unapaswa kumeza tena, kutegemeana na dawa husika

    Wakuu nimekutana na hii concern ya mdau nikaona si mbaya nikiieleta hapa kupata ufafanuzi zaidi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya chuo ningepata kibarua, malipo!

    Habari za wakati huu Baada ya kuhitimu chuo 2025, niliweka matumaini mengi sana sababu Kuna watu hadi ndugu walinikazia nimalize ili wapate angalau namna ya kunisaidia, nilipambana nikamaliza yote ni Baada ya kuacha. Nilitakiwa nimalize 2023, ila mambo yakawa mengi chuo nkatema nkaingia kitaa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa nini utahisi ngozi ya tumboni na Kifuani kuwasha unapoanza Kukimbia baada ya Kukaa muda mrefu bila Matizi?

    Ukikaa muda bila kufanya mazoezi halafu siku ukirudi kukimbia ukaanza kuhisi kuwasha tumboni au kifuani mara nyingi ni mwili wako una-react na kitu kinaitwa histamine. Hii ni chemical ambayo mwili huwa nayo naturally na huwa inahusika kwenye allergy au kuwashwa kwa ngozi. Unapoanza kukimbia...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya pesa/mali, ni kivutio au kigezo kipi kinachofuatia pale mwanamke anapomuangalia mwanaume?

  12. JamiiForums Tanzania Uharibifu wa Kiuchumi Baada ya Uchaguzi 2025 Wafichuliwa

    Tume ya Uchunguzi ilibaini kuwa ghasia zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zilisababisha hasara kubwa ya kiuchumi. Uharibifu wa mali, biashara na miundombinu ulisababisha kupungua kwa shughuli za kiuchumi na kuchelewesha maendeleo ya taifa kwa miaka kadhaa. Ripoti...
  13. JamiiForums Tanzania Bunge lifanye jambo pale kwenye katiba ili Mama atuongoze angalau kwa miaka mingine 7 baada ya 2030, ndo hitaji la wananchi wengi kwa sasa

    Kwa sheria ya mabadiliko ya katiba, bunge lina nafasi kubwa ya kurekebisha katiba. Wananchi tulio wengi tumeona MAMA ANATOSHA AONGEZEWE MUDA. Bunge lifanya kitu kabla ya 2030 ili mama aendelee kuongoza kwa miaka mingine 7. Wazalendo tunataka mama amalize kabisa malengo yake mema kwa nchi hii...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pesa zinazokusanywa ni kwajili ya kuendeleza Dar, Dodoma na Zanzibar ? mikoa mingi imekuwa vyanzo vya mapato bila kupewa umuhimu kwenye maendeleo

    Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi. Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao, Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania Yafuzu Kombe La Dunia la Wanawake U-20 Baada ya Kuwatandika Cameroon 2-0

    Congrats nyingi sana Kwa Timu ya Tanzania. Hongera Rais Samia na Mwinyi Kwa kuwanunulia mashabiki tiketi za Bure waje kushangilia timu yetu na hawajatuangisha. https://www.instagram.com/p/DYKofFiDbNy/?igsh=MTU3dHI1NGR2em04Ng== https://www.instagram.com/p/DYKismUjUz1/?igsh=MTcybGsycHV4NGxlcw==
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya Ruto Kutakiwa Kutoa Maelezo Kwa nini Atangaze Mradi wa kiwanda bila Kushirikisha Tanzania,Amwambia Dangote Ahamishie Kiwanda Mombasa.

    My Take Usije Waamini Wakunya ni Moja ya watu matapeli ,wanafiki na haters wakubwa wa Tanzania. Hapa bwana Ruto ameamua kutumia Nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote Ahamishie wazo la kujenga kiwanda Tanga kwenda Mombasa kisa alitakiwa kujibu hadharani tuhuma za kujifanya Rais wa Kenya na...
  17. JamiiForums Tanzania CCM yaua stand ya mabasi ya Magufuli baada ya Magufuli kufa

    Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia. Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii...
  18. JamiiForums Tanzania Asee hii hantavirus baada ya wiki itapita na wengi

    Huu ugonjwa mpya wa virusi vya panya Hanta Virus baada ya wiki itaondoka na wengi. Abiria wa KLM inasemekana wengi wanayo na KLM kila siku inatua Kilimanjaro na Dar. Asee tumekwisha. Niko zangu hapa Ghetto natetemeka balaa isingekuwa msaada wa sigara na ba sijui ingekuwaje yani napanic balaa...
  19. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Cruise Ship Virus Yafika Radar ya Kenya?” Serikali Yatoa Tahadhari ya Hantavirus Baada ya Vifo 3

    Wakenya wameombwa kuwa alert baada ya World Health Organization na Ministry of Health Kenya kutoa advisory kuhusu mlipuko wa Hantavirus ulioripotiwa kwenye cruise ship iliyokuwa na abiria kutoka mataifa 23 tofauti. Kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya tarehe 8 May 2026, hadi sasa kuna cases 8 —...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Marufuku ya Siasa, CHADEMA yarudi Kwa Kishindo Arusha

    Baada ya kipindi kirefu cha CHADEMA kufungiwa kufanya shughuli za kisiasa, hatimaye leo umefanyika mkutano mkubwa jijini Arusha ukiongozwa na Lema na Boniface Jaco Nyomi ya watu ilikuwa si ya kawaida, hali ya hewa na mazingira vilikuwa vizuri sana, na mwitikio wa wananchi umeonyesha wazi kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…