The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.
Kaa chini kwa dakika chache na utafakari maisha.
Fikiria watu uliowahi kuwaona wakifanikiwa sana — leo hawapo tena.
Fikiria wafanyabiashara waliotikisa miji kwa utajiri wao — leo majina yao hayasikiki.
Fikiria kampuni zilizokuwa kubwa, maduka yaliyokuwa yamejaa watu, biashara zilizokuwa...
Mwanamke kukuacha wakati wa struggles inaweza kueleweka.
Lakini kumrudisha baada ya wewe kusimama tena — hiyo inaweza kuwa kujisaliti mwenyewe.
Wapo wanawake ambao hawawezi kuvumilia kipindi kigumu cha mwanaume.
Kipindi cha kujijenga.
Kipindi cha uncertainty.
Kipindi ambacho maisha bado...
Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport?
https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck
Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao.
Tumechelewa sana kuweka...
airport
baada
bado
haraka
jambo
kanda
kanda ya ziwa
kuhusu
kujenga
kujenga uwanja
kujengwa
kupinga
kuzuia
kwenu
moyo
mradi
muhimu
mvutano
mwanza
sababu
sana
sauti
serengeti
tanzania
ujenzi
ujenzi wa uwanja
utalii
uwanja
wabunge
ziwa
Habari za wakati huu
Baada ya kuhitimu chuo 2025, niliweka matumaini mengi sana sababu Kuna watu hadi ndugu walinikazia nimalize ili wapate angalau namna ya kunisaidia, nilipambana nikamaliza yote ni Baada ya kuacha.
Nilitakiwa nimalize 2023, ila mambo yakawa mengi chuo nkatema nkaingia kitaa...
Ukikaa muda bila kufanya mazoezi halafu siku ukirudi kukimbia ukaanza kuhisi kuwasha tumboni au kifuani mara nyingi ni mwili wako una-react na kitu kinaitwa histamine. Hii ni chemical ambayo mwili huwa nayo naturally na huwa inahusika kwenye allergy au kuwashwa kwa ngozi. Unapoanza kukimbia...
Tume ya Uchunguzi ilibaini kuwa ghasia zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 zilisababisha hasara kubwa ya kiuchumi. Uharibifu wa mali, biashara na miundombinu ulisababisha kupungua kwa shughuli za kiuchumi na kuchelewesha maendeleo ya taifa kwa miaka kadhaa. Ripoti...
Kwa sheria ya mabadiliko ya katiba, bunge lina nafasi kubwa ya kurekebisha katiba.
Wananchi tulio wengi tumeona MAMA ANATOSHA AONGEZEWE MUDA. Bunge lifanya kitu kabla ya 2030 ili mama aendelee kuongoza kwa miaka mingine 7.
Wazalendo tunataka mama amalize kabisa malengo yake mema kwa nchi hii...
Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi.
Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao,
Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
baada
bila
dalili
dar
dar es salaam
dodoma
ila
kiwango
kuandamana
kuendeleza
maendeleo
mapato
mikoa
nchi
oktoba
oktoba 29
pesa
sana
sawa
tena
umuhimu
vyanzo
vyanzo vya mapato
waafrika
zanzibar
zao
Congrats nyingi sana Kwa Timu ya Tanzania.
Hongera Rais Samia na Mwinyi Kwa kuwanunulia mashabiki tiketi za Bure waje kushangilia timu yetu na hawajatuangisha.
https://www.instagram.com/p/DYKofFiDbNy/?igsh=MTU3dHI1NGR2em04Ng==
https://www.instagram.com/p/DYKismUjUz1/?igsh=MTcybGsycHV4NGxlcw==
My Take
Usije Waamini Wakunya ni Moja ya watu matapeli ,wanafiki na haters wakubwa wa Tanzania.
Hapa bwana Ruto ameamua kutumia Nguvu kubwa sana kumshawishi Dangote Ahamishie wazo la kujenga kiwanda Tanga kwenda Mombasa kisa alitakiwa kujibu hadharani tuhuma za kujifanya Rais wa Kenya na...
Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia.
Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii...
Huu ugonjwa mpya wa virusi vya panya Hanta Virus baada ya wiki itaondoka na wengi.
Abiria wa KLM inasemekana wengi wanayo na KLM kila siku inatua Kilimanjaro na Dar.
Asee tumekwisha. Niko zangu hapa Ghetto natetemeka balaa isingekuwa msaada wa sigara na ba sijui ingekuwaje yani napanic balaa...
Wakenya wameombwa kuwa alert baada ya World Health Organization na Ministry of Health Kenya kutoa advisory kuhusu mlipuko wa Hantavirus ulioripotiwa kwenye cruise ship iliyokuwa na abiria kutoka mataifa 23 tofauti.
Kwa mujibu wa taarifa ya serikali ya tarehe 8 May 2026, hadi sasa kuna cases 8 —...
Baada ya kipindi kirefu cha CHADEMA kufungiwa kufanya shughuli za kisiasa, hatimaye leo umefanyika mkutano mkubwa jijini Arusha ukiongozwa na Lema na Boniface Jaco
Nyomi ya watu ilikuwa si ya kawaida, hali ya hewa na mazingira vilikuwa vizuri sana, na mwitikio wa wananchi umeonyesha wazi kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.