baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya kumkosa Messi, Al-Hilal yamuwania Neymar

    Klabu hiyo ya Saudi Arabia inamuwania mshambuliaji huyo wa Paris Saint-Germain (PSG) aliyesajiliwa kikosini hapo Mwaka 2017 kwa Pauni Milioni 198. Neymar yuko mbioni kuondoka PSG baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na Klabu huyo ambapo wababe hao wa Saudi Arabia wanahitaji kumsajili baada ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza baada ya kupitia mikataba ya makubaliano mbalimbali ya DP World

    Haya nimejifunza baada ya kupitia vyombo vya habari na mitandao mbali mbali kuhusu mikataba ya makubaliano ambayo Dp World waliingia sehemu mbali mbali; 1. DP World ni kampuni kubwa duniani hasa kwenye masuala ya uendeshaji Bandari. 2. Makubaliano maeneo ya uwekezaji na matokeo ya uwekezaji ...
  3. JamiiForums Tanzania Nyerere na Magufuli wanatoa machozi baada ya azimio la bunge kuibinafsisha bandari za Tanzania kwa nchi ya Dubai

    Hayati Rais Magufuli alinunua mitambo miwili kwa ajili ya bandari ya Dar es Salaam, ambayo ni World first class yenye thamani ya trillion 3.2 na imefungwa juzi tu wakati ameshafariki,ajabu katika maelezo ya mkataba uliopitishwa na bunge,wanasema Dp World wataleta mitambo na kuendeleza bandari...
  4. JamiiForums Tanzania Clement Mzize abadili dini lakini nimeshangaa kumuona akipiga ishara ya msalaba baada ya mechi kumalizika

    Hii ilitokea baada ya mechi ya Mbeya city vs Yanga kumalizika juzi, ama kweli mazoea hujenga Tabia.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai alisema itauzwa. Tusibiri kinachofuata baada ya bandari na Loliondo

    Spika aliyelazimishwa kustaafu kwa kusema ukweli au kutabiri yajayo akalazimishwa kustaafu chini ya mtutu wa Bunduki. Haya bandari tushauza. Ngoja tukauze na shamba letu la Bagamoyo
  6. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga baada ya kuona Saidooo anamzidi Mayele kwa assist sasa wamehamia kwenye Penati

    Hivi nyie mashabiki wa uto mnaakili kweli? Au ndio kale kamsemo kuwa wenye akili ni wawili tu hapa jangwani? Kwa taarifa yenu saidoo ndiyo top score takwimu zote zinambeba, mzee wa kutingisha manyonyo apite hivi.
  7. JamiiForums Tanzania Fanya Kila Siku, Na Baada Ya Siku Thelathini, Utathmini Ilivyokuathiri

    Ninakupa angalizo mapema! Usiliamini hata neno moja katika haya ninayokuambia. Ukichukua hatua yoyote utakayochukua, ni wewe umeamua hivyo. Kwanza, ni nani anayeweza kukuambia cha kufanya? Wewe ni mtu mkubwa sana. Wewe ni BIG BOSS. Kitendo cha KUPEWA ubongo wenye seli zaidi ya bilioni moja...
  8. JamiiForums Tanzania Baada ya UN kushindwa kuchukua hatua dhidi ya Urusi hivi ndivyo mambo yalivyo huko Kyv, Ukraine

    USELESS: Kyiv residents left a message for the UN by tagging the organisation's vehicles that have been parked in the centre of Kyiv.
  9. JamiiForums Tanzania Nimepata Matatizo ya Kiafya baada ya kujifungua

    Habari zenu. Naombeni ushauri kwa ufupi. Nimejifungua mwaka huu ila nimepata presha baada ya kujifungua nikavimba na kuumwa kifua sasa. Hospitali moja wakasema nimepata tatizo la moyo wakanipa rufaa kwenda hospital kubwa lakini wanasema moyo upo salama japo mapigo ya moyo yanapiga sana na...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya Azam kumchukua Feisal sasa bado Chama

    Nliwahi waambia watu anayempa kiburi Feisal Toto ni Yusuf Bakhressa. Wakabisha watu humu. Na nliwaambia kwenye target yupo pia Chama na Dickson Job. Simba mkae tayari Chama anatakiwa Azam. Lengo la Feisal ni kuwa baadaye aende uzwa nchi za amerika kusini. Subirini acheze cheze Azam akae sawa.
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa serikali: Iandae mikakati ya kudhibiti soko la silaha na uingizaji silaha baada ya mgogoro wa Ukraine

    Mgogoro wa Russia na Ukraine umepita mwaka mmoja sasa na huenda usiishe hivi karibuni. Nchini Ukraine hivi sasa wapo watu ambao wafanya kitu chaitwa mavuno yaani kuokota silaha kwa ajili ya kuzifanyia matengenezo, kuzisafisha kwa ajli ya kuziuza baadae. Mara nyingi silaha hizi kupitia wauzaji...
  12. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA waenda Mapumzikoni Ulaya baada ya ziara ya +255

    Salaam Wakuu Viongozi wakuu wa CHADEMA wameanda zao Italy na Ujerumani baada ya kuhitimisha Ziara ya +255. Chama kikuu cha upinzani, CHADEMA, hivi kilizindua kampeni maalumu ya kudai katiba mpya ikiwa ni takribani wiki mbili tangu Rais Samia Suluhu wa nchi hiyo kutangaza azma ya kuufufua...
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Hii ndio makala ya leo swali la wito kwa Watanzania wenzangu, jee jjifunze kujikubali kuwa hatuwezi kila kitu!, hakuna nchi yoyote duniani wanaweza kila kitu wao wenyewe!. Kuna vitu sisi Watanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

    Mpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani. Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya Bandari, namshauri Rais tubinafsishe Shirika la Reli

    Kiukweli mie ni mmoja wa waliofurahishwa na mchakato wa kubinafsishwa bandari ya Dar es salaam. Wadau sote tunajua kuna uvujaji mkubwa wa mapato pale port unaotokana na urasimu, ucheleweshaji mizigo, rushwa, Wizi, ukwepaji kodi na hivyo serikali kuambuliakidogo huku kipato kikubwa kiki toroshwa...
  16. JamiiForums Tanzania Tunamshauri arudiane na mkewe: Waliachana baada ya mume kuzaa nje ya ndoa

    Ilikuwa miaka 5 iliyopita kaka yangu upande wa Baba mkubwa. Yeye alikuwa na ndoa yake kabisa na alikuwa na watoto 2 wa kiume na wa kike. Kaka yangu yule ni mtu wa ubabe ubabe. Sasa miaka 5 iliyopita bro wangu alikuwa na mchepuko, sasa katika kuchepuka nae, yule dada alibeba ujauzito wake. Bro...
  17. JamiiForums Tanzania Nisaidieni kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online iitwao tausi portal

    Habari, naomba mwenye uzoefu wa kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online uitwao tausi portal unaopatikana katika tovuti ya Tamisemi, anisaidie namna ya kupata mawasiliano ya huduma kwa wateja, kwani mtandao umekuwa na changamoto ya kuchelewa kutoa control number ili kupata leseni ya...
  18. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Wagner apatwa na hasira baada ya Ukraine kuendelea kurejesha ardhi ya Bakhmut

    Ikumbukwe Warusi walikufa zaidi ya 60,000 huku wengi wakiwa wapiganaji wa Wagner kipindi walikua wanajaribu kuteka mji wa Bakhmut, kiongozi huyu alijitangazia ushindi na kuondoka na kuacha wanajeshi wa Urusi wakijipambania, sasa amehamaki sana baada ya taarifa kumfikia kwamba maeneo mengi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kamkataa mke mtarajiwa: Baada ya kujua mama yake alizaa na shemeji yake. Dogo anaona kama anaoa laana

    Habari wana FF. Nina ndogo wangu wa kiume hapa ana 27 years. Sasa alikuwa na rafiki wa kike yani yeye aliona huyu ndo mtarajiwa. Mwaka jana mwanzoni dogo aliitaji kufahamiana sana hasa kifamilia na mpenzi wake. Sasa baadae akaja kujua Baba yake haishi na mama yake. Yeye alisema kuwa kwa Baba...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyopata hofu baada ya kutembeza na Jimama

    Wadau nawasalimu tena kwa mara nyingine. Najua mpo fresh na mambo yanatembea hata kama ni kigumu. Leo nimeona niwape mkasa ambao nimeuhifadhi kwa muda mrefu kidogo nikiwa nasubiri nipate uhakika wa afya yangu kama nipo salama au nimepata BOKO haramu. Ipo hivi, Miaka ya nyuma kidogo kipindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…