asubuhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ibada ya asubuhi 💦 - karibu tuzogoe 🤭!

    Tuambizane, siku hizi za weekend wewe unapenda kuamshwaje na mwenza au mpenzi wako? Leo nafungua macho nasikia sauti ya adhana na mipapaso ya ba mjengo, nikamtizama huku napata shida kufungua macho, ila yeye namuona sura kavu kama alishaamka muda mrefu. Mara akashuka kitandani, nikajua anaenda...
  2. Bunge la 13, Mkutano wa 5, Kikao cha 8 Tarehe 05 Novemba, 2026, Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=lp2b2bJzLvU
  3. Bunge La 13, Mkutano Wa 5, Kikao Cha 6 Tarehe 03 Novemba , 2026, Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=7S-uLGhMxNs
  4. U

    Wadau huku kwetu Tarime tukiamka asubuhi tunakula ugali wa udaga na supu ya utumbo au nyama

    Sijaona mtu akinywa chai na maandazi asubuhi Niwatakie Jumapili njema
  5. S

    TANESCO acheni kukosa ustaarabu: mkisema umeme utakatwa saa 12 asubuhi na kurudi saa 12 jioni, basi rudisheni umeme saa 12 jioni sio saa mbili usiku!

    Tanzania tuna silka moja ya kuongea uongo hasa linapokuja suala la wakati. Mtu anakuambia nitafika hapo baada ya dakika kumi halafu anafika baada ya saa nzima. Mkutano unaotakiwa kuanza saa tatu asubuhi unaanza saa tano asubuhi. Kiongozi alisemwa atafika saa nne asubuhi anafika saa sita mchana...
  6. CDM mkiendelea kutumia jeshi la mtu mmoja hakika mtaanguka asubuhi na mapema.

    Heshima sana wanajamvi. Tanzania ni kati ya nchi kubwa Barani Afrika.Ukubwa wa Tanzania ni 947,303 Sq Km. Ukizichukua Kenya,Uganda,Rwanda & Butundi kwa pamoja bado hazijafikia ukubwa wa Tanzania. CDM pamoja na kuwa na muundo mzuri wa kiuongozi yaani Kanda,Mkoa,Wilaya na Kata bado inategemea...
  7. Wenyeji wa Mwanza, Nitajieni sehemu za Kutembelea Hapa Mjini, Ndani ya Siku Moja (Asubuhi - Jioni), Usiku Naanza Safari ya Kuondoka.

    Maboss. Nimefika saa 10 jioni. Nimetokea Sengerema, sehemu nilizopita hadi sasa. 1. Daraja la Magufuli/Busisi. 2. Stendi ya Mabasi ya Nyegezi. 3. Nimeona Ujenzi wa SGR sema imepelekea kuziba view ya Ziwa unavoingia Town from Geita Rd. 4. Nimeenda Airport. 5. Nimeenda hadi kule mlimani...
  8. Kwa nini Wakristo wameweka mkazi kusali kabla ya kulala na wakiamka asubuhi?

    Kwa nini Kusali iwe kabla ya kulala usiku na unapoamka asubuhi? Usingizi wa usiku unatisha ? Ni kama vile binadamu wanaogopa wakilala wanaweza wasiamke, watakufa usingizini usiku!🤣 Sijui wanaofanya kazi usiku nao huwa wanaomba kumshukuru mungu kwa kuwafikisha asubuhi wakimaliza shift yao !
  9. TRC mliwaza nini kuondoa route ya saa 3 asubuhi ya SGR kutoka Morogoro kwenda Dar ? Mjibuni Afande Sele!

    .
  10. Meditation ya jua la asubuhi na jua la jioni.

    Hii ni tahajudi bora sana. Inaweza kukusaidia kupona ugonjwa ambao ujuwi umetoka wapi. TAHADHALI. kama unamwili dhaifu usijaribu maana itakufanya uwe mgonjwa, utapike, udhaifu , kutokujielewa. fanya mazoezi hata ya kukimbia. NJISI YA KUFANYA. 1.Kaa mkao wa yoga, au usimame kuangalia jua (...
  11. Nimekunywa dawa za mafua aina ya cetrizeni leo saa 2 asubuhi, saa 5 asubuhi nikanywa konyagi,je kuna madhara yoyote?

    Salamu Nimeamka na mafua,nimepiga dawa aina ya cetrizeni ilikua saa 2 asubuhi, ilipofika saa 5 asubuhi shetani akanipitia nikapiga toti ya konyagi,nimeenda saa 7 nimepiga konyagi ndogo nzima na soda ya tonic. Je kuna madhara yoyote?
  12. Nipe cha asubuhi ……. karibu tuzogoe 😋

    Kabla ya yote: hivi kuna ubishi kwamba kuchakatana asubuhi au alfajiri ni tamu zaidi kuliko wakati mwingine wowote? Zogo: Leo nimemshwa na mikono ya ba mtu anaminya minya mkia, halafu mchi wake unasoma 5G ameulaza juu ya mkia. Nikajisemea moyoni "umeniwahi maana ningeanza kuamka mimi...
  13. I

    Asubuhi ya Majonzi Kenya - Watu 17 Wafariki Katika Ajali Salama Blackspot

    Watu 17 wamefariki katika ajali mbaya iliyohusisha magari kadhaa eneo la Mlima Kiu, Salama, kwenye barabara kuu ya Nairobi–Mombasa, Kaunti ya Makueni, mapema Jumamosi, Oktoba 3, 2026. Ajali hiyo ilitokea muda mfupi baada ya saa sita usiku, wakati lori lililokuwa likitoka Nairobi kuelekea...
  14. Nimesoma kesi ya uhaini ya kina Anko Tom asubuhi hii, Katuga ni mwanasheria wa hovyo kuwahi kumuona duniani!

    Kwanza nimejua kwamba makesi makubwa makubwa waliowahi kupewa kuanzia kina Slaa, Mbowe na sasa Lissu ni matokeo ya uongozi wa sasa tulio nao ambao ni uongozi wa hovyo. Uongozi ulioshusha kwa kiwango kikubwa hadhi ya Tanzania kama nchi. Kwanza nikiri nilipokuwa nasikia Lissu akitaja taja jina la...
  15. Hukumu ya Tundu Lissu ni tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi

    Yaani namanisha tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi ndo siku ambayo Tundu Lissu atakuwa Uraiani. Kama aliweza kuvumilia mwaka na nusu Gerezani, hatashindwa kuvumilia mwezi mmoja. Hongera sana Tundu Lissu kwa kazi nzuri Mahakamani. Sasa unatakiwa uitwe profesa. Baada ya kusikiliza...
  16. Gazeti la "BONGO FLAVA" "CELEBRITY" na " ASUBUHI NEWS" ni Mali ya Mkurugenzi wa C-C Digital Pro, Bw. Civilian-Coin

    Magazeti haya yote matatu hutoka kila moja na muda wake, BongoFlava hutoka Mara Moja kwa wiki, Celebrity hutoka Kila baada ya siku mbili na ASUBUHINEWS kwasasa ni Mara Moja kwa wiki. Kampuni binafsi ya C-C Digital Pro ndio huratibu Kila kitu online Chini ya Mkurugenzi na Chief Editor wake...
  17. Hamna kitu kinauma kama tangu asubuhi umeuza elfu 30 tu, alafu nje ya duka lako jamaa kapaki hilux number E (Tsh 70m+). Hivi mnapataje pesa wakuu?

    Simtufundishe tulishe familia zetu na tukimbie aibu ya ukata
  18. Tanzania Twitter/X asubuhi ni kama kanisa.

    Asubuhi ukiingia Twitter/X kila Mtanzania aliyepo huko ameposti Tweet ya maombi kushukuru mungu kuamka salama, maombi au sala ya kuomba kwa kwa ajili ya siku mpya, nukuu za maandiko ya Biblia na tweets za kuwaambia watu wamshukuru mungu au tunaanza na mungu.
  19. Habari ya asubuhi wakuu. Wale ambao ni watumiaji M-WEKEZA tusaidieni mawili matatu kuhusu akiba baada ya kuitumia

    Ni kweli wanakupa riba 13% kwa mwezi? Changamoto zake? UZuri wa hii huduma? Karibuni
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…