askofu

  1. Askofu Rweyongeza: Kuna watu na makundi yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga mkoani Kagera, Mhashamu Almachius Vincent Rweyongeza, amesema kuna watu na makundi katika jamii ya leo yanayotumia nguvu, risasi na mabomu ya machozi kwa sababu ya kushindwa hoja, akifananisha tabia hiyo na akina Herode waliokataa kumpokea Yesu Kristo, Mfalme...
  2. S

    Askofu Bagonza: Yesu alimwita Herode kuwa Mbweha. Unang’aka kuitwa Lofa?

    Wakuu Askofu Kalikawe Bagoza anasema; Yesu alimwita Herode kuwa ni Mbweha (Luka 13:32). Unang'ka kuitwa Lofa? Mimi nimeitwa fala nikanenepa 🤣🤣
  3. S

    Baadhi ya waumini waliojitambulisha kama wakatoliki wamemshukia Askofu Ruwai'ch baada ya kauli yake ya 'lofa'

    Wakuu kunazidi kuchangamka Watu kadhaa waliojitambulisha kama waumini wa kanisa katoliki wametoa tamko lao kueleza kutopendezwa na maneno aliyoyatoa Askofu Mkuu wa Jimbo la Dare es salaam, Askofu Ruwai'ch dhidi ya wale waliojitokeza na kusema wanataka kumshtaki Padre Kitima. Mmoja wa watu hao...
  4. S

    PostGE2025 Askofu Kyando: Wanaotaka kumshtaki Kitima wanataka umaarufu, uchawa

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Njombe, Mhashamu Eusebio Kyando, amesema baadhi ya vijana wanapoteza mwelekeo wa imani kwa kuyumbishwa na tamaa ya umaarufu, pesa na mahitaji ya maisha, akionya kuwa hali hiyo inasababisha wengine hata kuukana wazi Ukristo wao. Askofu Kyando ametoa kauli hiyo hivi...
  5. PostGE2025 Askofu Mihali awaasa Wakatoliki waliofanya Udanganyifu kwenye Uchaguzi wakatubu

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa kutotenda haki ni dhambi kubwa. Askofu Mihali alitoa wito huo wakati...
  6. S

    Askofu Eusebius Nzigirwa: Ukichezea thamani ya Binadamu Kanisa litapinga kwa sauti kubwa

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mpanda Eusebius Nzigirwa amesema katika kusherekea sikukuu ya Christmas siku hiyo inawakumbusha watu thamani na hadhi ya utu wa mwanadamu na kanisa limekuwa likisimama kukemea kwa sauti kubwa wale wanaojaribu kuuchezea utu wa mwanadamu. Askofu Nzigirwa amesema...
  7. Askofu Malasusa: Kuna watu jamii ikikaa kwa amani wanaumia

    Katika kile kinachoonekana kujibu mapigo ya maaskofu wa kanisa lile walioamua kuwa wanasiasa,askofu dkt malasusa amesema kuna watu hawapendezwi na jamii kukaa kwa amani Wale wa kanisa lile wameshindwa kung'amua kuwa huwezi tafuta haki pahala pasipo amani,licha ya kusifiwa kuwa na elimu za chuo...
  8. K

    Huyu Askofu mbona haeleweki?

    Nimesikiliza sana ila sijaelewa, nikasema pia na machapisho bado sijaelewa... means waendelee kuandamana au kudai vipi? Wapi? Tuseme Leo askofu amekuwa disappointed kwa watu kutoandamana? 🤔Tuendelee kutafakari lengo lao, huku papa anasema msitumie dini.... 🙌 ASKOFU AWAHIMIZA WAKRISTO KUDAI HAKI...
  9. Ni vema Askofu Ruwai'chi akatubu kwa kumuita lofa mtu aliyemshitaki Padri Kitima kwa Papa

    Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima. Askofu Ruwai'chi ameonesha kukosa uvumilivu wa kimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe. #Roho itendayo dhambi ndiyo...
  10. Askofu Mihali Wakatoliki waliosimamia uchaguzi na kufanya Udanganyifu wakafanye kitubio

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa kutotenda haki ni dhambi kubwa. Askofu Mihali alitoa wito huo wakati...
  11. Askofu Mihali: Umepewa wajibu wa kusimamia uchaguzi, umesimamia vizuri?

    "Tungeweza kusema ujio wa Yesu Kristo umeondoa kila aina ya dhuluma, uwe umeondoa kabisa hali ya uonevu, uwe umeondoa kabisa hali ya kutojali utu, uwe umeondoa mauwaji au kuuawa kusipokuwa na hatia, uwe umeondoa kabisa unyanyasaji wa aina mbalimbali , tulidhani imengekuwa hivyo miaka yote...
  12. Askofu Dkt. Kisale: Kwanini ukitaka kusema masuala ya Haki unaambiwa hapana sema Amani

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonnite Tanzania, Dkt. Nelson Kisale, amesema hofu inayotawala mioyo ya watu sasa ni zao la matendo yetu hata kutufikisha Kwenye yaliyotokea Oktoba 29 na siku zilizofuata. Akihubiri kwenye ibada ya Noeli leo Desemba 25, 2025 mkoani Mara, Dkt. Kisale ameshangaa kuona...
  13. Askofu Ruwa'ichi: Watanzania hawashabikii haki, wengi kwa ujinga au kutokujua wanajidai wadau wa amani

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa'ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki. Amesema wengi wao kwa ujinga, kwa kurubuniwa au vinginevyo wamekuwa wadau wa amani akiweka msisitizo kuwa pasipo na haki hakuna amani. Askofu Ruwa'ichi...
  14. Askofu Kisare: Tuwasikilize vijana wanataka nini, Hakuna haja ya kutumia nguvu kubwa kuwanyamazisha kundi hili

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, ameishauri Serikali pamoja na viongozi wa dini kuweka mifumo bora ya kuwasikiliza Vijana na kuwapa nafasi ya kutoa maoni yao, badala ya kutumia nguvu kubwa katika kuwanyamazisha. Askofu Kisare ametoa kauli hiyo jana, Desemba 17...
  15. PostGE2025 Askofu Bagonza: Utesaji wa vyombo vya ulinzi kutafuta ushahidi unalivunjia heshima taifa letu

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ Utesaji unalivunjia heshima taifa letu. Zipo taarifa za uhakika kuwa katika jitihada za vyombo vya ulinzi kutafuta ushahidi, vinatumia mateso na udhalilishaji (torture) ili kuwalazimisha watuhumiwa waseme...
  16. Askofu Mkuu wa KKKT Dr Malasusa (PhD) anastahili pongezi kwa uzalendo

    Mhashamu Dr Askofu Mkuu KKKT Alex Malasusa (PhD) . Pongezi kwa kupambania Tanzania na Kanisa lako
  17. PostGE2025 Askofu Ruwa'ichi: Mkiua nyoka wote, panya watawasakama mpaka kieleweke

    Katika Adhimisho la Misa Takatifu ya hija ya WAWATA Jimbo Kuu la Dar es Salaam iliyofanyika Disemba 6, 2025 Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap amesema nyoka anawasifu wa kuhifadhi mazingira na kuleta uwiano lakini...
  18. Askofu usikubali kumsujudia shetani wajua wanawinda kichwa chako

    Wajua nini chakusema. Bakia palepale guy. Miye nilikuambia Siku Ile uhame pale wajua nini kingetokea kama usingehama. Leo wamekuwekea mtego hapo kwako Kesho wakunase. Au wajuemo wapi uko. Bakia humohumo. Mulemule mayi. Hutaki utekaji siye pia. Nye Nye Nye. Hiyo hutuba uliyoletewa usisome. Wape...
  19. B

    Mzee wetu Askofu Zachary Kakobe yuko wapi?

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) jijini Dar es Salaam, Bishop Zachary Kakobe ni miongoni wa watu wenye umaarufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, kutokana na huduma zake za kiroho kama Mtumishi wa neno la Mungu. Lakini si hivyo tu, Bishop Kakobe ni mmoja wa watu wenye...
  20. M

    PostGE2025 Mchungaji Hananja alimponda Askofu Gwajima kuwa anatukana Matusi madhabahuni, leo mwanaye kapigwa risasi

    Nimeshanga sana kusikia kuwa Mch Hananja ana mwanae anayesoma Udsm. Alipigwa risasi Mgongoni na ana jeraha kubwa. Huko nyuma alimtakia Askofu Gwajima kuwa aache matusi madhabahuni. Kisa tu anakemea utekaji na maovu. Hapa tunajifunza nini? Tusitetee maovu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…