askofu

  1. R

    Askofu Bagonza: Kiongozi asiyekubalika anaweza kuwapa watu wali na nyama wakakataa na kushinda njaa

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amesisitiza kuwa uongozi wa kweli hauhitajiki nyakati za amani na upatikanaji wa rasilimali, bali unahitajika zaidi wakati wa migawanyiko, mivutano na changamoto za kijamii. "Unaweza kuwa na kiongozi...
  2. U

    Uteuzi: Baba Mtakatifu amemteua Padre Joseph Mashaka Triphon kuwa Askofu wa Jimbo jipya la Nzega

    Hongera kwa kupandishwa cheo Hongera kwa uteuzi Menu Baba Mtakatifu Vatican Kanisa Ulimwengu Chagua lugha yako Youtube Instagram Rss Tafuta Tafuta Le Dieu cachè RatibaPodcast Askofu Joseph Mashaka Triphon, C.S.Sp., Jimbo Katoliki la Nzega, Tanzania Vatican Askofu Joseph Mashaka Triphon...
  3. M

    PostGE2025 Askofu Rweyongeza: Kuwaombea Marehemu wa Oktoba 29, 2025, Si kuvuruga amani

    Almachius Vincent Rweyongeza, Askofu wa Jimbo Katoliki la Kayanga, Kagera Na kutukana vikali kwamba maskofu wanavuruga amani ya nchi kwa kufukua makaburi. Basi ukaanza kujiuliza hapa wito ni matamuko hilo? Ni kufukua makaburi? Ukimia unayoga wa wananchi ni amani hiyo? Sasa naomba niwasomee...
  4. Q

    Askofu Rweyongeza: Hata kama kesho kutakuwa na mabomu kama ya tarehe 29, njoo Kanisani kusali

    Wakatoliki hatuna, bunduki, hatuna, mizinga, hatuna mabomu ya machozi, silaha yetu pekee ni sala, hata kama mtakutana na mabomu kama ya tarehe 29/10 njooni kanisani tusali, kwa Mungu hakuna linaloshindikana.
  5. Tlaatlaah

    Licha ya ukongwe na majigambo yake yote katika kuhubiri lakini Askofu J.Gwajima hana na wala hamiliki Tv channel kwenye kisimbuzi chochote Tanzania

    Unadhani changamoto yake ni nini hata ang'ang'ane YouTube tu, tofauti na maaskofu, wachungaji, mitume na manabii ambao hawana ukongwe sana katika kuhubiri, lakini wamejitanua hadi nje ya YouTube, na wamejizatiti mpaka kufikia hatua ya miliki channels zao wenyewe kwenye visimbuzi mbalimbali...
  6. McLaren

    Askofu Bagonza: Anayekosoa na anayepongeza tupendane

    Alichoandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza kwenye Ukurasa wake wa Facebook
  7. M

    Askofu Jude Ruwa'ichi: Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo

    "Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo. Ubinafsi umeshamiri, ufujaji umeshamiri. Na karibu misingi yote ya maadili hakuna anayeihangaikia tena. Ni kweli kanisa linatambua kwamba tunapaswa kutembea katika misingi ya uadilifu na kanisa linahubiri na...
  8. O

    Askofu Mwenye Mshahara wa KSh1.2M kwa Mwezi Afungua Kesi Dhidi ya Kanisa Aliloanzisha, Adai KSh21M

    Mwanzilishi wa kanisa la Mamlaka Hill Chapel, Askofu Charles Muhia Ng’ang’a, amefungua kesi katika Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi jijini Nairobi akitaka kurejeshwa kwenye nafasi yake baada ya kufutwa kazi, huku akidai fidia ya zaidi ya KSh21 milioni. Ng’ang’a, ambaye alikuwa akipokea...
  9. peno hasegawa

    Huyu Baba Askofu, tunaomba Serikali impatie Ulinzi! Usiku na Mchana

    Maneno ya Askofu "Haki huinua taifa... Taifa lolote ili liendelee linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa Rais wa nchi, huyo ndiye 'right maker' wa haki." "Taifa limetenda dhambi mbaya. Yaani tuko kwenye dhambi mbaya. Mungu anasema, 'Haki huinua taifa'... Lazima asimame kwa...
  10. K

    Rais Samia kwenda msibani Zimbambwe ameandika Askofu Emaus Mwamakula

    SAMIA KUHANI MSIBA WA CHIVAYO KESHO? Hopewell Chin'ono wa Zimbabwe ameandika katika ukurasa wake wa Facebook akidai kuwa vyanzo vyake vya taarifa vinasema kuwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu anatarajia kuruka kesho kwenda Zimbabwe kuhani msiba wa Wickenell Chivayo aliyeuawa katika ajali ya...
  11. BIOTOXINS

    Wanawake na pesa ni kama askofu na bible

    Huyu jamaa angempa hata teni
  12. Q

    Askofu Bagonza: Kuna kila dalili serikali inahusika na watu kupotea, kutokana na kauli za viongozi wake

    Kupitia ukurasa wake wa Facebook, Askofu Bagonza amesema kuna kauli za viongozi zinatolewa kwa vitisho kuwachukulia hatua watu wasiokubaliana au kutoisikiliza Serikali. Amesema, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, alisikika akiwaambia madereva kuwa asiyemsikiliza ahakikishe ameiaga...
  13. kavulata

    Askofu apigana kisa waraka, pepo linamtafuna.

    Pepo kanisani. https://www.instagram.com/reel/DdzWfPLInes/?stkn=MXB0OHRtczVhMnZjMA==
  14. Q

    Askofu Mwamakula: Makonda halijui vizuri Kanisa

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian, Emmaus Mwamakula, amemjibu Paul Makonda, akidai kuwa kauli zake za kulitaka Kanisa kuacha “kunyooshea kidole” Serikali zinaonesha kutolijua vizuri Kanisa na historia yake. Akizungumzia kauli ya Makonda kwamba Kanisa linalonyooshea Serikali kidole si Kanisa...
  15. Hismastersvoice

    Askofu Malasusa kuwa makini na kanisa lako acha kukaribisha wanaccm wenzako kushambulia makanisa mengine

    Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa...
  16. papag

    Msikilize Baba Askofu kuhusu malezi

    Tuko kwenye kipindi kipi? Na je huko mbele Taifa litakuwaje?
  17. The Palm Beach

    Yuko wapi Askofu wa makanisa ya GCTC - Ufufuo na Uzima Dr Josephat Gwajima?

    https://youtu.be/VucOADP1loY?si=f0xgGxMinKLYLnbZ Mnajua yuko wapi huyu Jesusi wa mbinguni, Askofu Josephat Gwajima? Mnakumbuka aliyowahi kusema huko nyuma kuhusu Tanzania na mwisho wa CCM? Sikilizeni... Vita ya kuikomboa Tanganyika inapiganwa katika maeneo mawili; 1. Mwilini (Physical realm...
  18. Ileje

    Askofu Mwamakula alivyomtwanga Simbachawene kwa hoja hadi leo hajazinduka

    ASKOFU AJIBU HOJA ZA SIMBACHAWENE JUU YA DKT. NCHIMBI NA KATIBA MPYA! Ndugu Watanzania! Mbunge wa Jimbo la Kibakwe mkoani Dodoma na aliyekuwa Waziri Mwandamizi katika serikali ya Samia na Serikali ya Magufuli, Mhe. George Simbachawene kasikika akisema kuwa katiba ya Tanzania iko imara na haina...
  19. Mshana Jr

    Ndugu wa Polepole ateta na Askofu!

    Ndugu Watanzania! Usiku huu nimepokea ujumbe kutoka kwa mtu ambaye ni mmoja wa ndugu wa Mhe. Balozi Humphrey Polepole. Nimebadilisha initials au utambulisho wake kwa sababu za kiusalama. Suala la Polepole lina simanzi isiyoisha, hivyo hatuwezi kupuuzia minong'ono yoyote kuhusu wapi alipo. Kwa...
  20. The Palm Beach

    Askofu Josephat Gwajima: Mungu hachelewi kutimiza ahadi yake. Utekaji umezidi. Maisha ya watu yanaharibika. Mungu atajibu kwa upanga

    "...Mimi ni mwanachama CCM, mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM ambaye hakubali uonevu, hakubali utekaji na ambaye hakubali ufisadi. Mimi nimedhamiria kusimama na wananchi mpaka mwisho..." Hii ndio kauli iliyowakwaza watawala waovu wa serikali dhalimu ya Samia Suluhu Hassan na CCM yake hata...
Back
Top Bottom