askofu

  1. GE2020 Askofu Gwajima atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kawe

    Askofu Josephat Gwajima ametangaza nia ya kugombea ubunge Jimbo la Kawe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na leo amefika kwenye ofisi za chama hicho kupewa utaratibu. Kuhusu kuunga mkono UKAWA mwaka 2015, amesema hajawahi kuwa Mwanachama wa CHADEMA, ila hutetea haki wakati wote. === Aliingia...
  2. Askofu Bagonza nauliza upo upande upi kisiasa?

    ASKOFU BAGONZA NAULIZA, UPO UPANDE UPI KISIASA? Na, Deogratias Mutungi Nianze makala haya kwa kurejea msemo wa wahenga wa kiswahili usemao “Kuuliza si ujinga” aidha mwenye kuuliza ujengwa katika tabaka la udadisi, kwa muktadha huo udadisi si utundu wala ukorofi bali ni uungwana ulio jaa...
  3. Bilionea Laizer asimzoee sana Millard Ayo na waandishi, akumbuke ya Askofu alipoishia na mabilioni

    Hii ni ushauri kwa aliye karibu na bilionea mpya, Laizer wa Arusha. Aogope sana maana waandishi wa habari watampamba, watamfurahia mpaka mwisho akiwapa vijisenti wakimtangaza. Siku akiishiwa huanika kila kitu na kubakia haamini kama ni wale waliokula naye nyama za ng'ombe na kutapakaa...
  4. Ukijijua kuwa umeharibu katika Serikali ya Awamu ya Tano na unataka kutumbuliwa, basi umwonapo tu Mtumbuaji Mkuu ongozana na Askofu, hakutumbui ng'o!

    " Nimeambiwa hata Mkurugenzi wa hapa ana matatizo ajirekebishe, siwezi nikamtumbua mbele ya Askofu, madhambi yake anayajua ameuza eneo kule, kikao kikakaa na mkataba alisaini kwa Tsh Mil 225 na kwa taarifa za pembeni ziliingizwa Mil 400 " - Rais @MagufuliJP Mzukulu nilikuwa sijui kumbe nchini...
  5. T

    Kufutiwa leseni Tanzania Daima, wito wa Askofu Bagonza watajwa

    ALJAZEERA wanaripoti, kabla ya kufutiwa leseni, wahariri wa Tanzania-Daima walihojiwa kuhusu kuchapisha habari ya Askofu Bangoza kuwataka wananchi wavae nguo nyeupe siku ya kuadhimisha kuzaliwa TANU, saba saba, na kuungana na taasisi za kisiasa na kijamii kudai Tume Huru ya uchaguzi. LAKINI...
  6. Kupigwa Marufuku Makanisa ya Kilokole, Gwajima amjibu mkuu wa mkoa wa Arusha, ni mtoto wa Dawa

    Baada ya mkuu wa mkoa wa arusha kusema kuwa makanisa ya walokole yadhibitiwe kwa kuwa wanapiga kelele (Makanisa ya kilokoke kudhibitiwa) Gwajima ameamua kumjibu mkuu huyo Amesema kuwa Tanzania ni nchi huru kila mtu ana haki ya kuabudu, muda wowote na wakati wowote Amesema kuwa waumini wa...
  7. M

    Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

    Tukio la Askofu Pius Ikongo kutekwa na watu wenye silaha aina ya bastola wakiwa na magari mawili na kufunikwa na kitambaa chenye sumu na kupata madhara makubwa mwilini linasikitisha sana. Kinachoumiza ni kutokamatwa wala kuhojiwa kwa watesi wake licha ya kuwatambua na kuwataja kwa majina...
  8. Q

    Askofu Bagonza: Tume Huru, Mgombea Huru na kumbukumbu ya Kuzaliwa TANU

    TUME HURU na MGOMBEA HURU 2020 ni mwaka wa Uchaguzi. Kama huchaguliwi basi unachagua. Kama hupigiwi kura na hupigi kura lazima kuna sababu inayokuzuia. Kuna watu wengi wanaruhusiwa kupiga kura lakini hawaruhusiwi kupigiwa kura. Wana haki ya kuongozwa tu lakini hawaruhusiwi kuongoza. Katiba...
  9. J

    GE2020 Askofu Dr. Bagonza kumbuka Rais ni taasisi. Je, ulitaka Magufuli asizungumzie Uchaguzi kisa ni Mgombea?

    Askofu Bagonza amesema inafikirisha pale Mgombea Urais mmoja anapowaambia wenzie uchaguzi utakuwa Hru na wa Haki, tena Mwenyekiti wa Chama kishiriki anapowaambia wenzie hawatavumilia matusi na kejeli. Namuuliza tu baba Askofu Bagonza, Je, alitaka Rais Magufuli akae kimya kabisa kwa sababu tu...
  10. E

    Nifikishie ujumbe huu kwa Askofu Dr Bagonza. Askofu wa Dayosisi ya Karagwe

    Askofu Bagonza nakusali katika jina la Yesu. Nimesoma jumbe JF ukimlaumu Mh. Kangi Lugola kwa kumfananisha Rais Magufuli na Yesu. Hukuishia hapo , umetoa mifano mingi sana iliyotendwa na watu waovu katika kutete shutuma zako. kifupi , naomba nikujulishe yafuatayo. Kwanza, punguza chuki juu ya...
  11. Askofu Dkt. Bagonza amshukia Lugola kwa kumfananisha Magufuli na Yesu. Asema hii laana lazima itafune mtu na Taifa

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ___________ Kufuru haina kinga. Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Na katika Agano la Kale ni ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema...
  12. Baba wa Taifa na Mizengwe - Makala ya Askofu Bagonza

    Mizengwe na fitna havikuanza baada ya Baba wa Taifa kuondoka madarakani. Hata wakati wake, wapo waliojaribu kuanzisha mizengwe na fitna za kisiasa. Tofauti ya wakati ule na huu wetu ni moja tu. Wakati wa Baba wa Taifa, mizengwe na fitna ilianzishwa na wapambe na makanda bila kumhusisha...
  13. J

    Askofu Gwajima aushangaa ubalozi wa Marekani kuzungumzia suala la Mbowe aliyedondoka au kuvamiwa

    Akizungumza katika kipindi cha Aridhio kinachorushwa mubashara na TBC, askofu Gwajima amesema balozi wa Marekani nchini hapaswi kuingilia mambo ya ndani ya taifa letu. Gwajima amesema juzikati balozi wa US amezungumzia swala la Mbowe aliyeanguka au kuvamiwa na kuacha kuzungumzia mambo ya nchi...
  14. Hivi Baba Askofu Dkt. Bagonza na Askofu Niyemugizi wameshawahi kuandika vitabu? Natamani kuvisoma

    Wanajamvi, kama heading inavyojieleza, nimejaribu ku google sijaona. Nimeamua niulize humu ndani endapo kuna yeyote anayefahamu kama niliowataja hapo juu, wameshawahi kuandika vitabu au hata kitabu na vikawa published? Ningependa kufahamu. Na kama hawana, napenda kuchukuwa nafasi hii kuwaomba...
  15. Askofu Bagonza: CAG vs TAKUKURU

    CAG na TAKUKURU Watanzania wanapenda sana kushindanisha. Vijiwe vingi utakuja mijadala nani zaidi kati ya DC na DED, Waziri na RC, CAG na DG-PCCB, nk. Wanaweza hata kushindanisha hata visivyo na uhusiano kama nani zaidi kati ya Askofu na Mtendaji Kata, Nabii na Sangoma fulani, rubani wa ndege...
  16. Askofu Bagonza atangaza ibada kurejea kuanzia Mei 31, waumini wote watatakiwa kuvaa barakoa

    Askofu Benson Kagonza, KKKT Dayosisi ya Karagwe ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kulutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Benson Bagonza amesema, ibada zilizositishwa ili kujikinga na maambukizo ya ugonjwa unaotokana na virusi vya corona (COVID-19) zitarejea tarehe 31 Mei...
  17. Askofu Gamanywa: Pepo la kuasi liko ndani ya vyama vyote vya siasa siyo upinzani pekee

    MEZA YA BUSARA WAPO RADIO ipo hewani muda huu ni vizuri kuiskiliza, leo imekuja na hoja kuwa Upinzani ni uasi. Huku ni kipindi maalum kilichozinduliwa na Polepole wiki iliyopita mahsusi kwa kampeni za uchaguzi kwa CCM.
  18. J

    Askofu Gwajima: Chadema wana mapepo ndio maana wamesusia bunge na wanalazimisha makanisa yafungwe, Wameshindwa katika jina la Yesu!

    Mambo ni moto mambo ni fire ndani ya Kanisa la ufufuo na uzima. Askofu Gwajima amesema wabunge wa Chadema wamesusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona ila ukweli ni kwamba wabunge hao wamepagawa na mapepo. Askofu Gwajima amewaambia waumini wake ambao ni wapenzi wa Chadema kuwa chama...
  19. Askofu Bagonza: Maadili ya madaraka wakati wa vita

    MAADILI YA MADARAKA WAKATI WA VITA Taifa letu liko vitani. Tunapambana na adui asiyeonekana kwa macho bali kwa mashine kali ya kisasa iliyo DsM. Tunachokiona kwa macho ni majeruhi, vifo, mazishi na majonzi. Mara tuone askari yule kavunjika mguu, mara yule kanyofolewa macho yote na kamanda yule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…