askofu

  1. Barua ya Kichungaji Kutoka kwa Askofu Renatus Nkwande Kuhusu Maandalizi ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki itakayohitimishwa Roma 2023

    Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande, wa Jimbo Kuu la Mwanza, nchini Tanzania Usuli Ifuatayo ni Barua ya Kichungaji kuhusu Maadhimisho ya Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki. Sinodi hii, inanogeshwa na kauli mbiu isemayo, “Kwa ajili ya Kanisa la Kisinodi: Umoja, Ushiriki na Utume.” Maadhimisho...
  2. Askofu Gwajima: Domokaya tuliyemchoka!

    Kama kuna mtu muongo, msema ovyo na generally haaminiki, basi ni huyu Askofu Gwajima. Kuna video nyingi akiongea vitu tofauti, kuna wakati lisema ananunua helikopta, mara atawapeleka wana Kawe Birmingham, Marekani. Uongo mwiingi
  3. Askofu Gwajima atangaza mfungo wa kumng'oa AMALEKI katika nchi

    Saa chache kabla ya kwenda kuhojiwa na Kamati ya nidhamu ya chama chake (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima ametangaza mfungo wa saa 72 kwa ajili ya kumng'oa (mtawala) Amaleki katika nchi. kwani Amaleki mwenyewe anasemaje?
  4. Masikini Askofu Mwaikali, afukuzwa msibani Kiwira, msiba wa Rev Gehaz Malasusa, aaibu!

    Kama kuna wakati huyu Baba Askofu anapitia wakati mgumu ni huu sasa. KAtika mazishi ya Rev Gehaz Maasusa, baba wa Askofu mwenziwe Dk Alex Malasusa, Askofu Mwaikali ilibidi aondolewe hapo msibai kwa hofu ya kutokea fujo. Naambiwa hapo msibani palikuwa na amani ya hali ya juu, lakini askari na...
  5. R

    Askofu Lusekelo (Mzee wa Upako): Kesi ya Mbowe inakera sana na inaniumiza moyo

    Ni siku ya tatu sasa akihutubia ktk moja ya safu ya mafundisho yake katika jamii. Askofu wa Kanisa la TAG hapa Ubungo Kibangu Maarufu kama Mzee wa Upako ametoa maoni yake juu ya kesi anayohisi huenda ni ya kuzingizia ya Ugaidi dhidi ya Mbowe. Askofu huyo licha ya kudai kuwa wafuasi wa chama...
  6. S

    Askofu Bagonza: Wanaomshughulikia Mbowe ni sawa na waliomshughulikia Mandela (Makaburu)

    By Talanta Mhanga kupitia twitter: "Japokuwa Mbowe ni tofauti na Mandela, mbinu za kumshughulikia zikifanana na zilizomshughulikia Mandela, basi Mandela na Mbowe wanakuwa sawa; na waliomshughulikia Mandela wanakuwa sawa na wanaomshughulikia Mbowe. Tunahitaji nguvu ya hoja, si nguvu ya dola" -...
  7. Mgogoro wa KKKT Konde: Tatizo ni hela iliyoliwa na kundi la Askofu

    Imebidi niingie chimbo kuchunguza mgogoro huu wa Dayosisi ya Konde. Wazungu wanasema penye mgogoro usiotaka kuisha- FOLLOW THE MONEY! Kiti cha Askofu kimeshindwa kurudishwa Tukuyu maana ofisi ya Tukuyu ilimokuwa Dayosisi imeuzwa au kupangishwa kwa milioni 200. Ofisi wameuziwa au kupangishwa...
  8. Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  9. J

    Wafanyabiashara soko la Mbezi Beda wadai DC Kheri James anamhujumu RC Makalla kwa kuwarejesha baadhi yao kusikoruhusiwa

    Wafanyabiashara wadogo katika soko jipya la Mbezi Beda Ubungo wamemlaumu mkuu wao wa wilaya Kheri James kwa kuwarejesha baadhi ya wafanyaniashara maeneo yasiyo rasmi. Wamedai kila wakimfata DC James ofisini kwake anawaambia wakaanxie kwanza kwa mchungaji kabla ya kwenda kwa askofu akimaanisha...
  10. M

    Askofu Gwajima kaufyata?

    Mambo yanakwenda kwa Kasi sana! Miezi miwili iliyopita Baba Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima(sijui upi) alikuwa gumzo kitokana na Kupinga chanjo ya Corona. Kabla ya hapo pia alikuwa ni Kama anapinga uwepo wa Corona na jitihada zote zilizokuwa zikifanywa , kwa kuwaaminisha Waumini wake kuwa...
  11. B

    Askofu Bagonza: Jakaya Kikwete hana ushawishi wowote kwenye Awamu ya Sita

    Maneno ya hekima kabisa haya ya baba askofu. Kwa hakika Askofu Bagonza ana hoja nzito: Kwa hakika kumvisha JK yanayojiri awamu ya sita ni kumkosea sana. Anamalizia baba askofu kwa kusema: Barikiwa sana baba askofu kwa kuendelea kutuchotea busara na uzoefu uliopewa na Mola wetu kila...
  12. B

    Askofu Niwemugizi: Nyerere angekuwapo angewacharaza CCM viboko

    Askofu Severine Niwemugizi pasipo na kumung'unya maneno amefunguka: “Mwalimu Nyerere alikuwa muumini wa uhuru wa mawazo, mijadala na kujenga hoja. Alipenda kuona jamii ya watu wanajadiliana kwa hoja hata pale wanapokinzani kimtazamo. Hakupenda hoja za upande mmoja ndiyo maana licha ya wenzake...
  13. M

    Buriani Askofu Mstaafu Amos Luther Gimbi,KKKT Dayosisi ya Kati

    Maisha ya Mwanadamu mwisho wake ni kifo...Bila Shaka mwisho tunaouzungumzia ni hapa Duniani! Lakini kwa Waamini kifo ni mwanzo wa Maisha mapya ya Watakatifu! Mzee Amos Luther Gimbi baada ya Miaka 88 ya Huduma yake hapa Duniani alipumzika tarehe 28.09.2021 huko Marekani! Askofu Dr.Gimbi alikuwa...
  14. Happy Birthday kwako Profesa Emeritiusi Muadhama Askofu Mkuu Dkt. Desmond Mpilo Tutu

    HUYU NDIYE ASKOFU MKUU DESMOND TUTU Happy Birthday kwako Profesa Emeritiusi Muadhama Askofu Mkuu Dkt. Desmond Mpilo Tutu, Askofu Mkuu mstaafu wa Capetown, Kanisa Anglikana Afrika Kusini na Katibu Mkuu mstaafu wa Jumuiya ya Makanisa ya Afrika Kusini. Kupitia sauti yako dunia ilielewa uovu na...
  15. Askofu Mwamakula: Sisi viongozi wa dini tumesitisha safari ya kwenda Mbweni na kwenda kumuona IGP Sirro!

    BAADA YA WANAWAKE WA CHADEMA KUACHIWA, SISI VIONGOZI WA DINI TUMESITISHA SAFARI YA KWENDA MBWENI NA KWENDA KUMUONA IGP SIRRO! Jumapili tulitangaza kuwa kama siku ya Jumatatu Jeshi la Polisi lisingeliwaachia viongozi wa CHADEMA 7 na Waandishi wa Habari 2 waliokuwa wanashikiliwa katika Kituo cha...
  16. Ni nini kimempata Askofu Gwajima?

    tunaangalia live on youtube askofu Gwajima anahubiri nashangaa sana Askofu anahubiri kwa upole sana,kwa uangalifu sana,je Askofu ni mgonjwa??? nafikri Gwajima ana matatizo kutokana na uwezo wangu wa kuangalia mambo na huko ccm alifata nini?alikuwa mwanaharakati wakati wa Dr Slaa aliifata ccm ili...
  17. Askofu Isaya Mengele na Askofu Mwaikali, mgogoro wa KKKT Dayosisi ya Konde unawapaka matope!

    Askofu Mengele -katikati na Askofu Mwikali aliyesimama walipoita waandishi wa habari wakijieleza. Askofu Mengele amefunga safari kwenda Mbeya kumpa tafu Askofu mwenziwe Askofu Mwaikali ambaye ana tuhuma zinazo muweka katika sintofahamu na kondoo wake. Kitendo cha kupeana tafu kati ya hawa...
  18. J

    Askofu Konki aiombea nchi na Rais Samia

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Elim Pentekoste Tanzania, Peter Konki amewaomba Watanzania kila mmoja kwa nafasi yake kufanya maombi kwa ajili ya taifa la Tanzania na rais Samia Suluhu Hassan Mungu aweke walinzi juu ya ufahamu wake ili uamuzi atakaoufanya katika nchi uwe wa busara na wenye tija kwa...
  19. M

    Askofu Bagonza: Muujiza wa elimu ya Tanzania kiongozi akichaguliwa leo akiwa hajui kitu, akishaingia madarakani kesho yake anakuwa anajua kila kitu

    Wahenga walisema, "a fool and his money are soon parted!" Si ajabu nchi iliyojaaliwa maziwa na asali hivi leo ni nchi masikini. Je kuna haja ya kujiuliza tumefikaje huko kama Watanzania? Adui wa taifa hili ni moja tu...aliyehatamia madaraka toka uhuru! A fool and his money are soon...
  20. Misa takatifu ya kusimikwa kwa askofu wa Jimbo katoliki Morogoro

    Muda huu inaendelea Misa takatifu ya kusimikwa kwa askofu wa Jimbo katoliki Morogoro hapa st Peter's Morogoro. Tamko la kipapa linasomwa kwa kilatini halafu litarudiwa kwa kiswahili. Sasa linasomwa kwa kiswahili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…