ardhi

  1. Wizara ya Ardhi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo akizungumza na wananchi wa Nanyumbu katika eneo la Mangaka pamoja na Masasi Mjini alipopewa nafasi ya kuwasalimia wakati wa ziara ya kikazi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania , Mhe. Deogratius Ndejembi...
  2. Somoche

    Swali wizara ya ardhi na ujenzi uvamizi AU kuuza eneo la road reserve barabra ya Morogoro

    Naombeni hizi Wizara mbili zinijibu kwanini eneo la Road Reserve limevamiwa na Ujenzi wa Vituo vya mafuta na vitu vingine unaendelea?? Kama Magufuli aliwatoa hao watu kwanini sasa wanarudi kujenga ili badae mseme wa hati halali walipwe mpate dili au ni nini?? mfano kuna vituo vya mafuta...
  3. N

    Nimepata viwanja Mvuti, jirani na Chanika. Vinafaa kwa uwekezaji wa rasilimali ardhi?

    Nimepata viwanja viwili kupitia Tausi, eneo la Mvuti, jirani na Chanika na Zingiziwa. 700sqm na 450sqm. Bei ni 10M kwa 6M Baada ya kuvishika online, nilitembelea eneo husika. Ni 39km kutoka town (Kariakoo), linafikika kwa lami hadi kilomita 3 kutoka eneo la mradi. Kinachonifanya nisite kulipia...
  4. A

    KERO Chumwi, Musoma Vijijini wanapimaji ardhi wanataka Sh 50k taslimu, hakuna namba ya malipo?

    Kijiji cha Chumwi, Wilaya ya Musoma Vijijin mkoani Mara kuna zoezi la upimaji ardhi linaendelea, sasa hela ya upimaji inahitajika na wanapokea mkononi, swali langu zoezi lolote la Kiserikali si huwa kuna Namba ya Malipo zinatolewa au upande wa ardhi wana utaratibu wao? Wamesema ni surveyors...
  5. M

    KERO Afisa Ardhi wa Maswa amekaa muda mrefu kituoni hapo, ufanisi wake umeshuka

    Afisa Ardhi wa Wilaya ya Maswa amekaa wilayani humo kwa miaka 24 na ndiye chanzo cha migogoro ya ardhi Serikali inatakiwa kumbadilishia kituo cha kazi, kwani amekuwa kikwazo katika baadhi ya mambo mengi ya kiutendaji kiasi kwamba inaonekana kila kitu kinafanyika kwa vile anavyotaka na sivyo...
  6. Victor Mlaki

    Muda huu 12: 23 tarehe 5/11/2026 limepita tetemeko kubwa la ardhi eneo la Masumbwe Geita likiwa na uelekeo wa Magharibi lililodumu kwa sekunde kadhaa

    Ukubwa wa tetemeko hili ni mkubwa kuwahi kutokea kutokana na mtetemo wake, kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 15 katika eneo hili hili linaweza kuwa tetemeko lenye mtetemo mkubwa kuwahi kutokea maeneo haya mchana. Kwa upekee limepita muda nilioutaja hapo juu na kujirudia tena saa 1:22pm. Mtetembo...
  7. A

    KERO Changamoto ya Mifumo mibovu ya usajili na upangaji wa malazi kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi

    Mifumo ya kupokea na kusajili wanafunzi wapya pamoja na kugawa malazi katika Chuo Kikuu cha Ardhi inaonekana kuwa na changamoto kubwa za kiutendaji, zinazosababisha foleni zisizo za lazima, usumbufu na mazingira yanayoweza kuchochea upendeleo. Kwa mfano, utoaji wa namba za usajili (Registration...
  8. figganigga

    Tetemeko la ardhi limepita, nani kasikia?

    Maeneo ya Geita nyumba zimetetema. Hapa Masumbwe ndo kila mtu ilikuwa kutafutana. Sijajua kama tetemeko limelta madhara
  9. Alexido jz instagram

    ZHC YA ZANZIBAR IMENITUMIA SMS, NINUE NYUMBA, ZANZIBAR, MI NI MBARA SIRUHUSIWI KUMILIKI ARDHI ZANZIBAR, SIJAWAELEWA,

    Napenda kutii Sheria bila shuruti, napenda kuheshimu mamlaka, NACHUKUA Fursa hii kumpongeza rais wangu dkt mwinyi, asee hunambii kitu kwa huyu rais, NAMPENDA SANA, nashukuru pia rais wangu wa JMT. Ndugu mheshimiwa rais, nimetumiwa sms ZHC NINUE NYUMBA zenji nilipo kwa sasa, nikasema sawa mara...
  10. Wizara ya Ardhi

    DC KONDОA AWAPONGEZA WATAALAMU WA ARDHI, HATI 193 ZATOLEWA

    KONDOA Mkuu wa Wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, Bi. Fatma Almasi Nyangasa, amewapongeza wataalamu wa ardhi wa mkoa na wilaya kwa kazi kubwa na yenye ufanisi waliyoifanya katika zoezi la Kliniki ya Ardhi lililohitimishwa wilayani humo Oktoba 30, 2026. Bi. Nyangasa ametoa pongezi hizo Novemba...
  11. Pakome

    Ipi tafsiri ya Serikali kumiliki ardhi badala ya Wananchi?

    Je tafsiri yake nikuwa Serikali inamamlaka ya kupokonya Wananchi ikiwa itahitaji ardhi hiyo? Ikiwa ardhi inamilikiwa na Serikali tafsiri yake ni kuwa Wanachi ni kama wapangaji Au pengine tafsiri yake ni tofauti na hii?
  12. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya ardhi yalenga kuwa kinara wa uandaaji ramani Afrika

    DODOMA: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inalenga kuijengea uwezo endelevu Tanzania kuandaa na kuhuisha ramani za msingi, ili kujitegemea katika huduma hizo na hatimaye kuzitoa kwa nchi nyingine za Afrika. Hayo yamesemwa leo Novemba 3, 2026 jijini Dodoma na Kamishna wa Ardhi, Bw...
  13. O

    KSh10.2 Bilioni za Bomas Zitaishia Mifukoni mwa Nani? KTN Yafichua Mkataba Wenye Utata

    Uchunguzi wa KTN News umeibua maswali kuhusu matumizi ya mabilioni ya fedha za umma katika mradi wa ujenzi wa Bomas International Convention Complex (BICC), baada ya kufichuliwa kwa mkataba wenye gharama zilizoongezeka na vipengele vya malipo vinavyotiliwa shaka. Katika uchunguzi uliotangazwa...
  14. Wizara ya Ardhi

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    Jengo la Ofisi ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ni moja ya majengo ambayo yamesanifiwa na kujengwa kwa ubora na muonekano maridhawa katika Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Jengo hili limejengwa kwa usanifu wa kisasa wa ghorofa lenye muonekano wa kuvutia ambao kwa pamoja na...
  15. F

    Wizi wa ardhi Arusha - wajamaa wamedhulumiana

    Mmoja alikuwa SIIARA na jamaa dalali loya, ambaye aliacha kazi za mahakamani. Dalali alikuwa mbeba kofia kabla ya mwingine kuwa mjengoni, halafu akawa topu wa kambi la masipoti na uzushi. Sasa si wakampiga mtasha fala eka 50 pale kuvuka daraja la mabosi wa wanyama porini A JIJI, akaachiwa...
  16. Wizara ya Ardhi

    Mamlaka za upangaji zatakiwa kuepuka mipango ya matumizi ya ardhi kwenye maeneo hatarishi

    Mamlaka za Upangaji nchini zimetakiwa kuepuka kuandaa na kuidhinisha mipango ya matumizi ya ardhi katika maeneo hatarishi, ikiwemo mabonde na maeneo yanayopitisha maji, ili kulinda usalama wa wananchi na kuimarisha usimamizi bora wa matumizi ya ardhi. Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo...
  17. Wizara ya Ardhi

    Ardhi Kliniki-Kondoa

    Timu ya Wataalamu wa Sekta ya Ardhi Mkoa wa Dodoma, ikiongozwa na Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa Bi. Happines Mtutwa wakiendelea kuwahudumia wananchi hadi majira ya usiku katika Kliniki ya Ardhi inayoendelea wilayani Kondoa tarehe 21 Oktoba 2026.
  18. Wizara ya Ardhi

    WIZARA YA ARDHI YATEKELEZA OMBI LA WANANCHI WA BAGAMOYO KUONESHWA MIPAKA YA MAENEO YAO

    BAGAMOYO, PWANI Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, leo tarehe 21 Oktoba 2026, imetekeleza ombi la wananchi wa Bagamoyo, mkoani Pwani, la kuoneshwa mipaka ya maeneo yao yaliyopo katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Sanzale, wilayani humo. Akisimamia na kuelekeza utekelezaji wa zoezi...
  19. Wizara ya Ardhi

    Viongozi wawataka wananchi Bagamoyo kuwasilisha kero za ardhi kwa uwazi

    Kamishna wa Ardhi, Nathaniel Nhonge, akizungumza na wananchi katika eneo la Shule ya Msingi Majengo, Bagamoyo, Oktoba 19, 2026, kabla ya kuanza kusikiliza na kushughulikia changamoto zao za ardhi. Katika mazungumzo hayo, Nhonge amesisitiza umuhimu wa kutoa huduma kwa wakati na kuzingatia...
  20. Wizara ya Ardhi

    Ardhi Kliniki-Bagamoyo

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo, akisikiliza kero za ardhi wakati wa Kliniki Maalum ya Ardhi inayoendelea Viwanja vya Shule ya Msingi Majengo, Bagamoyo, mkoani Pwani, Oktoba 19, 2026. Mhe. Dkt Akwilapo ametembelea Kliniki hiyo akiambatana Mbunge wa Jimbo la...
Back
Top Bottom