Mke wangu muda wote yuko busy kwenye mitandao ya kijamii. Nikimwambia kwamba namhitaji, ananiambia nisubiri amalize kufanya Live kwanza!
Tabia hii ni ya muda mrefu. Ilifika hatua nikamwambia mama yake (mama mkwe) kuhusu mwenendo wa mke wangu. Lakini licha ya kuonywa, bado ameendelea na hiyo...
"I remain optimistic about tomorrow but am also prepared for the worst, so if the best comes, I will go straight to Arusha to take my brother home. If the worst happens, then the struggle will continue. It will not be the end of the world; it will just be a new chapter in the struggle for...
CHIONDA ANASEMA HIVI(NANUKUU)👇
Naamini Mungu yupo kwasababu hakuna kilichopo bila ya kuwa na chanzo chake. ila siamini kwenye hizi dini (Ukristo na Uislamu) maana hizi ni biashara za watu weupe. (Mzungu na Mwarabu)
Duniani kila mtu anajua Mzungu hampendi mtu mweusi iweje mzungu huyo huyo aje...
Mkuu wa uchaguzi wa Israeli Noam Sohlberg anasema matokeo ya uchaguzi yatasimama licha ya tuhuma kubwa za ufadhili wa kigeni unaolenga kushawishi kura.
Katika taarifa ya pamoja na Mwanasheria Mkuu Gali Baharav-Miara na mkuu wa Shin Bet David Zini, Sohlberg anasema madai hayo ni mazito lakini...
Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm?
Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese...
Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe.
Makonda ametoa kauli hiyo akisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuombewa wanapopata...
Mtekaji maarufu wa watu ambaye kila siku tunasikia anateka watu:: mwanaharakati anasema anayo voice message yake ambapo huyo mtekaji katili amamlilia bwana yake, kwamba amem- miss wiki tatu.
Anasema tuisubiri hiyo voice message.
By the way,leo October 27 ni birthday yangu.
Nadhani kuna birthday...
Falsafa ya maisha ni namna unavyofikiri, unavyoelewa maisha, unavyofanya maamuzi na jinsi unavyokabiliana na changamoto zinazokupata.
Maisha yana mambo mengi: furaha, huzuni, mafanikio, kushindwa, umaskini, utajiri na mahusiano. Falsafa inakusaidia kuelewa mambo hayo na kuishi kwa hekima.
🧠...
INASHANGAZA KIJANA ANASIMU KUBWA LAKINI ANASEMA HANA OFFICE WALA KAZI.
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli.
Shahidi.
Moja ya mambo yanayonifanya nishangae ni kuona kijana wa miaka 18 -40 mwenye simu kubwa lakini anakuambia sina office, sina kazi, na analalamika, anashutumu, analaani watu wengine...
Musevi kasema hajui kinachoendelea mradi wa Tanga. Hii ni nchi ambayo mpaka leo hakuna plant ya kusafisha gas maana wale Norway na wamarekani wamegoma kuwapa 10% viongozi wetu toka wakati wa kikwete.
Kati ya watu mil 67 wanaoishi hapa Tanzania wamekubali na kusema kuwa jezi alizotengeneza Sandaland kwa mkataba halali ni nzuri na zinafaa.
Ila mtu mmoja tu ambaye ni waziri anadai kwenye macho yake ni mbaya na hazifai.
Kuna nini? Kuna ka ten pasenti kamempita kushoto?
Final submissions, hapa ndipo kesi ya Lissu itawekwa kwenye mizani ya sheria na ushahidi. 👇🏾
Kwa kuangalia mwenendo mzima wa kesi mpaka sasa, nadhani final submissions zitakuwa ndio sehemu ambayo kila upande utajaribu kuunganisha vipande vyote vya ushahidi na kuvifanya viwe legal theory moja...
Huyu mzee huenda kweli alimuuza Polepole akatekwa.
Tulishuhudia baada ya Magufuli kufa Mafisadi papa wa CCM wakaachiwa kwa amri ya rais. Leo huyu mzee analeta porojo👇
Walah najiapiza siku hio nitajulikana..
Kama kweli uongozi unatoka kwa Mungu inawezekanaje yule mtu ambae..Mungu aliwaidhinisha wote akawapa kibali cha kuongoza leo analazimishwa kujiondoa!!
How comes!!
How is that possible??
AU kibali cha uongozi Mungu ambacho hua anatoa ni kwa Rais tu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia Watanzania kuimarika kwa huduma ya nishati ya umeme nchini kufuatia kukamilika kwa miradi mikubwa ya miundombinu na usambazaji wa umeme.
Akizungumza tarehe 22 Agosti 2026 wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha...
Pombe inamaliza pesa na kuleta umaskini kwa watu wenye akili ya kimaskini🤔
Kama una akili ya kimaskini usiguse kabisa pombe, pombe ni kinywaji cha watakatifu wenye udhubutu na akili mtambuka.
Kanisa takatifu la mitume Catholic sio mambaga wakabariki pombe, pale kibosho kanisa langu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.