Msitegemee sana UN, maana kile ni chombo cha ovyo kinachokuwa controlled na itikadi za ki-liberal.
Ndio maana hata mamlaka za giza zinapataga kivuli hapo UN na hakuna hatua yoyote inayochukulia dhidi ya amani na haki ya dunia kutoka kwa UN maana UN ndio mbwa mbwekaji ukiwa mbali ila ukimkabilia...
Sijui kama ni mimi tu nashindwa kuelewa mambo au ni kitu gani
Nimeona mahali mahali watu wanampongeza waziri mkuu kwa kufikisha mwaka mmoja wa uwaziri mkuu na hata huko njombe nimemsikia mbunge mmoja kampugia hadi magoti waziri mkuu, ila kwa upande wangu eti uniulize ni jambo gani ambalo...
你好,你们好吗?
Wadau sipingi ajira,hata mimi nimewai kuajiriwa,na ajira ndiyo source ya mtaji wa kuanzia biashara kwa mtu ambaye hana cha kuanzia.Kinacho nishangaza ni inawezekanaje mtu anaajiriwa akiwa na umri wa miaka 25 mpaka anafikia umri wa kustaafu miaka 60 kakomaa tu na ajira? Hivi huyu mtu...
Biblia katika Luka 3:23 inasema Yesu alianza huduma yake akiwa na miaka thelathini (30). Katika hiyo miaka yote alikuwa wapi na anafanya nini ? Hii historia yake haijaweka kwenye Biblia.
Ni kweli alikuwa anafanya kazi kama fundi seremela au ujenzi akisaidiana na Joseph baba yake mlezi ?
Kuna...
Wakuu mambo vipi ?
Mimi ni mkaguzi wa ndani taasisi ya umma x kwenye unit ya internal audit sasa katika kutekeleza majukumu yetu kumetokea bifu la kimya kimya kati ya DG na CIA na ilo bifu limetokea kutokana na hoja za ukaguzi ambazo uwa anaandika CIA upelekea DG kuhisi anakamiwa na ivyo...
Kuna Mkabulu anaitwa JP La Grange ni raia wa South Africa na ni Workshop Manager Kwenye Kampuni ya Maendeleo Technologies Limited inayofanya kazi kwenye Mgodi wa POLYGOLD CO. LTD unaopatikana Wilaya ya Musoma, Mkoani Mara, Kijiji cha Seka, Kata ya Nyamrandirira.
Huyu mzungu ubaguzi anaofanya...
Anonymous
Thread
anafanya
changamoto
habari
kubwa
maendeleo
mgodi
musoma
sana
technology
ubaguzi
wafanyakazi
wazawa
wazi
wilaya
Hapo vip!
Za chini ni hivi kuna kiongozi wa Yanga mpumbavu sana yule mtu,ameone hii darby yanga anaenda kupoteza hivyo anatumia njia mbadala ya kuta kuwarubuni wale key players wa Simba ili wacheze chini ya kiwango ili apate ushindi.
Na hili linaanza kutupa wasiwa kwa darby iliyopita kwa...
Ukiwa sio mtalaam wa GEOPOLITICS za duniani, ukiwa hauna exposure ya SHADOW WARFARE na ukiwa haujui chochote kuhusu deep state syndicates basi utabebeka kirahisi na itikadi za kusimuliwa kwenye redio za mbao
Kuna Mwalimu chuo kikuu mzumbe ndani ya Morogoro anafanya elimu Kama Biashara anatoa assignment ambayo tunatakiwa kuondoka Zaidi ya page 80 Na haturuhusiwi kuprint eti tukusanye softcopy Kwa CR's ndio wakaprint kwenye stationary yake tu yeye bila kuprint kwake unapata ziro imagine me Na printa...
Huyu Haji Manara aliutaka udiwani wa Kariakoo dola ya CCM ikamuweka lakini baada ya kuwekwa hapo kama diwani namuona amekuwa mtangazaji Wasafi na pia anaigiza maigizo ya Kombolela!
Muda gani anakuwa anafanya kazi ya udiwani? Au udiwani sio kazi nzito na serious kihivyo kumfanya mtu awe busy...
Kuna huyu kijana anaitwa Gasper Comic kwa kweli yuko vizuri sana lakini ni kama jamii haimuoni hivi
Most of the times anazungumzia masuala Tanzania kwa kutumia jina la Malawi
Mwamba yuko vizuri sana lakini jamii bado haijamzingatia
Kichwa cha habari kinajieleza chenyewe, sina mudi ya kuandika sana
Kuna watu humu muda wote wapo online tu wanacomment sasa muda wa kufanya kazi wao wanautoa wapi jamani
Kuna mengi sana yananishangaza mno na bado yanakuja
chafya ngumu
min -me
Utekaji, mauwaji, rushwa, ufisadi, uongo sio siasa ni uhalifu na uhaini kwenye nchi haijalishi nani anafanya ni kinyume cha sheria kwa yoyote .
Anayetekeleza kati ya hayo ni adui wa Tanzania na anapaswa kukamatwa mara moja.
Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).
Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka.
Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika
Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
anafanya
dar
dar es salaam
genocide
hii
hotuba
hotuba ya rais samia
kazi
kitima
kitu
kusikiliza
majangili
mass killings
nzito
rc chalamila
taarabu
taifa
taifa letu
wakati
wanawake
wanawake wa dar
wazee
wazee wa dar
Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 5068, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha "Kitāb al-Nikāḥ" (Kitabu cha Ndoa):
Tafsiri:
Jamaa alikuwa anatembeza sana kiboko. Na hakuwa na maadili kabisa. Aliwachukulia wanawake kama ni chombo cha starehe tu.
Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, leo Jumapili Oktoba 12, 2025 anafanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni katika Uwanja wa Community Center.
https://www.youtube.com/live/FfJn75bEH7Y?si=XT0o3ke-vz7q0bIs...