amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kwa viongozi wa serikali na makundi ya kiimani kutangaza amani huku watu wakitekwa na kupotezwa kusipojulikana

    Serikali na makundi ya kiimani kuelekea uchaguzi mkuu october 29 ambao asilimia kubwa ya watanzania wanapinga kwa nguvu kubwa uchaguzi huo usifanyike bila kufanya reform nimeona viongozi wa serikali na makundi ya kiimani yakitangaza amani huku watu wengi wakilia ndugu zao kutekwa na kupotezwa...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Julius Nyerere (1987): Msingi wa Amani ni HAKI! Bila haki, huwezi kupata utulivu wa kisiasa

    GT Haya sasa wale wajinga wajinga ambao hamtaki kutamka.neo haki sikilizeni hii. Kiufupi HAKI ni matendo na AMANI ni Matokeo Mfano Heshima ni matokea lazima kuna matendo lazima uyafanye kupata heshima
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kamati ya Ulinzi na Usalama Tanga yatoa onyo kwa watakaovuruga Amani siku ya Uchaguzi

    Kamati ya ulinzi na Usalama Mkoa Tanga imetoa onyo kwa wananchi wote wenye nia ovu ya kuvunja amani siku ya uchaguzi na kwamba kwa yeyote ambae atajaribu kufanya hivyo,atachukuliwa hatua za kisheria. Onyo hilo limetolewa na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama na Mkuu wa Mkoa wa Tanga...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vitisho vinavyotolewa na Majeshi na wanasiasa likiwemo himizo la kulinda amani ni ishara tosha Serikali na CCM wanayaogopa Maandamano!

    CCM na Serikali inatambua Fika Maandamano ya wananchi ndio njia pekee ya wao aidha kuondoshwa madarakani au kulazimika kukubali matakwa ya wananchi ambayo hawataki kuwapa. Njia zote nyingine ikiwemo ya kukaa mezani haziwezi kuzaa matunda kwani tayari CCM wanajua namna ya kucheza ulaghai kwa...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Sala Maalumu ya kuombea Haki na Amani ya nchini Tanzania kama ilivyotolewa na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC)

    SALA YA KUOMBEA HAKI NA AMANI Ee Mungu tunakusifu, tunakuheshimu, tunakutukuza, tunakuabudu na kukushukuru sisi Watanzania kwa kutujalia Nchi nzuri. Tunakushukuru pia kwa zawadi ya Mwaka Mtakatifu wa Jubilei 2025. Tukiwa Mahujaji katika Matumaini, tunakuomba utuepushe na changamoto zinazoweza...
  6. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Balozi Mstaafu Brigedia Jenerali Francis Bernard Mndolwa: "Ili kuwe na amani lazima haki itamalaki"

    "Ili kuwe na amani lazima haki itamalaki, na hii ni kazi ya viongozi wote...wawe watenda haki, wasiopenda kuvuruga wananchi"-Balozi Mstaafu Brigedia Jenerali Francis Bernard Mndolwa Pia soma: Brigedia Jenerali, Mndolwa: Wananchi kuongozwa na kiongozi mmoja, haimaanishi kwamba hawana akili...
  7. pulex

    JamiiForums Tanzania Group la Discord kuelekea maandamano ya amani na ya kikatiba October 29

    Kufanikisha siku ya ukombozi ya October 29 kupitia maandamano ya amani na ya kikatiba basi tujiunge na group la Discord kupitia link iliyopo hapo chini kwaajili ya kujiorganize na kupeana motisha kwani tumeona uko Nepal, Morocco na kwengine, Discord imekuwa njia rahisi na pekee ya kuaminika...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu nchi kupata AMANI wakati hakuna HAKI

    Ni ngumu nchi kupata AMANI wakati hakuna HAKI! Huwezi kukalia upande mmoja maana amani inatokana na haki!. Kama mnataka amani tumieni nguvu hiyo hiyo kupigania haki
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Vijana tukalinde Amani, tusikubali kushawishiwa kuharibu Amani yetu

    Mgombea wa nafasi ya Rais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan akihutubia mkutano wa kampeni leo Oktoba 12, 2025, Runzewe, Mkoa wa Geita amesema; "Nchi inayoitwa JMT iko moja peke yake, na toka nchi hii imeundwa tumepigana vita moja tu na Idi Amin na kwasababu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Amani haihubiriwi inakuja yenyewe ukitenda haki

    Kupitia ukurasa wake wa X Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ameandika "Amani haibubiriwi inakuja yenyewe ukitenda haki.. Amani ni mazao ya haki, unakata mti wa haki alafu Unataka Matunda yake ambayo ni Amani!!!! Wewe utakua hauna akili. Mnaongea sana, mtaongea wote lakini bila...
  11. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali imeamua kufanya promotion ya Maandamano Hamnaga Washauri huko?

    Kiufupi kuna watu wengi walikua hawajui aya Maandamano lakini ghafla serikali ikaanza kufanya promotion ya Maandamano huko hamnaga washauri tuchukueni sisi vipanga. Kuna watu wengi kiufupi walikua hawajui habari za Maandamano kabisa zaidi ya watu ambao wanafuatilia mambo yanayoendelea mitandao...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ni kichaa tu atatunza amani ili Wanasiasa, Viongozi na familia zao waishi maisha ya ukwasi kwa Ufisadi wa pesa za Umma

    Kuelekea tarehe 29 Oktoba 2025 napenda kuwaambia hawa wanasiasa mafisadi wanaotulisha propaganda za amani ili waendelee kuishi vizuri kwa ufisadi wanaofanya kwenye kodi zetu na mali zetu wanachi. Safari hii Wananchi tumekataa kuitunza amani ili wao waishi maisha ya ukwasi kwa kodi zetu huku...
  13. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Sauti yetu kwa Haki, Mwili wetu kwa Amani

    Sauti Yetu kwa Haki, Mwili Wetu kwa Amani – Kuandamana Dhidi ya Utekaji na Mauaji Ndugu zangu wapendwa, wananchi wenzangu, watetezi wa haki na amani! Leo, tunakutana hapa si kwa uchungu tu, bali kwa azimio. Tunakutana hapa si kwa kukata tamaa, bali kwa matumaini. Tunakutana hapa kwa sababu...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM imewezaje kudumisha propaganda ya kisiwa cha amani kwa miaka 60?

    Ukiwasikiliza watu wa CCM wanapoiongolea Tanzania kama kisiwa cha amani kila mara wakati wa uchaguzi unaweza kufikiria ni jambo la kipekee sana linaloitofautisha Tanzania na nchi nyingine au unaweza kufikiri ni kisiwa kumbe pembeni yake tu kuna nchi za Zambia na Malawi ambazo zimekuwa na siasa...
  15. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mbona amani kwenye hii nchi inazungumzwa kuliko nchi yoyote duniani?

    Ukiona watu wanavozungumzia amani mpaka mishipa inawatoka shingoni mh! Mbona amani ipo sana tu ishu ni hamjawaelewa wananchi au? Wananchi tunachojua sisi haki ndo hakuna ila amani mbona IPO sana tu!
  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Mavunde: Tusiichezee amani, ni jambo la kudumu

    Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Peter Mavunde ametoa wito kwa watanzania wote kuitunza amani iliyopo, na kutotumia sababu za muda mfupi kuvuruga amani ambayo ni jambo la kudumu. "Tukumbuka maneno ya Baba wa Taifa aliyowahi kusema, tusitumie sababu za muda mfupi...
  17. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda: Amani haichezewi tuangalie taifa alipolitoa

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amewataka Watanzania kupuuza watu wanaohamasisha uvunjifu wa amani nchini, huku akisisitiza umuhimu wa kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Makonda ametoa kauli hiyo jijini Mwanza...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa dini Geita wasisitiza utunzaji wa amani

    Viongozi wa dini mkoani Geita wamekemea vikali viashiria vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi mkuu kwa kuwataka watanzania kuendelea kuwapuuza baadhi ya watu wanaohamasisha vurugu kupitia mitandao ya Kijamii.
  19. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Ukimkataa Au Ukimwacha Kristo Umejitenga Mbali Na Amani Yake

    Yer 16:5 SUV [5] Maana BWANA asema hivi, Usiingie ndani ya nyumba yenye matanga, wala usiende kuwaombolezea, wala kuwalilia; maana nimewaondolea watu hawa amani yangu, asema BWANA, hata fadhili zangu na rehema zangu. Mungu alimpa ujumbe Yeremia atangaze hukumu ya Taifa la Israeli, kilichofanya...
  20. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Mlinogewa sana kuua waTanzania nyie watu, nyie ndiyo sababu hakukuwa na amani nchini

    Na kila aliyehusika na haya mauaji ya ndugu zetu atalipia. Haijalishi kama ulitubu, ulichangia ujenzi wa makanisa, ulichangia misikiti, ulifuturisha, ulianzisha kituo cha kulea watoto yatima. Kama umehusika kwenye kupora uhai wa mtanzania yoyote lazima utalipia. Hakuna muda tena wa...
Back
Top Bottom