amani

Amani High School, also known in German as Amani-Oberrealschule Kabul, (Dari: لیسه عالی امانی‎) is a school in Kabul (District 10), Afghanistan. From the time of its foundation in 1924 until 1985, Amani High School was recognized as one of the elite schools in Kabul and received direct support from Germany, which helped to provide qualified staff. German was not only taught as a foreign language, but also was the teaching language in the higher classes in most subjects, being taught by qualified German teachers. The school is under the control of the Afghan Ministry of Education.
After the US invasion in late 2001, the buildings had been looted and partially destroyed. Reconstruction began with German help in spring 2002. The German support has resumed, which was suspended during the reign of the Taliban from 1996 to 2001. German teachers once again came to Afghanistan to teach. However, German is now only taught as a foreign language. Classes in all other subjects are held in Dari. The school teaches children from class 1 to 12. Up to 4th grade the classes are coeducational. From 5th to 12th only boys are allowed.
Amani High School has two big courtyards, a mosque, a sports field with a football court, two basketball courts and stands. There are modern laboratories for the science departments: Biology, Chemistry and Physics. The classrooms are furnished with tables and chairs, which is not taken for granted in Afghan schools, even in the capital Kabul.
A ceremony to celebrate Afghanistan's return to education was held at the school, attended by interim Afghan leader Hamid Karzai. In 2007 Angela Merkel visited during her trip to Afghanistan.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania December 9 Tunatoka kwa Amani KULAANI Mauaji ya October 29 Wapenda Haki na Asasi zote za Kiraia Mtuongoze.

    GT. Tunaomba watanzania wote kwa umoja wetu tushikamane kuhusu hili mauaji ya October 29 hayakubaliki hiyo December 9 tutoke kwa amani kuukemea huu unyama wa samia. 1. Asasi za kiraia zote muwe mstari wa mbele 2.TLS na THRC Mtuongoze mstari wa mbele kabisa 3. Akina mama wote mliouliwa...
  2. JamiiForums Tanzania Hata Mungu hawezi vumilia huu uhalifu wa kutaka kuivuruga amani ya nchi

    Nimeona watu wengi wakitamka kuwa Mungu atalipa kwa yaliyotokea baada ya uhalifu uliofanyika. Mimi kama mkristo ninayeijua biblia vizuri niwakumbushe tu kuwa waliofanya uhalifu kuanzia siku ya uchaguzi ni kuwa Mungu pia hafurahishwi na huo upuuzi. Mungu hutoa adhabu kali sana kwa watu kama hao...
  3. JamiiForums Tanzania Wito wa kudumisha amani. Tusibaguane kiTanganyika na kiZanzibari

    Ndugu wananchi wenzangu, Napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole kwa yote yaliyotukuta. Mungu awalaze pema vijana wetu waliopoteza maisha kwenye harakati hizi za uchaguzi haramu. Vile vile napenda kuchukua fursa hiii kuzungumza nanyi kama ndugu, marafiki na kizazi kinachobeba matumaini ya...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tafuta HAKI na WAJIBU wa kulinda AMANI

    1. Wapigania haki ambao walikuwa na haki ya kukata vidole vya wenzao ila vyao visikatwe kisa ni wafuasi wa chama fulani kilichogoma kuingia kwenye uchaguzi Wapigania haki waliokuwa na haki ya kuuwa wenzao ila wao wasiuawe kisa tu wao hawajaenda kuchagua Wapigania haki waliokuwa na haki ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Godwin Mollel: Wanaovuruga amani wanataka kutusahaulisha makubwa aliyofanya Rais Samia

    Dkt Mollel ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo ameleleza kuwa watu wanaotaka kuvuruga Amani wanataka kutusahaulisha mambo matatu muhimu makubwa ikiwemo kazi kubwa iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu ndani ya miaka minne ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makambako; Wananchi wametoa wito kwa Serikali kuacha kupuuza haki na madai ya Watanzania ili kurejesha amani na kuponya mioyo

    Wakazi wa Makambako Mkoani Njombe wametoa wito kwa Serikali kuacha kupuuza haki na madai ya watanzania ili kurejesha amani na kuponya mioyo ya watu waliopata changamoto wakati wa uchaguzi. Hayo yameelezwa wakati Wananchi hao wakitoa maoni yao leo Novemba 6, 2025, mbele ya Mkuu wa Mkoa wa...
  7. JamiiForums Tanzania KISAIKOLOJIA :ALIYESHIRIKI KUHARIBU MALI NA KULETA VURUGU ILIYOPELEKEA VIFO HATOISHI KWA AMANI

    Ukishashiriki katika harakati zenye kuishia katika kuharibu mali ya mtu au yenye maslahi na roho za watu basi ujue hutokaa salama kihisia na kiroho. Leo hii wapo waliopoteza ndugu zao au baba zao kisa ulishiriki kuleta vurugu hakika danu yako na vizazi vyako havitokuwa salama kiroho. Hilo ni...
  8. JamiiForums Tanzania Amani ni sawa na bikra ikiondolewa hairudi

    amani ni sawa na bikra ya mwanamke ikiondoka kurudi kwake ni vigumu sana so kwa hapa tulipofikia tutarajie machafuko zaidi ya haya
  9. JamiiForums Tanzania Wanaharakati mngehamasisha maandamano ya amani bila kufanya uhalifu kusingekuwa na madhara yoyote

    Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote. Kwenye maandamano ya wiki iliyopita...
  10. JamiiForums Tanzania Amani imetawala Hakuna mwanaJF aliyepotea au kupoteza maisha

    Tuendelee kuombea amani siku zote na tuwakatae mamluki wa vurugu kuleta vurugu Tanzania.
  11. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Nitoe onyo kama Mama, Wote waliochochea uvunjifu wa amani, watambue vurugu huishia kupimana nguvu na uwezo wa kujihami

    Akizungumza Novemba 3, 2025 baada ya kuapishwa kwake, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alitoa kali kwa wale waliohusika na vurugu zilizojitokeza baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29. Chanzo: TRT Afrika
  12. M

    JamiiForums Tanzania SADC yaitaka Serikali ya Tanzania kutafuta suluhisho la kumaliza kadhia inayoendelea kwa njia ya amani

  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Waziri Kombo: Dar es Salaam ni shwari, kuna amani

    Mheshimiwa Kombo kathibitisha Dar es Salaam ni shwari na watu wanaendelea na shughuli zao kama kawaida kabla ya saa 12 jioni. Kuhusu internet ni kuwa itarudishwa kesho. Alihojiwa na BBC. Hakika mama anaupiga mwingi.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Amani siyo kuwa na pesa bali ni kuwatendea wenzako Haki. Huyu mama mwisho wake utakuwa mbaya sana

    Huyu Mama hata kama mamlaka yatamtangaza kuwa Rais hatakuwa na Amani maishani mwake,na wenda binafsi yake itabidi ajiingize kwenye maisha ya vileo ili kujipa amani ya mda fupi Kusababisha watu kufa kwa ajili yako kwa uzembe ni kosa kubwa sana, atajikuta maisha yake yote anaishi ndani ya...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania amani na utulivu vimesamia

    Sasa hivi, ukijikuta kwenye hali ambayo hukutarajiia ujue umesamia. Usitafute suluhu bila kuwa ngangari na ngunguru. Hilo ndilo wazo la leo. Msikubali kusamia wala kusamiwa.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya kisiwa cha amani iliisha rasmi jana tarehe 29/10/2025

    Inasikitisha sana ila ndo tukubali ukweli kuwa ile Tanzania ya watu wapole, wapenda amani wasiotaka fujo iliisha rasmi jana tarehe 29/10/2025. Hakutakuwa tena na kubembelezana kwenye mambo ya haki. Kila kitu kimeanza upya kuanzia jana. Raia wamevumilia toka awamu ya kwanza hadi leo awamu ya 6...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania Inahitaji Ujasiri Mpya: Kwa Nini Wakati Umefika wa CCM Kuachia Madaraka kwa Amani. Je ni baada au kabla ya uchaguzi?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo wananchi hawana budi kuamka, kujiuliza, na kusema kwa sauti moja: “Inatosha!” Tanzania iko katika kipindi hicho sasa: Kwa zaidi ya nusu karne, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa dira, mzigo, na wakati mwingine kizuizi cha maendeleo ya kweli ya taifa...
  18. JamiiForums Tanzania Tutaandamana kwa amani Askari atakaye mpiga mwananchi sisi tutajitetea

    Tutaandamana kwa amani na kwa muujibu wa katiba ya nchi Askari atakaye mpiga mwananchi kwa sababu ya maandamano ni uhalifu wa kivita na sisi tutajitetea tutamfanya nyama.
  19. JamiiForums Tanzania shughuli itaanzia 28 hiyo tutakinikusha anajifanya hasikii hakuna amani na mafisadi

    Shughuli itaanzia 28 hiyo tutakinikusha anajifanya hasikii. Hatufanyi amani na wezi watekaji na wauwaji. tarehe 28 tutakinukisha tuirudishe nchi yetu kwenye mstari.
  20. JamiiForums Tanzania Haki hizi zikikosekana, Nchi haiwezi kuwa na Amani

    Kwa mujibu wa Tamko la Ulimwengu la Haki za Binadamu (Universal Declaration of Human Rights – UDHR) — lililopitishwa na Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa tarehe 10 Desemba, 1948 — kuna makala 30 zinazotambuliwa duniani kote kama haki za msingi za binadamu. 1 Haki ya Usawa (Right to Equality)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…