ama

Āma was a medieval Indian king who ruled the Kingdom of Kannauj and surrounding areas during the 8th and the 9th centuries. According to the Jain chronicles, he was the son and successor of Yashovarman.

View More On Wikipedia.org
  1. Sakata la Bodi ya Mikopo dhidi ya Nicholaus Komba

    Kuna mambo yakitokea duniani basi moja kwa moja fahamu kuwa upo ndani ya bara la Afrika na kuna upuuzi ukitokea Afrika basi fahamu tu upo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nadhani mahakama za kwetu Tanzania ndio zinaongoza kwa kutoa maamuzi kichwa kichwa sana, vitivo vya sheria ndani ya chuo...
  2. Ni njaa ama kukosa akili, kabila Gani Tanzania linapigia mwanamke magoti? Nimesikia aibu sana 🚮

    Labda mniambie wajuvi ambao mnajua jamii nyingi za kitanzania na makabila mbalimbali tamaduni zao Na utu uzima wangu huu ni wapi, ambapo mwanaume anamsujudia mwanamke? Tunaacha kumpigia magoti Mungu alieumba Dunia hii tunampigia magoti mwanadamu? Yan na wewe umekaa kwenye kiti umejitanua kabisa...
  3. Kitubio ama msamaha wa waziri?

    Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Ndugu Patrobasi Katambi akitoa wito kwa baadhi va watu kujitokeza mbele yake kwenda kujibu tuhuma zinazowakabili, baada ya watu hao kujitokeza mbele ya ndugu Katambi amekuwa akijitokeza hadharani na kutangaza msamaha kwa...
  4. M

    Ama kweli tunatofautiana , Mfanyabiashara umehaso hatimae una bilioni 10, unaendelea kuhaso kumfurahisha nani ? wengine tukizipata tunastaafu mapema

    Ama kweli tunatofautiana. 😂 Kuna watu tayari wamevuka utajiri wa bilioni 10 zisizo na minyororo ya madeni, lakini bado haziwatoshi. Wengine tukizipata hizo bilioni 10 tu, tunastaafu mapema kabisa. Biashara zenyewe hizi kwetu wabongo kama mnavyojua ukishatangulia warithi wanachowaza ni kuziuza...
  5. MSITAPELIWE NA HII KAMPUN INAJITA RICHMOTORS MIKOCHEN AMA AGUZA NASI CHINA MADADA NIKICHOKIONA NIMEWAONEA HURUMA HAWANA OFISI UTALIZWA

    ANGALIZO AGUZA=AGIZA NIKICHOKIONA=NILICHOKIONA HABARINI MA DADA WAJASIRIAMALI JANA NIMESHUKA MIKOCHENI B NILIKUWA NAELEKEA MAENEO YA SHULE YA USHINDI KWA NYUMA NILICHOKIONA NILIUMIA SANA NILIKUTA MADADA WAWILI WANALIA.MMOJA AMESAZA MAVUMBI VIBAYA SANA BAADA YA MDA NA KUHOJI HAYA NDIO...
  6. Mkutano wa chadema hakuna, pesa ama haikutosha au imeliwa.

    Nilijuwa tu ingekuwa hivi. https://www.youtube.com/live/WsIGb9vVMec?si=PlUY2O1nojL2QYr_
  7. Kwa kutotoa press ama kauli yeyote mpaka sasa kwa issue ya makamo kujiudhuru ni ishara kwamba mkuu wa nchi atakua anaupima upepo.

    Tangu mh Nchimbi ajiudhuru mpaka sasa ni takribani siku ya nne lakini hakuna kauli yoyote ya mkuu wa nchi. Kwa namna ya ukubwa wa jambo lenyewe ilipaswa mpaka sasa nchi iwe imesikia kauli yoyote kutoka kwa raisi lakini yuko kimya. Kimkakati ni kama anaupima upepo kusikilizia yanayoendelea...
  8. Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika Ni credit kwa Taifa Britanicca
  9. Lissu na Mbowe ni washirika ama ni mahasimu wa kisiasa?

    Mpaka sasa nikiyaangalia mahusiano ya Lissu na Mbowe napata utata kama ni washirika wa kisiasa ama ni mahasimu. Lissu mara kadhaa alikuwa anasema cheo chochote atakachogombea Mbowe yeye hatogombea... Ilikuwaje mwaka 2025 akachuana na Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa? Mbowe...
  10. O

    Ni Japan Ama Nairobi? Otamatsuri 2026 Yavuta Maelfu na Kuteka Mtandao

    “A Japanese idol concert in Kenya.” Video moja tu yenye maneno hayo imegeuka kuwa gumzo mtandaoni, ikionyesha umati wa Wakenya ukiimba, kuruka na kushangilia kwa nguvu wakati msanii wa Japan akitumbuiza Nairobi. Video hiyo ilinaswa wakati wa Otamatsuri 2026, tamasha la anime, manga na pop...
  11. CORI asante kututetea! Utetezi wa kelele bila kuchukua hatua zozote, nazo ni kelele! Ama mchukue hatua, ama mnyamaze kimya msitupigie kelele!

    Wanabodi, Utangulizi, Naomba kuanza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu mwandishi wa makala hii, Pascal Mayalla, ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, baada ya kukumbana madhila mbalimba mbali ya kiuandishi, nikajikita kwenye kuandika makala elimishi kuhusu katiba, sheria, haki na...
  12. Ubaki na akili timamu ama jitoe akili uwe chawa

    Naamini MACHAWA WOTE wana akili timamu,ila wameamua KUJITOA AKILI,kujizima data,kujitoa ufahamu kuna machawa wamesoma vyuo vikuu,wengine ni maprofesa kabisa Usifikiri hawa wanaoposti hapa UCHAWA UCHAWA ni kwamba wao hawana akili timamu au hawaoni,ni watu walioamia KUTUMIKA wakiwa na akili zao...
  13. O

    Ama Homa Bay Iko Yemen? Barabara Zafichua Hali Halisi Ya Maendeleo

    Baada ya msafara wa Linda Mwananchi kuingia Homa Bay jana, hali ya barabara katika baadhi ya maeneo ya Suba imeibua mjadala mkubwa mitandaoni. Msafara huo ulilazimika kutumia njia mbadala zenye vumbi na mashimo, baada ya barabara kadhaa kuu kuzuiwa kwa mawe na kuchomwa kwa matairi wakati wa...
  14. Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina. Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa...
  15. Afrika, Tanzania tunahitaji watawala wa aina gani? - machifu na wafalme kama zamani ama (wanasiasa) maraisi na mawaziri kama siku hizi

    Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
  16. M

    Nilikuwa nimekariri watemi kina Nyatsimba Mutota nikiwa sekondari sijaona msaada wake, ama kweli nilipoteza muda

    Nakumbuka nilikariri hadi matarehe ya vita zao lakini hadi sasa najuta nilipoteza sana muda. Muda huo heri ningejifunzaga hata kupalilia matuta ya kunipa chakula Muda huo heri ningejifunzaga hata kupika nizijue survival skills Muda huo heri ningejifunzaga kunyoa nijifunze mbinu za kujiingizi kipato
  17. Huu picha ina maana kubwa sana kiroho, ama kweli hela ngumu

    Upindeeeee
  18. G.S imekuaje siku hizi ?nyepesi sana ama ?

    G.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana. Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S lilikuwa uji sana nini ?
  19. Jaribu hiki kitu: Kinatokea kwangu tu ama ni kwa wote?

    Habari wakuu Katika pita pita zangu YouTube kuna kitu cha ajabu kinatokea mwenye ufahamu aweke hapa. Ukisearch video yenye urefu wa kuanzia masaa mawili kwenye PC au kwa kuwasha Desktop site kwenye chrome, kisha uiplay na uedit link inayotokea pale juu kwenye search. Kwa kuondoa herufi t...
  20. Samahani Rais, Unajisikiaje unapokula nyama, ama unapokaa na Watoto na Wajukuu zako?

    Mheshimiwa Rais, naomba kuandika kwa ufupi sana. Kutekwa kwa Polepole , Mdude na hata kuuwawa kwa Mzee Kibao kuliacha damu nyingi sana ikimwagika, naomba kukuliza Mheshimiwa mwenye jukumu la kwanza la kulinda uhai wa watu wako, huwa unajisikiaje kula nyama kama chakula huku ukikumbuka wetu wako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…