ama

Āma was a medieval Indian king who ruled the Kingdom of Kannauj and surrounding areas during the 8th and the 9th centuries. According to the Jain chronicles, he was the son and successor of Yashovarman.

View More On Wikipedia.org
  1. Pdidy

    MSITAPELIWE NA HII KAMPUN INAJITA RICHMOTORS MIKOCHEN AMA AGUZA NASI CHINA MADADA NIKICHOKIONA NIMEWAONEA HURUMA HAWANA OFISI UTALIZWA

    ANGALIZO AGUZA=AGIZA NIKICHOKIONA=NILICHOKIONA HABARINI MA DADA WAJASIRIAMALI JANA NIMESHUKA MIKOCHENI B NILIKUWA NAELEKEA MAENEO YA SHULE YA USHINDI KWA NYUMA NILICHOKIONA NILIUMIA SANA NILIKUTA MADADA WAWILI WANALIA.MMOJA AMESAZA MAVUMBI VIBAYA SANA BAADA YA MDA NA KUHOJI HAYA NDIO...
  2. kavulata

    Mkutano wa chadema hakuna, pesa ama haikutosha au imeliwa.

    Nilijuwa tu ingekuwa hivi. https://www.youtube.com/live/WsIGb9vVMec?si=PlUY2O1nojL2QYr_
  3. gimmy's

    Kwa kutotoa press ama kauli yeyote mpaka sasa kwa issue ya makamo kujiudhuru ni ishara kwamba mkuu wa nchi atakua anaupima upepo.

    Tangu mh Nchimbi ajiudhuru mpaka sasa ni takribani siku ya nne lakini hakuna kauli yoyote ya mkuu wa nchi. Kwa namna ya ukubwa wa jambo lenyewe ilipaswa mpaka sasa nchi iwe imesikia kauli yoyote kutoka kwa raisi lakini yuko kimya. Kimkakati ni kama anaupima upepo kusikilizia yanayoendelea...
  4. britanicca

    Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Kwa heshima bora ajiamulie mapema aisee Litatikisa hakuna week kadhaa mbele miamba inatikisika Ni credit kwa Taifa Britanicca
  5. Allen Kilewella

    Lissu na Mbowe ni washirika ama ni mahasimu wa kisiasa?

    Mpaka sasa nikiyaangalia mahusiano ya Lissu na Mbowe napata utata kama ni washirika wa kisiasa ama ni mahasimu. Lissu mara kadhaa alikuwa anasema cheo chochote atakachogombea Mbowe yeye hatogombea... Ilikuwaje mwaka 2025 akachuana na Mbowe kwenye nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA Taifa? Mbowe...
  6. O

    Ni Japan Ama Nairobi? Otamatsuri 2026 Yavuta Maelfu na Kuteka Mtandao

    “A Japanese idol concert in Kenya.” Video moja tu yenye maneno hayo imegeuka kuwa gumzo mtandaoni, ikionyesha umati wa Wakenya ukiimba, kuruka na kushangilia kwa nguvu wakati msanii wa Japan akitumbuiza Nairobi. Video hiyo ilinaswa wakati wa Otamatsuri 2026, tamasha la anime, manga na pop...
  7. Pascal Mayalla

    CORI asante kututetea! Utetezi wa kelele bila kuchukua hatua zozote, nazo ni kelele! Ama mchukue hatua, ama mnyamaze kimya msitupigie kelele!

    Wanabodi, Utangulizi, Naomba kuanza kwa kutoa utangulizi mfupi kuhusu mwandishi wa makala hii, Pascal Mayalla, ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kujitegemea, baada ya kukumbana madhila mbalimba mbali ya kiuandishi, nikajikita kwenye kuandika makala elimishi kuhusu katiba, sheria, haki na...
  8. a sinner saved by Christ

    Ubaki na akili timamu ama jitoe akili uwe chawa

    Naamini MACHAWA WOTE wana akili timamu,ila wameamua KUJITOA AKILI,kujizima data,kujitoa ufahamu kuna machawa wamesoma vyuo vikuu,wengine ni maprofesa kabisa Usifikiri hawa wanaoposti hapa UCHAWA UCHAWA ni kwamba wao hawana akili timamu au hawaoni,ni watu walioamia KUTUMIKA wakiwa na akili zao...
  9. O

    Ama Homa Bay Iko Yemen? Barabara Zafichua Hali Halisi Ya Maendeleo

    Baada ya msafara wa Linda Mwananchi kuingia Homa Bay jana, hali ya barabara katika baadhi ya maeneo ya Suba imeibua mjadala mkubwa mitandaoni. Msafara huo ulilazimika kutumia njia mbadala zenye vumbi na mashimo, baada ya barabara kadhaa kuu kuzuiwa kwa mawe na kuchomwa kwa matairi wakati wa...
  10. KanyeWest_Tz

    Hivi hii Yanga itakua ni project ya chama cha mapinduzi ama?

    Kwa sajili hizi ambazo ziko nje ya uwezo wa kiuchumi wa timu husika.. Kutakuwa na namna chama cha CCM wanatumia yanga kama distraction kwa taifa ili mambo yao yaende smooth na vuguvugu la kisiasa liweze kudisolve kiaina. Haikawahi kutokea club hapa Tanzania ikafannya kufuru ya namna hii kwa...
  11. Natty Bongoman

    Afrika, Tanzania tunahitaji watawala wa aina gani? - machifu na wafalme kama zamani ama (wanasiasa) maraisi na mawaziri kama siku hizi

    Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
  12. M

    Nilikuwa nimekariri watemi kina Nyatsimba Mutota nikiwa sekondari sijaona msaada wake, ama kweli nilipoteza muda

    Nakumbuka nilikariri hadi matarehe ya vita zao lakini hadi sasa najuta nilipoteza sana muda. Muda huo heri ningejifunzaga hata kupalilia matuta ya kunipa chakula Muda huo heri ningejifunzaga hata kupika nizijue survival skills Muda huo heri ningejifunzaga kunyoa nijifunze mbinu za kujiingizi kipato
  13. Burn the bridge _Tz

    Huu picha ina maana kubwa sana kiroho, ama kweli hela ngumu

    Upindeeeee
  14. Mi mi

    G.S imekuaje siku hizi ?nyepesi sana ama ?

    G.S lilikuwa somo la ajabu sana kwenye ufaulu unaweza kupiga points 3 ila G.S ukawa na S ila madogo wa siku hizi wanapiga mpaka B G.S nimeshangaa sana. Madogo mliopiga paper mwaka huu la G.S lilikuwa uji sana nini ?
  15. Nomadiq

    Jaribu hiki kitu: Kinatokea kwangu tu ama ni kwa wote?

    Habari wakuu Katika pita pita zangu YouTube kuna kitu cha ajabu kinatokea mwenye ufahamu aweke hapa. Ukisearch video yenye urefu wa kuanzia masaa mawili kwenye PC au kwa kuwasha Desktop site kwenye chrome, kisha uiplay na uedit link inayotokea pale juu kwenye search. Kwa kuondoa herufi t...
  16. Terrible Teen

    Samahani Rais, Unajisikiaje unapokula nyama, ama unapokaa na Watoto na Wajukuu zako?

    Mheshimiwa Rais, naomba kuandika kwa ufupi sana. Kutekwa kwa Polepole , Mdude na hata kuuwawa kwa Mzee Kibao kuliacha damu nyingi sana ikimwagika, naomba kukuliza Mheshimiwa mwenye jukumu la kwanza la kulinda uhai wa watu wako, huwa unajisikiaje kula nyama kama chakula huku ukikumbuka wetu wako...
  17. idiomer

    Utapeli upo huu upo? Ama kweli Bongo Dar es Salaam

    Siku kadhaa zimepita niliona jambo akili yangu ikawaza sanaaa. Je wajua jambo gani tiririka na uzi huu mwenetu. Bongo Dar es Salaam Jiji la watu wapatao milioni 6 na ushee wakubwa kwa wadogo lakini wote wakubwa. Jiji maarufu la vyakula vitatu wali, chips na ugali. Jiji lenye vyanzo...
  18. C

    SISI WOTE NI WABAYA KWA NAMNA MOJA AMA INGINE-WE ARE ALL EVIL

    Habari wanajf, Nimekuwa nikitazama mambo jicho la nini ni sahihi na sio nani ni sahihi? Na kufahamu sababu yeyote ile inayokufanya kuwa sahihi (in moral sense) ,ndio sababu hiyo hiyo inayokufanya usiwe sahihi. Kwa sababu ili jambo liwe Zuri kwako inabidi likufurahishe wewe? Lakini tunasahau...
  19. Kipenzi Changu

    Ama kweli CHADEMA "pumzi imekata"

    Picha na video ikionyesha Chadema ikikata pumzi huko Njombe
  20. Pdidy

    Wanao-bet simba anafunga ama sare, muwe makini sana leo

    Leoo kazi ipo wakamariaa kaeni mbalili na Simba. Waashakata tamaaaa Leo msishangae wakifungwa ama Kudrow Sema Amina yaradiii
Back
Top Bottom