akutana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Waziri Mkenda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini, Ahmad Al Homaid

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo tarehe 24 Machi,2022, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Qatar Nchini, Mhe. Balozi Hussain Ahmad Al Homaid Jijini Dar es Salaam. Viongozi hao pamoja na mambo mengine wamezungumzia ushirikiano wa Nchi hizo mbili katika...
  2. Roving Journalist

    Waziri Nape Nnauye akutana na kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye (Mb) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Wizara hiyo ya mwaka wa fedha 2021/2022 na bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kwenye ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo...
  3. Erythrocyte

    Freeman Mbowe akutana na Mzee Edwin Mtei

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, leo Jumatatu ya tarehe 21/03/2022, Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amemtembelea muasisi wa Chadema Edwin Mtei, nyumbani kwake huko Tengeru, Mkoani Arusha. Mbowe ametumia wasaa huo kumpa Pole Mzee Mtei kwa kufiwa na Mke wake aliyeitwa Johari, Ambaye alifariki...
  4. Sky Eclat

    Kichepe akutana na mwanaye akiwa na miaka 16, yeye akiwa kwenye 'wheelchair'

    Kichepe alizaliwa mtoto wa pekee, wazazi wake walizawadiwa shamba la mkonge na ma settlers wa Kigiriki. Waliliendeleza shamba na Kiepe alisoma Kenya tangu shule ya msingi, alikuja nyumbani likizo tu. Kiepe akiwa darasa la 10, mama yake aligundulika na saratani ya ziwa. Matibabu yaliyowezekana...
  5. Replica

    Waziri Mkuu wa Israel akutana na Putin kumaliza mgogoro Ukraine, Marekani yabariki

    Waziri Mkuu wa Israel, Naftali Bennett amekutana kwenye mazungumzo ya saa tatu na Rais wa Urusi, Vladimir Putin katika Jiji la Moscow, Urusi katika harakati za kutatua mzozo wa Urusi na Ukraine, mazungumzo hayo yamepewa baraka na Utawala wa Marekani. Mazungumzo hayo ya kidiplomasia yamesimamiwa...
  6. J

    Waziri Bashe akutana na wawekezaji wa kiwanda cha mbolea

    Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, amekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa kampuni ya Pioneers Chemical Factory Co. Kutoka Nchini Saudi Arabia, wenye lengo la kuwekeza Katika uzalishaji na usambazaji wa mbolea Nchini. Kikao hicho kimefanyika katika ofisi ya Wizara ya Kilimo jijini...
  7. Linguistic

    Job Ndugai akutana na Rais Samia Ikulu Dodoma

    Rais Samia Suluhu baada ya Kutoka Kwao Zanzibar amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. Rais Samia kesho ana Kikao na Mawaziri na Manaibu Mawaziri Ikulu Chamwino. Pia soma; Spika Job...
  8. DaveSave

    Kiongozi Mwandamizi wa CHADEMA akutana na Kikwete, Kinana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa

    Jitihada za kumaliza kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Freeman Mbowe, zinaendelea “nyuma ya pazia,” ambapo taarifa za uhakika zinaeleza kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu mstaafu...
  9. B

    Dkt. Philip Mpango akutana na Naibu Waziri Mkuu wa Singapore, Heng Swee Keat

    16 November 2021 Singapore Naibu waziri mkuu Mh. Heng Swee Keat akiwa na Dr Philip Mpango makamu wa rais wa Tanzania.(Picha kwa hisani ya wizara ya TEHAMA Singapore). Makamu wa Rais wa Tanzania Dr Philip Mpango yupo nchini Singapore kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa Jukwaa la Majadiliano ya...
  10. J

    Dkt. Kijaji akutana na wakuu wa taasisi baada ya wiki tatu tangu kuapishwa kwake

    DKT. KIJAJI AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI BAADA YA WIKI TATU TANGU KUAPISHWA KWAKE Prisca Ulomi na Faraja Mpina Asema Wizara yake ni Wezeshi kwa maendeleo ya Taifa Awataka watumishi wawe wazalendo Watekeleze Mkataba baina ya CCM na Serikali kwa kuhudumia wananchi Waziri wa Habari...
Back
Top Bottom