akutana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Katumba kutoka Afrika Kusini akutana kimuziki na Civilian-Coin

    https://youtu.be/AzOjwktrA1Q?si=QiffSdTKzaKLtum1
  2. Diwani Alhaj Dunga akutana na wananchi kata yasaranga na kuelezea mafanikio na changamoto kwenye Kata yake

    Diwani wa kata ya Msaranga Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro(CCM),Alhaj Ally Pendo maarufu kwa jina la Dunga amefanyaka mkutano wa hadhara na wananchi wake na kuelezea mafanikio yaliyopatikana tangu achaguliwe kuwa Diwani wa Kata hiyo Oktoba 29 mwaka jana Mafanikio hayo yamejikita kwenye...
  3. DKT. MWIGULU AKUTANA NA RAIS WA AGRA

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekutana na Rais wa AGRA, Bi. Alice Ruhweza, na kueleza hatua zinazochukuliwa na Tanzania kuimarisha kilimo na kuwawezesha vijana kushiriki katika sekta hiyo. Mazungumzo hayo yamefanyika Oktoba 21, 2026, kando ya Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug...
  4. H

    Dkt. Mwigulu akutana na Rais wa AGRA

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amekutana na Rais wa AGRA, Bi. Alice Ruhweza, na kueleza hatua zinazochukuliwa na Tanzania kuimarisha kilimo na kuwawezesha vijana kushiriki katika sekta hiyo. Mazungumzo hayo yamefanyika Oktoba 21, 2026, kando ya Mkutano wa Kimataifa wa Norman E. Borlaug...
  5. Rais Samia akutana na Balozi mpya wa Ubelgiji

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mheshimiwa Lot Debruyne Balozi Mteule wa Ubelgiji hapa nchini, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
  6. Makamu wa Rais Ndejembi akutana na Katibu Mkuu wa UN

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Antonio Guterres, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa – New York nchini Marekani. Mazungumzo hayo yamefanyika...
  7. Prof. Shemdoe akutana na viongozi wa Mbinga kuimarisha utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amefanya kikao kazi na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, wabunge na viongozi wa Wilaya ya Mbinga, kwa lengo la kujadili namna bora ya kuimarisha na kuharakisha utekelezaji wa miradi ya...
  8. JK akutana na mkurugenzi wa sasakawa peace

    Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtafiti Mkuu wa Taasisi ya Sasakawa Peace Foundation ya Japan, Bw. Masanori Kobayashi, katika ofisi yake ndogo iliyopo Masaki, Dar es Salaam. Mazungumzo hayo yalilenga kufuatilia...
  9. LIVE: Nchemba Akutana na Wananchi Ilongero

    https://www.youtube.com/live/vKnfRaMqeEI?si=VEfXN02_ql7yhs1V LIVE: WAZIRI MKUU DKT. MWIGULU NCHEMBA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Jumapili, Septemba 06, 2026, anazungumza na wananchi wa Jimbo la Ilongero, Halmashauri ya Wilaya ya Singida, pamoja na kusikiliza na kujibu hoja...
  10. Rais Samia akutana na Xi Jinping Beijing

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 4 Septemba 2024: Rais Samia Mkutano na Xi Jinping, China Tarehe 4 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Beijing, China, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Xi Jinping wa China katika ukumbi wa Great Hall of the People. Mkutano huo ulifanyika wakati Rais...
  11. Rais Museveni hii leo akutana na Ujumbe wa Abdul Hafidh mtoto wa Samia ikulu ya Entembe. Hivi huyu dogo ana cheo Gani serikalini?

    Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye ufahamu tafadhali maana nachanganyikiwa.
  12. Waziri wa Ulinzi, Dkt. Nyansaho akutana na wazee waliopigana vita, Baba Levo naye atoa neno

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb) tarehe 23 Agosti 2026 alifanya ziara Mkoani Kigoma na kukutana na Wanajeshi Wastaafu waliopigana vita.
  13. Heche akutana na Wazee wa Mkoa wa Mara leo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, leo Julai 17, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Wazee wa Mkoa wa Mara katika Ukumbi wa Zablon Sports Arena mjini Tarime. Katika mkutano huo, wazee hao walimkabidhi Heche zawadi ya mbuzi mmoja pamoja na mikungu ya ndizi kama ishara ya...
  14. H

    Waziri Kombo akutana na Balozi wa China nchini Tanzania

    WAZIRI KOMBO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), 14 Julai, 2026 amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania Mhe. Chen Mingjian kwa mazungumzo yaliyolenga kuimarisha...
  15. Rais Samia akutana na Alhaji Aliko Dangote, Ikulu na timu yake Ikulu ya Dar, leo Juni 28, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
  16. Waziri Mkuu akutana na balozi wa uingereza nchini Tanzania

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba leo Ijumaa, Juni 5, 2026 amefanya mazungumzo na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Mhe. Marianne Young, ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma. Mazungumzo hayo yalijikita katika kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano kati ya Tanzania na Uingereza...
  17. H

    Waziri Kombo akutana na jumuiya ya diaspora ya Tanzania nchini Korea

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Mahmoud Thabit Kombo amekutana na Jumuiya ya Diaspora ya Tanzania wanaoishi katika Jamhuri ya Korea na kuwahimiza kuendelea kuwa mabalozi wazuri wa Tanzania kwa kuitangaza nchi na fursa mbalimbali zilizopo katika sekta za...
  18. Rais Samia Akutana na Aliko Dangote Ikulu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
  19. Rais Samia Akutana na Aliko Dangote Ikulu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote pamoja na Ujumbe wake, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026.
  20. Rais Samia akutana na Dangote leo Mei 16, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 16 Mei, 2026. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…