akili

Akili ni neno pana sana ambalo linarejelea uwezo wa kiroho na kiutendaji wa ubongo wa binadamu (au kiumbe hai) kufikiri, kuelewa, kujifunza, kutatua matatizo, na kufanya maamuzi.

Kwa lugha rahisi, wakati ubongo ni kiungo kinachoonekana ndani ya kichwa (physical organ), akili ni matokeo ya utendaji kazi wa huo ubongo (mind/intellect).

Neno hili hutumika katika mazingira mbalimbali na linaweza kubeba maana zifuatazo kuu:

  • Uwezo wa Kujifunza na Kuelewa (Intelligence): Hili ni lile kundi la akili la darasani au uwezo wa ubongo kuchakata taarifa mpya haraka. Mfano, tunaposema "Mwanafunzi yule ana akili sana," tunamaanisha ana uwezo mkubwa wa kuelewa masomo na kufaulu.
  • Busara, Hekima, na Utambuzi (Common Sense): Hii ni uwezo wa mtu kupambanua kati ya jema na baya, na kufanya maamuzi sahihi katika maisha ya kila siku. Mtu anaweza asiwe na elimu kubwa, lakini akawa na akili ya maisha. Mfano: "Jambo hili linahitaji akili, siyo nguvu."
  • Mbinu, Ubunifu, au Ujanja (Ingenuity/Tact): Huku ni kutumia uwezo wako wa kufikiri kutafuta njia mbadala ya kutatua changamoto ngumu au kujiokoa katika mazingira magumu. Hii mara nyingi huitwa "akili ya kuzaliwa".
  • Hali ya Ufahamu (Consciousness/Sanity): Akili pia inamaanisha hali ya mtu kuwa sawa kiufahamu bila kuwa na matatizo ya mtikisiko au magonjwa. Mfano, tunaposema "Amepoteza akili," tunamaanisha amepata tatizo la afya ya akili (kuchanganyikiwa) au amelewa kiasi cha kutojitambua.
  1. appoh

    Nguvu vs akili

    Mmoja anatumia nguvu mia akili kisoda mwingine anatumia nguvu kisoda akili mia Israel na Marekani anatumia akili kubwa na nguvu kidogo matokeo makubwa. Mpaka sasa vifo vingi ni Iran lakini mashambulizi mengi ni Iran pia ni kama anajipiga mwenyewe hivi yaani anaua mbu kwa nyundo kubwa kidoleni...
  2. Nyankurungu2020

    Watanganyika wana akili sana. Wamemkataa Jesca Magufuli baada ya kutumiwa na mafisadi wa CCM kama chambo

    CCM mtandao ni wajinga na hawana akili za kuweza kuwadanganya Watanganyika. Walidhani Jesca Magufuli atakuwa bait ili wakubalike kwa Watanganyika. Yuko wapi Humphrey Polepole?
  3. G

    Mwanaume jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kipato zaidi ya mara mbili na kuendelea pia akili usiweke pembeni

    Ni ushauri wa Bure Kwa mwanaume anayetaka kubaki kwenye nafasi yake ya uanaume. Ambao mmeamua kuleft siwashangai Wala kuwadharau uanaume ni kazi ngumu sana Huwezi kuambiwa jikaze kimwanamke , jikaze kiume ndo NENO liko Hadi kwenye maandiko
  4. MamaSamia2025

    Hizi ni ajali tatu zilizoniachia kumbukumbu mbaya zenye simanzi kwenye akili yangu

    Hizi ni ajali ambazo hadi leo zimeniachia simanzi na kumbukumbu mbaya kichwani mwangu. Sikupoteza ndugu wala mtu yeyote wa karibu ila ziliniumiza mno. 1. Ajali ya moto kwenye bweni la wasichana Shauritanga sec, Rombo Hii ajali ilitokea usiku wa tarehe 18 June 1994. Bweni lilishika moto na...
  5. Prof Phraoh AI

    Angalia huu udhaifu mkubwa kwenye akili ya binadamu ambao wanaojipa title ya mamlaka wanautumia kwa maslahi yao

    ‎Mwaka 1961, mwanasaikolojia wa Chuo Kikuu cha Yale, Stanley Milgram, alifanya jaribio ambalo lilionyesha jinsi ubongo wa binadamu unavyofanya maamuzi unapokua chini ya mamlaka fulani na kuibua swali zito kuhusu utii wa binadamu kwa mamlaka. ‎ ‎Katika jaribio hilo linalojulikana kama Milgram...
  6. Samia atosha tukutane2030

    Mkiambiwa kuwa hamna akili msiwe wabishi. Kila kukicha wanaharakati wenu wajinga wanazusha mambo halafu mnataka serikali itoe majibu

    Hakuna serikali ya kijinga namna hiyo. Mange Kimambi anazusha Mafwele kabakwa halafu anasema serikali ikanushe na Mafwele ajitokeze. Kigogo 2014 anazusha Rais kafa, mnafurahi na kujifariji. Mkiona kimya anatokea Lema na Maria Sarungi mjaa laana wanasema serikali iseme Rais yuko wapi. Anatokea...
  7. Q

    Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

    Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa...
  8. Titicomb

    Amkeni, mnachezewa akili tetesi za tukio la kamanda katili kuchukuliwa na makamanda wa kulipiza kisasi

    Hili tukio la yule jamaa katili sana kutekwa na wabeba mawe kwenye mabegi ni la kulichukulia kwa tahadhari na akili kubwa. Huenda la kweli au uzushi. Wanaosambaza uvumi huu wote hawaweki ushahidi bali wanasema tuwaamini. Kila anayesambaza anaanza au kumalizia maelezo yake kwa furaha kwa...
  9. R

    Polisi nanyi hamuaminiki milele, taarifa hii hakuna mwenye akili anaweza kuiamini kutokana na matendo ya kuteka watu na kusema hamuhusiki

    Polisi hamuaminiki. Mmeteka watu maelfu mnasema hamihusiki, at the end of the day inafahamika pasi shaka kuwa you are the CULPRITS. Soka yuko wapi wakati aliripoti Chang'ombe na mkasema hamuhusiki.
  10. N

    JamiiAI: Mafanikio Katika Majaribio ya Awali ya Akili Mnemba "JamiiAi" niliyewaletea ili kuisaidia jamii ya kiswahili

    LOGO rasmi ya jamiiAi  Utangulizi Katika enzi ya maendeleo ya kasi ya teknolojia ya akili bandia, ujio wa akili mnemba inayojulikana kama Jamii AI umeleta matumaini mapya katika sekta ya kidijitali. Kupitia majaribio ya awali yaliyofanyika, Jamii AI imeonesha uwezo mkubwa wa kiufundi, kasi ya...
  11. A

    Akili na ushahidi wa mashahidi ndio Taswira Yetu

    Hivi karibuni kumekuwepo na Kesi ya , Sasa katika uendeshaj wa Kesi hii kumekuwepo na mapungufu mengi, kuanzia Offisi ya mwendesha Mashtaka, na ma mashahidi wenyewe, kiasi kwamba Nina jiuliza hizi akili na Mali tunazo zichezea kwenye Kesi hii nikuonyesha ukomo wa akili zetu au , bado...
  12. M

    Waislam Kuna baadhi ya mazingira dini usiipe kipaumbele hasa kwenye mambo ya msingi kama afya

    Wakuu habari za muda huu. Ama kwa hakika ndugu zetu waislam ni watu nafikiri wachunguzwe haswaaa, maana Kuna baadhi ya mambo huwa siwaelewi kabisa Hivi masheikh ikitokea umeenda hospital na mkeo, alafu ukaenda kufanya kipimo, mkeo ndo anapima, kwa bahati mbaya huo muda daktari wa zamu...
  13. O

    Hii hapa kazi ya afande MWENYE akili

    Mlinzi mmoja wa usalama jijini Houston amepata heshima kubwa mitandaoni baada ya video kuonyesha akipambana na wanaume wawili tofauti—mmoja baada ya mwingine—na kuondoka akiwa amesalimiana nao kwa mikono, badala ya kuwakamata au kuwafunga pingu. Tukio hilo lilitokea karibu na gari la chakula...
  14. Mindyou

    Tanzania imeshika nafasi ya 22 Afrika kwa kuwa na IQ (uwezo wa akili) mkubwa zaidi barani Afrika

    Tanzania imetajwa na mtandao wa International IQ Test kuwa ya 22 barani Afrika kwa kuwa na kiwango cha juu cha uwezo wa akili kwa mwaka 2026, huku Algeria, Tunisia na Morocco zikiongoza orodha hiyo kwa upande wa bara la Afrika. Kwa Afrika Mashariki, Kenya imeongoza imeshika nafasi ya kwanza...
  15. Tundusami

    Watoto waliozaliwa kwa operesheni wanakuwaga na akili kuliko wale wa kawaida

    Hawa wa kawaida wanapitia misukosuko mingi inawasiligi hata ukuaji wao kichwa kinapovutwa vutwa Wale wa operesheni wanatolewa wanaweka pembeni mdo mana wanakuaga na akili
  16. zaza1

    “Wanaojitolea Wanapendelewa” — Huu Ni Mtazamo wa Akilini Mwake, Sio Uhalisia wa Mtaani

    Kauli ya Naibu Waziri Mhe. Regina Ndege Qwaray kwamba wanaojitolea wanapendelewa huku akisema kujitoa sio kigezo cha ajira, ni kauli inayokera na inayokosa uhalisia. Ukweli ni mmoja: hii ni tafsiri yake binafsi — akili yake — sio hali halisi inayowaumiza maelfu ya vijana. Kama kweli...
  17. Pdidy

    Ishini nao kwa akili wapendwa

    Ndugu Yangu' Ulie ktk Mahusiano Au Ndoa'Mume Ukitaka kuisha Vizuri na Mkeo kuepuka Migogoro,Kuna Mengine Ujifanye Kama Huoni' , Unachotakiwa kufanya Wewe Ongea nae Vizuri Lakini Husimuongereshe. (Ongea nae)Akikuuliza kitu Majibu,akikwambia kitu Majibu,alitaka Unisaidie kitu Majibu na...
  18. Sifi Leo

    Uwezi kuwa mpinzani, ukajiunga ccm UNAENDELEA na akili zako? Mtatiro amekuwaje hivyo hivi?

    Leo mtatiro anawaamisha watumishi walio kuwa na shida ya ubadhifu na matumizi mabaya ya MADARAKA alafu mtatiro anaamua kama jitu la CCM na sio Cuf? Hivi Mtatiro Ujui ukifa UTAKUTANA maelf self?Ujui kama lipumba yupo Alie kujenga?kweli ccm imekubadili akili? Naumia sana WIZI ULIO kuwepo...
  19. Z

    Tujiulize sana! Sijui kama Wanaotuongoza wana Akili Timamu

    Baadhi yetu tumeona taarifa za sherehe ya mchungaji kutunukiwa u-profesa na chuo cha Amerika. Afisa mkuu wa serikali aliyehudhuria ni Profesa Kabudi. alikuwa ana-smile! Ni huyu huyu ambaye karibuni alikuwa Vatican kuomba Papa aiombee nchi. Ni huyhuyu aliyemwita JPM Mungu. Ni huyuhu aliyeleta...
  20. jamaikatz

    Akili za wanawake, inashangaza zinavyofanya kazi!

    yaani anahitaji boyfriend awe na miaka 25,awe na gari, nyumba, kazi ya maana, iPhone ya mwisho,awe handsome, awe na ndevu zilizo mkaa vizuri , awe na pesa ,awe na muda wa kuwa anachati nae muda wote na pia awe mcha Mungu. Yaani mtu mmoja abebe sifa na tabia za watu saba🤔
Back
Top Bottom