ajira

  1. I

    Natafuta ajira yoyote ndugu zangu betting imenishinda

    Ndo hivyo wakuu Hali sio Hali nimeamua nipige yowee mwenye maskio na asikie, maana jiwe limepigwa gizani na Mimi ndo nilikuwa nimejificha humo na jiwe ndo limenipata😓 Mimi ni kijana wa makamo tu zaidi ya vibarua Sina kingine cha kufanya naombeni kazi jaman, Sina ujuzi wowote ule zaidi ya...
  2. Kero na changamoto za kufanya kazi (kuajiriwa) kwenye Halmashauri

    Kama Kichwa kinavosema. Baada ya kumaliza Chuo 2018 na kufanya kazi kwenye Sekta binafsi niliona ni kupoteza muda na mateso pale unapokaa miezi hadi mitatu bila mshahara nikaamua niache kazi na kujiajiri kwa kufanya biashara. Ila sijawahi kupigika na maisha kama 2022 mwaka nilioamua kufanya...
  3. TAMISEMI mbona kimya mwezi wa sita huu mwaka huu hawaajiri Walimu na Afya?

    Habari wakuu, kama title inavojieleza....tunaelekea mwaka mpya wa kiserikali(kibajeti) Hofu yangu kuu ni kua tamisemi hawajafungua ajira za walimu na watu wa afya hadi mda huu naandika uzi swali la kujiuliza a) Tuna sufficient za hao watu katika hizo sehemu nyeti kabisa katika maendeleo ya...
  4. Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli?

    Hivi ajira mpya za TRA mwaka huu zitatoka kweli …!! maana mpaka sasa kuna baadhi ya waliopata fursa za kuajiriwa na TRA mwaka wa Jana (2023) bado hawajui ni ofisi ya wapi atapangiwa. Wenye siri nzito za ajira mpya ni lini zitatangazwa tudokezeni. Thank you
  5. SoC04 Suluhisho la tatizo la ukosefu wa ajira rasmi kwa vijana

    SULUHISHO LA TATIZO LA UKOSEFU WA AJIRA RASMI KWA VIJANA NCHINI TANZANIA. Ndoto ya kila mzazi au mlezi ni kuona kijana anapata ajira rasmi mara tu anapohitimu masomo yake.Huku ajira ya serikalini ndio lengo kuu.Pia inachochea maendeleo kwa taifa kuajiri vijana wenye ufahamu wa ujuzi mpya...
  6. N

    SoC04 Inawezekana ajira zikawepo, kwa sababu uhitaji upo wa wafanyakazi. Lakini hamna wanao ajiriwa

    Unakuta kuna uhaba wa ajira sekta fulani mfano uhandisi, ualimi, udaktari na sekta mbali mbali. Lakini kuna watu wengi ambao wapo katika hizo fani na wengine wanafanya kazi ambazo hata haziwapi uzoefu au kuongeza maarifa kwa walichosomea/ taaluma yao. Kwa sababu mbali mbali moja wapo ikiwemo...
  7. G

    Interview kwa walimu walio wahi kuomba kazi ajira PORTAL sector ya curriculm na assistasistant lecturer

    Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
  8. Ajira ni mtihani

    Hakika tunaoishi kwa matumaini ya kusubiria ajira tunapitia changamoto sana asee, yani mimi ni wakupewa kibarua na mtu aliyeacha shule darasa la 5, hiki hakijaniuma sana kilichoniuma ni maneno yake kwamba shule nilienda kupoteza muda. Daah!!! Ni lini hizi dharau zitaisha jamani
  9. H

    SoC04 Ongezeko la watu isiwe tatizo ila iwe chachu ya kujiboresha katika nyanya zote muhimu ndani ya nchi

    Tanzania inazidi kuongezeka hasa Kwa idadi ya watu tulikuwa ml 60 kwa Sasa Kwa takwimu zisizo rasmi tunaenda kufika ml 67 hivyo tunazidi kuongezeka Kwa idadi ya watu ndani. Nchi yenye watu wengi duniani ni china na Kwa afrika ni nigeria.hizo nchi mbili tunaweza tumia kama mifano ya kutuimarisha...
  10. Ajira lukuki, heko ccm na serikali yake!

    Kampuni HOPE HOLDINGS ambayo inaendesha biashara mbalimbali katika Jiji la Dar es salaam kama vile Mgahawa wa Papparoti, Super Market maarufu ya kuuza mazulia iitwayo Amal Carperts Mlimani City na Maduka ya FLO, Bottega Verde, Flormar, Skechers, Defacto na LC Waikiki, imetangaza nafasi za ajira...
  11. Asome kozi gani kati ya hizi ili kuendana na soko la ajira la sasa hapa nchini

    Habari wanaJF, Natanguliza shukrani. Kuna mdogo wangu kwenye haya matokeo ya mwaka huu mwezi wa pili ya kidato cha nne alipata ufaulu wa DIV 2 YA 18(CIVICS: C, HISTORY: B, GEOGRAPHY: C, KISWAHILI: B, ENGLISH: C, LITERATURE: C, CHEMISTRY: C, BIOLOGY: B, MATHEMATICS: D, PHYSICS: D). Alipangiwa...
  12. Poleni sana wasaka ajira, msikate tamaa

    inasikitisha sana, ina uma sana, na kwakweli inatia huruma na kukatisha tamaa mno, lakini daima usichoke wala kukata tamaa. kumbe ni hali halisi ya maisha na ukosefu wa ajira, ndio inawachochea na kuwavutia kujiingiza katika hali hizo za fedhaha na aibu kubwa kiasi hicho. pole sana rafiki...
  13. Nafasi ya kazi ya Mhariri wa Picha Mjongeo na Video za Michoro (Video Animator and Editor) JamiiForums June, 2024

    Position: Video Animator and Editor Organization: JamiiForums Location: Dar es Salaam About us Jamii Forums is a Tanzanian Non-Governmental Organization that advocates for and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. Jamii Forums...
  14. Mfumo wa ajira nchini umeshindikana, bila connection hutoboi!

    Mfumo wa Ajira Nchini kwetu umeshindikana kabisa hasa kwa tusio na Koneksheni kabisaa! Mfano: nimewahi kuitwa kwenye interview nyingi tu za serikalini ila zote zinafanywa kwa ushahidi tu ili wale wasahili walipwe kwa kupoteza muda wetu. Viongozi wanakazia eti vijana mjiajiri wanasahau kama...
  15. Ajira- mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki anahitajika klabu ya Simba

    Kazi kwenu
  16. Waziri Bashungwa: Vijana Acheni Maisha ya Gharama Kubwa Mkipata Fursa za Ajira

    VIJANA ACHENI MAISHA YA GHARAMA KUBWA MKIPATA FURSA ZA AJIRA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amewasihi vijana wenye taaluma za Kihandisi kujipanga, kuwa na subira pamoja na utayari wa kujitoa, sambamba na kuacha kuishi maisha ya gharama kubwa na yenye tamaa mara tu wapatapo...
  17. Msaada kwa mwenye uelewa wa PTSS 10.1 salary scale ni sh ngapi

    Kuna taasisi imetangaza nafasi ya ajira ssalary scale yao ni PTSS 10.1. sasa nataka kufahamu ni sh ngapi kabla sjaachia hii job niliyonayo isjekuwa hakuna utofauti na hapa nilipo msaada tafadhali
  18. Nafasi ya Kazi ya Msimamizi wa Maudhui (7) JamiiForums June, 2024

    Position: Content Manager/Moderator (7) Location: Dar es Salaam, Tanzania Organization: JamiiForums About Us: JamiiForums is a Non-Governmental Organization in Dar es Salaam, Tanzania, dedicated to promoting civil and digital rights, social justice, accountability, democracy, and good...
  19. SoC04 Kozi za Mtandaoni na vyeti vya mtandaoni vipewe kipaumbele kuendana na soko la ajira kwa Tanzania

    Maono ya Kibunifu kwa Kozi za Mtandaoni kwa Tanzania: Miaka 5 hadi 25 Ijayo Utangulizi Katika ulimwengu wa sasa unaoendeshwa na teknolojia, elimu ya mtandaoni imekuwa njia muhimu ya kuwapatia watu ujuzi na maarifa. Hata hivyo, Tanzania bado inakabiliwa na changamoto katika kutambua na kukubali...
  20. Tangazo la Ajira kampuni ya Hill

    Hello members, Habari hizi ni kwa mujibu wa Hill kuku, wametangaza nafasi za kazi. Madereza wa delivery wa pikipiki na madereva wa Hill defender. Kama unahitaji ajira hizi fika ofisini kwao Mapinga Bagamoyo au Ukuni Bagamoyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…