ajira

  1. Q

    Fatma Karume kufungua kesi dhidi ya Tume ya Uchaguzi kupinga ubaguzi kwenye Ajira ya Msimamizi wa Uchaguzi

    Fatma anahoji kwa nini Tume inawabagua wasio watumishi wa watu umma? anahoji pia, kwa nini wenye ajira wanaongezewa ajira na kuwaacha vijana wengi wasomi wasio na ajira mitaanani. Tume ya Uchaguzi imetangaza ajira za Msimamizi wa Uchaguzi sharti mojawapo lazima uwe mtumishi wa Umma. Hizi ndizo...
  2. PreGE2025 Sakata la ajira laibua mjadala wa Kitaifa, ACT Wazalendo wanazungumza muda huu

    https://www.youtube.com/live/-ws4Ojesg7U Vijana katika sekta isiyo rasmi wapo 80%. Kila uchao wanahamishwa na kukimbizwa. Hawana bima ya afya wala pensheni. Ndio maana nasema Vijana tuungane na tupaze sauti dhidi ya ukosefu wa ajira na hatma yetu." Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo...
  3. Kuna watu wanakuja JamiiForum kuchukua namba za watafuta ajira ili wawatapeli , so kuweni makini kuna hizi namba polisi zifatilieni wanatapeli vijana.

    +255613784064 +255610186092 Naomba Jeshi la polisi mzifatilie hizo namba wanadai wapo mbeya . Wakiona MTU anatafuta ajira wanachukua namba wanampigia na kumwambia wana Kazi /ajira Ila wanamwambia achangie hela ya Vitu vifutavyo -Form elfu 40K -Chumba elfu 20K Ukiangalia watu Kama hawa...
  4. R

    Wahitimu wengi wasio na ajira hawapo serious kwenye shughuli zao, akili huwaza ajira, wakifika 30s hakuna walichofanya, maisha huwacharaza kikatili

    Vijana wengi humaliza vyuo wakiwa 20s mbichi lakini wanapoteza muda mwingi sana kuwaza ajira badala ya kutia mkazo kwenye shughuli zao, matokeo yake mtu anafika 30s hana ajira wala maendeleo na umri umeshaenda hana tena vigezo vya kuendelea kuomba ajira, its too late and its the beginning of the...
  5. R

    Ku fail kwa application ajira portal

    Habari za wakati huu… Napenda kuuliza mimi nimesoma BA.Social work ajira portal wametangaza kazi za Community development kwenye qualification wamesema wenyee io au equivalent na kazi ipo kwenye kipengele chetu najaribu kuapply inasema failed, Ni social work haiusiani na community development...
  6. Kwanini ajira za maofisa katika balozi zetu Huwa haziwekwi wazi?

    Kuna jambo linawakera Watanzania wengi kuhusu ajira katika balozi zetu nje ya nchi: kwa nini nafasi hizi haziwekwi wazi kwa umma? Serikali yetu ina balozi na ofisi mbalimbali za kidiplomasia kote duniani, lakini ajira za maofisa wanaopelekwa huko ni kama siri nzito. 1️⃣ Ukosefu wa Uwazi –...
  7. Kwa niliyoyashuhudia jana kwenye usaili wa tra,nashauri bora hizi ajira ziwe zinasimamiwa na PSRS tu.

    Habari za asubuhi wakuu. Jana nilikua miongoni mwa watanzania tuliobahatika kuhudhuria usahili wa mamlaka ya mapato Tanzania,kituo changu cha usahili kilikua kule sabasaba.nilifanya nafasi za Tax management officer ii na Customs officer ii. Kuna dosari nyingi sana niliziona nikahisi ni either...
  8. Usaili wa TRA Ulikuwa wa Haki

    Kwa maoni yangu, usaili ulikuwa wa haki, pepa ilikuwa fair, haikuwa ngumu wala haikuwa rahisi. Halafu ndo nini sasa kutuhesabisha vidole namna ile, wanatoa calculation halafu marufuku kutumia Calculator…..!!! Toa maoni yako, pepa ilikuwaje kwako… Nimeiweka Screenshot ya Calculation question kwa...
  9. Simbachawene: Wanaofanikiwa kupita katika usaili wa ajira wachukue barua mikoa waliofanyia usaili na si Dodoma

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amemuelekeza Katibu Mkuu, UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi kuhakikisha barua za walioshinda usaili na kupangiwa vituo vya kazi zinatolewa kwenye mikoa husika walikofanyia usaili badala ya kuwalazimu...
  10. Iiteni serikali isome Madhara ya kuwa na wasomi wengi wasio na ajira

    Leo mimi kama.mmoja wa wakosa ajira Nimeamua kuja na andiko viongozi sikilizeni hili Namba hazidanganyi Madhara ya Kuwa na Wasomi Wengi Mtaani ambao Hawana Ajira Kuwa na wasomi wengi bila ajira mtaani kunaletia changamoto nyingi za kiuchumi, kijamii, na kisiasa. Haya ni baadhi ya madhara...
  11. N

    Mfumo wa ajira za polisi mwaka huu una shida gan?

    Shalom Nafas za ajira zimetoka mfumo waliouweka ni kama pata potea namba yangu mwenyewe ya form four necta inagomewa. Hapo nimetoka kuhangaika nao sana kufungua akaunt mana password nimeiweka mm mwenyewe mchana kweupe na akili zangu zote kichwani na iligoma. Mpaka muda huu niko kwa mganga simu...
  12. Naombeni kazi. Napitia wakati mgumu sana

    Umri Wangu miaka 27 elimu yangu degree najiskia vibaya aibu sana ninapovitaja hivi vitu viwili. Sio kama mm ni mvivu wa kufikiria hapana nimekua nikijaribu kufanya kila niwezalo kuweka maisha yangu kwenye mstari na Kuna kipindi nilikua vzr tu lakn Kwa siku za hivi karibuni nimeyumba sana...
  13. Vijana msio na ajira au vyeo igeni Mohamed Mchengerwa kwa kuoa watoto wa vigogo

    Bila kuwa mkewe wa mama, nani angemjua Mohamed Mchengerwa? Angeupata wapi uwaziri? Angetoa wapi jeuri ya kuwafokea akina Albert Chalamila wakaufyata kama watoto wadogo pamoja na kusifika kwao kwa kupayuka? Ukwe wa wanene unalipa wanangu. Kwa wale mabarubaru ambao hawana kazi, oeni watoto wa...
  14. D

    Changamoto Maombi ya ajira za polisi njoo hapa

    Habari Kwa wanaopata changamoto Maombi ya ajira za polisi njoo tukusaidie kukamilisha maombi Yako 0779448549
  15. Biashara ni alternative ya wakosa ajira

    Kijana ukikosa ajira acha kulia lia tafuta biashara uwe unafanya. Biashara ina hela sana
  16. G

    Sera Za Rais Samia zilivoua ajira kwa wazawa , uchumi unakufa , wachina watamalaki

    Economic chain kaiua makusudi kabisa. Mchina ni machinga kariakoo na mbaya zaidi wenye viwanda china wanazalisha na kuleta direct wao wenyewe, kikubwa Wana kampuni zao za clearing and forwarding , Wana meli zao za kusafirisha mizigo hapo Samia kafeli. Nenda migodini chungwa, same , Singida ...
  17. R

    Tanzania siyo nchi ya viwanda, kila uchao serikali inanyanganya mashamba na kuyakata viwanja, kesho watu watalima wapi? ajira zao zitatoka wapi?

    Kuna hii trend inaota mizizi. Uhuni wa idara za ardhi kutangaza maeneo ya mashamba ya watu kama planned areas in the preparation for future dhuluma, na hivyo in the long run kuyakaya viwanja. Sisi ni nchi ambayo watu wengi by 80% and above wanategemea kilimo. Hakua ajira za viwandani and the...
  18. R

    Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  19. Inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usaili kwenye hizi ajira za TRA?

    Mko salama wakuu? Nilikua nauliza, inawezekana kubadili kituo cha kufanyia usahili kwa hizi ajira za tra? Mfano nimepangiwa dar ila kwa sasa niko Mwanza.je inawezekana nikafanyia kituo kilichopo mwanza? Ni hatua gani za kufuata? Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…