ajira

  1. Marobot yanavyo zidi kuziba ajira na AI

    Tunapoelekea hata lucas wa JF unaweza kupoteza kazi yako ya kusifia CCM. China wametengeneza marobot kama mbwa mfano wa lucas,mwijaku na baba levo kulinda matajiri. Mpaka sasa dubai airport zina mbwa marobot ambao wanaweza kujua wewe umeleft group. China kwa sasa ndio kinala wa marobot wakila...
  2. TAARIFA MUHIMU: My Big Day Is Finally Here, I'll Tell you a *SECRET*, You’re All Invited

    Hello everyone 👋 Sorry for the late info… But after deep thinking and unstoppable pressure from society — finally, my big day is here. We’ve come a long way together in this forum, so I had to include you. This Saturday, 19/04/2025, you’re all invited to witness me… walking into the forest to...
  3. Ni ipi hatma ya ongezeko kuu la vijana wadhaifu amid kuporomoka kwa kasi soko la ajira na kupungua kwa rasilimali?

    UZAMIAJI UTAPELI UKAHABA USHOGA UHARIFU URAIBU Kuanzia 2010 hadi 2020, idadi ya vijana iliongezeka kwa karibu 40%, kutoka takriban milioni 10.2 hadi zaidi ya milioni 14. Sasa by 2025 labda imeongezeka tena by 25%. Na katika ongezeko hili la vijana hawa utapata mixer mbali mbali za tabia na...
  4. Hivi inakuwaje nchi kama USA na baadhi ya nchi za ulaya hakuna Tatizo la ajira kama nchi zingine?

    Hili swala linaniwazisha sana. Inakuwaje haya mataifa ya wenzetu kupata kazi ya kufanya yoyote sio big issue sana. Ilhali nchi zingine kama kenya ,rwanda ,zimbabwe na nchi zingine za huko asia kupata kazi kwa ajili to make both end meets inakuwa ni ngumu na kuipata lazima u struggle...
  5. Ni nini kilikufanya uache ajira yako kwenye sekta binafsi uiingie Kwenye utumishi wa Umma ? Ni marurupu au Mikopo ?

    Habarini za Muda huu ndugu na Jamaa wa Jamvi letu pendwa la HHM. Baada ya salam ambayo utamaduni wetu watanzania kabla ya kuwasilisha Jambo kwa hadhira. Nimekuja na hiyo ajenda kufuatia msururu wa mawazo kichwani kwangu yakiigia na kutoka, mengine nikiyapatia majibu mengine siati majibu yake...
  6. Hivi Kuna Biomedical engineer aliyepo mtaani Hana ajira?

    Je hii kozi huwa unakosa ajira kweli maana it seems they are demanded.
  7. Mbunge Deodatus Mwanyika: Serikali Iwalinde Wananchi Dhidi ya Wawekezaji Kwenye Ajira

    MBUNGE DEODATUS MWANYIKA: SERIKALI IWALINDE WANANCHI DHIDI YA WAWEKEZAJI KWENYE AJIRA "Watu wa Jimbo la Njombe Mjini ni mashuhuda wa mafanikio makubwa ya kuwasogezea wananchi huduma mbalimbali ya kuboresha miundombinu, Madarasa, Usafiri wa Reli, Usafiri wa Anga. Tunamshukuru sana Mhe Rais Samia...
  8. T

    PSRS mtaua vijana mtaani, toeni ajira

    Yaani kuna Uzi nimepitia humu Jobless wapo tayari kutoa 20% ya mshahara wake kwa miaka 2 ili tu apate kazi, daah jamani mtatua jobless tupeni kazi jamani daah Utumishi mtaua vijana mtaaani. Mitaji ya Biashara hatuna umri unaenda dira hakuna
  9. H

    Nimeitwa kwenye usaili wa afisa tehama (Network administrator) -utumishi

    .
  10. E

    Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand

    Fursa: Nafasi 700 za Kazi za Kuangalia Wazee New Zealand (Kupitia Danvast Career Search) Habari wanajamii, Nimekutana na tangazo la kazi ambalo naona linaweza kuwasaidia baadhi yetu humu. Kuna nafasi 700 za kazi za kuangalia wazee (Caregiver Jobs) katika nyumba za kulelea wazee New Zealand...
  11. Walimu wasio na ajira wasakwa kama ndege na Jeshi la Polisi!

    Mpendwa Baba Askofu Mwamakula! Tunaomba msaada wa kumsaidia mwalimu Mohonia Joseph aliyekamatwa jana. Huyo ni mwalimu mwenzetu tusiokuwa na ajira ambao tulianzisha vuguvugu la kudai haki ya ajira. Alikamatwa jana majira ya saa 6 mchana na kushikiliwa katika Kituo cha Polisi Nyamagana, Mwanza na...
  12. PreGE2025 Mbunge Boniphace Getere: Tunachotaka ni kuona PM Majaliwa anarudi bungeni kuhusu vyeo anajua Mungu

    Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema; "Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu tuliyenaye sasa hivi, ni mstaarabu mno, ni mchapakazi na mstaarabu, kila mtu anamsikiliza." "Sasa mimi...
  13. R

    Kozi gani za VETA zina uhakika wa ajira au kujiajiri kwa urahisi? Wenye uzoefu tuambieni!

    Habari wakuu, Nimekuwa nikitafakari juu ya nafasi zinazotolewa na VETA (na vyuo vingine vya ufundi) katika kusaidia vijana na watu wazima kupata ujuzi wa kuwasaidia kuingia kwenye soko la ajira au hata kujiajiri. Kwenye dunia ya leo, si lazima kila mtu apitie elimu ya chuo kikuu—wapo...
  14. Waziri Mkuu Majaliwa: Zaidi ya ajira milioni 8 zimezalishwa kupitia sekta ya umma na sekta binafsi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitoa hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri mkuu na Bunge 2025/2026 "Serikali imeendelea kubuni na kutekeleza mikakati mbalimbali ya kuzalisha fursa za ajira nchini kupitia uwekezaji na utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati ikiwemo ujenzi wa bomba la mafuta...
  15. Wanahitajika watu wa fani mbalimbali kwaajili ya Microfinance Mbeya Mjini

    Habari! kama una ndugu au ni wewe mwenyewe na unashahada ya masuala ya fedha..Uhasibu au uchumi unaweza apply kwenye KAZI zifuatazo. 1) managing director - awe na masters ya Finance au masuala ya fedha na uchumi na uzoefu WA kutosha. 2) credit au loan officers - nafasi tano. 3) Teller -...
  16. M

    G55 wakamatwe kama Waalim wasio na Ajira walivyokamatwa

    Tanzania tunaamini kuna taasisi mbalimbali zinazosajiri Taasisi kulingana na malengo. Mfano Brella inasajiir makampuni. Wizara ya Mambo ya Ndani inasajiri Taasisi mbalimbali zikiwepo za dini, na kupewa uhuru wa kutumia jina la Tadisi husika katika shughuli zao za kila siku. Hivi karibuni...
  17. Walio maliza chuo hawana ajira , walipwe posho na serikali ya 50,000. Kila mwezi

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada kutokana na wimbi la vijana wasio. Na ajira kua kubwa, ili kujikimu na changamoto za kimaisha yao kila siku nashauri walipwe posho iwe kama kifuta jasho uku wakingojea kuajiriwa. Naomba kuwasilisha.
  18. PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Hata Marekani haijamaliza tatizo la ajira, tutalifanyia kazi ili baada ya miaka mitano tuseme tumelipunguza

    Katibu Mkuu wa CCM, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kitaweka mikakati mizuri ya kuhakikisha vijana wanapata ajira. Kauli hiyo ameitoa Aprili 5, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Mbambabay, wilayani Nyasa, alipokuwa ziarani mkoani...
  19. AI(Akili bandia) kwa sasa itakuja kuchukua huduma ya huduma kwa wateja na kuondoa ajira

    Mnaofanya kazi kitengo cha huduma za wateja mtafute kazi nyengine sasa. AI wanakuja na mpango wa kutengeneza huduma kwa wateja ambao watatuliwa matatizo ambayo kama kwa njia software itakuwa haraka na kama litakuwa linaitajika kwa binadamu basi watakuwa wanakumbushwa. Teknolojia hii Ai huduma...
  20. T

    Serikali badilisheni matumizi ya misitu ya makongo na changanyikeni ziwe public parks. Tunakosa activities hapa Dar

    Habari wakuu Kwako mama Samia Suluhu na waziri wa ardhi wa JMT Dar es salaam imekuwa ni kijiji ambacho kimezungukwa na Bar kila kona, Kelele na kumbi za sherehe huku beach zetu nazo ni chafu sana Sisi tusiopenda vitu vya namna hiyo, tunakosa mahali pa kwenda kupumzika na kupeleka watoto. Si...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…