ajira

  1. Wana-JA niokoeni nitoke mnipe connection.

    Kwa heshima na taadhima kwenu Wana-JA Mungu ashukuriwe na mtaji wa pumzi ninapumua na afya njema ila swala la kiajira nimekwama nishapita kwenye jukwaa la ajira ila nimeona nije na hapa maana jukwaa hili lina nguvu sana kama mdogo wenu, kijana mwenzenu na kijana wenu nipo hapa kama tittle...
  2. Natafuta kazi ama connection ya ajira nina kauzoefu na uwezo pia

    Habari za wakati huu Wana-JA. Natafuta ajira kwa vyeti nina bachelor of arts in development studies (Taaluma ya maendeleo) ila kwa uzoefu nilipopitia ni kama yafuatayo: 1.Assistant Community Development officer (CDO) 2.Administration Officer 3.Assistant HR 4.Store keeper (Whare house)...
  3. Ombi la kuomba kazi ajira au kibarua

    NAOMBA NAFASI YA KAZI Habari, wakuu Mimi ni kijana mchapakazi, mwaminifu na mwenye nidhamu ya kazi. Ingawa sina elimu ya vyeti, nina uwezo mzuri wa kujifunza kwa haraka na kufanya kazi kwa bidii. Natafuta kazi ya aina yoyote halali kama: Usafi wa ofisi Kazi za ndani Kusaidia mafundi...
  4. D

    Ajira Portal-Foreign Service Officers 2

    Habari wakuu...jana usiku ajira portal walipost kazi za foreign service officer lakini leo asubuhi wakazitoa ghafla kulikoni?
  5. “Je, AI ni tishio au fursa kwa ajira za vijana barani Afrika?”

    "AI (Artificial Intelligence) inachukua nafasi kubwa duniani – kutoka kwenye kazi za uandishi hadi huduma kwa wateja. Lakini je, kwa Afrika na hasa kwa vijana wetu, hii ni FURSA au TISHIO kwa AJIRA?" Kuna wanaosema AI inasaidia kurahisisha kazi, kuongeza tija na kuleta fursa mpya… Lakini wapo...
  6. Bunge lapitisha bajeti ya TSh. Trilioni 3.64 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, ongezeko la asilimia 9.61 ukilinganisha na mwaka 2024/25

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025 https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
  7. B

    Kwanini CCM inatumia pesa nyingi sana kwenye chaguzi wakati wananchi wake ni maskini sana, dawa hospitalini hakuna, madawati hakuna na ajira hazipo?

    Niende moja kwa moja kwenye mada Fedha za CCM zinatumika zaidi na zaidi kwenye uchaguzi mkuu 1. Ina lipa zaidi ya TSH 5B kununua wapinzani(Kuna tetesi kuwa G55 wamepewa fedha za kutosha ) 2. Ina lipa zaidi ya tsh 1B kulipa wasanii(Kwenye kampeni zao zote hata sizizo na ushawishi na ulazima...
  8. Ajira za watu wa information technology (IT)

    Habari za muda huu watu wa JF. Samahani kwa kuwachosha pia poleni na majukumu ya kazi za hapa na pale Nauliza kuhusu nafasi za kazi kwa mtu aliyesoma diploma ya information technology au degree maana nimepitia nyuzi nyingi sana humu sijaona wakiongelewa huenda wengi wamejiajiri tofauti na...
  9. Ukipunguza Matamanio Biashara ni Chaguo Sahihi Kuliko Ajira Kwa karne hii.

    GT Huu uzi uwafikie graduates na hustlers Kuna msemo usemao huwezi kutajirika kwa hela ya mshahara huu ni ukweli kabisa kufanya kazi kwa mtu kunanyima uhuru utakuwa mtumwa milele mishahara ya Tanzania ni midogo sana ukilinganisha na gharama za maisha. Wawekezaji wa Tanzania 80% ni wahindi...
  10. Unaweza kupata kazi na ajira za Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr.

    Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Unaweza kupata wateja wa Freelancing Bila Kutegemea Upwork au Fiverr. Jinsi Nilivyopata Wateja 100 wa kwanza Nimekuwa freelancer kwa miaka 5, Nimefanya kazi na wateja zaidi ya 100 Global. Wengi wao sikuwapata Fiverr wala...
  11. Oral Interview ya TRA 2025 nikajikuta kila kitu nimesahau

    Nimejipanga vizuri, nimesoma kila sehemu. Lakini ile kuingia tu kwenye chumba cha wadosi nikawekwa mtu kati, watu wananikodolea macho, mungu wangu…… Nikajikuta kila kitu nimesahau. Maswali yalikuwa rahisi sana, nilipotoka tu kwenye kile chumba cha Oral na kufika nyumbani, majibu yakaanza...
  12. Kuna siku wapinga teknolojia watakuja wengi hapa JF kulalamika ajira

    2025 kama naona ndio ajira zinaelekea mwishoni nchi nyingi sana na afrika. Sasa hakuna ulazima wa kuendesha magari wakati magari yana jiendesha. Uwezi kuajiri wafanyakazi wengi wakati kuna mashine zinazoweza kufanya kazi zaidi ya wafanyakazi. Jeshini na polisi nako naona marobot yanaanza...
  13. Ajira Portal - 2 Research, Science & Biotech Vacancies Available

    Ajira Portal - 2 Research, Science & Biotech Vacancies Available New opportunities are now open for professionals in the fields of science and education through Tanzania’s vocational training institutions. The Livestock Training Agency (LITA) is hiring for the position of Tutor II –...
  14. Ajira Portal – 5 Farming and Livestock Vacancies Available.

    Ajira Portal – 5 Farming and Livestock Vacancies Available. Several new academic and technical vacancies have been announced in Tanzania’s livestock and fisheries training institutions, presenting excellent opportunities for educators and technical specialists. Livestock Training Agency...
  15. Ajira Portal – Engineering and Construction Vacancies

    New job vacancies have been announced in Tanzania's maritime and technical education sectors, offering exciting opportunities for qualified professionals. The Tanzania Fisheries Corporation (TAFICO) is seeking candidates for two key engineering positions: Engineer II - Marine and Engineer II -...
  16. Ajira Portal & Other Jobs Board Assessment.

    Job Vacancies Assessment – Top 5 Regions with Most Frequently Posted Jobs Nikiwa kama Jobs Board Webmaster (Namanage Job sites zaidi ya 3 za ajira, Ajira Portal, Kazi Portal, na Ajira Point), I have observed patterns and frequency of job vacancies kulingana na mikoa. He is what I found out ...
  17. Kuitwa Kwenye USAILI Utumishi Ajira Portal, PSRS May 2025

    Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) on behalf of various government institutions would like to inform all job applicants who applied for a job that the interview is expected to be conducted as indicated in the PDF attached and finally assign job centers to the applicants jobs that...
  18. New 20+ Job Vacancies From Ajira Portal May 2025

    Are you ready to make a meaningful impact in Tanzania’s education, fisheries, livestock, and municipal sectors? The Dar es Salaam University College of Education (DUCE), Handeni Town Council, Fisheries Education and Training Agency (FETA), Tanzania Fisheries Corporation (TAFICO), and Livestock...
  19. Fursa za ajira Medium Gold Mining Company

    On behalf of a Medium Gold Mining Company in Geita region, we have the following openings: 1. Accountant (1) Must be a graduate in Finance with at least 7 years experience. CPA is an added advantage 2. Fitter Mechanics (2) Must have trades certificate with experiences in a gold plant 3...
  20. P

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…