ajira

  1. Kuweni Makini Kuna Matapeli wa Ajira, Soma kisa hiki cha Kweli

    Kisa cha kweli Mwajili Tapel kuweni Makini sana. Katika Ulimwengu wa sasa ambao ajira zimekuwa adimu kuna matapeli wengi wanaoliza watu tuwe makini, Hiki ni Kisa cha kweli kabisa kanisimulia rafiki yangu kiilimpata last week. Iko hivi huyu jamaa alipigiwa simu na baba yake mdogo Kwamba kuna...
  2. Nisipopata ajira

    Plani zangu izo apo,Vipi kuhusu nyie wakuu
  3. Ajira zipo, Mrejesho wa jinsi nilivyopata ajira kupitia jukwaa hili

    Habari za muda huu wakuu, Nipo mbele yenu kutoa ushuhuda wa jinsi jukwaa hili lilivyoleta mwanga kwenye maisha yangu. Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyezi mungu kwa hapa nilipo naamini kusudi lake na matakwa yake yamenifanya nifike hapa leo hii. Mimi ni kijana nilimaliza degree yangu ya...
  4. TUNATAFUTA: Videographer / Content Creator

    TUNATAFUTA: Videographer / Content Creator Location: Mwenge,Dar es salaam Aina ya Kazi: Part-time (Kuwa Flexible ila deliver Kazi) Tunatafuta mtu mwenye uwezo wa kupiga, ku-edit, na kutengeneza video za kwa ajili ya Instagram & TikTok. Lazima uwe mbunifu, uelewe vibe ya content ya sasa, na uwe...
  5. W

    Watanzania tuna uteja wa ajira za serikalini, Mtu yupo tayari kuacha milioni 10 private kwa mshahara wa milioni 1 serikalini

    Ni kutojiamini, wanataka sehemu yenye blanketi zito hata kama maslahi ni madogo Halafu wengi huwa wanazuzuka na zile story za kupiga dili lakini wakifika huko wanakutana na mambo tofauti kabisa, deals zinapigwa kwe circle za watu wachache sana.
  6. JamiiForums Tusaidiane: Kijana wa Geology hana Ajira Tangu Amalize Chuo, Maisha Yamempiga Mbaya

    Habari za wakati huu wapendwa wadau wa JamiiForums, Naamini wote ni wazima na mnaendelea vyema katika majukumu yenu ya kila siku. Nawasalimu kwa heshima kubwa na moyo wa unyenyekevu kabisa nikiwa na matumaini kwamba huu ujumbe wangu utawagusa na kuwahamasisha kwa namna yoyote ile. Leo nimeamua...
  7. Kati ya Millioni 10 na Ajira ya Serikali ya Millioni 1 kwa Mwezi, Ungechagua Kipi?

    Jana nilikutana na rafiki yangu wa karibu sana wakati tunabadilishana mawazo kuhusu maisha akanishirikisha jambo ambalo limenifanya nifikirie sana. Rafiki yangu ana dada yake ambaye ni mkurugenzi katika shirika moja kubwa la serikali hapa nchini. Amempa ofa achague kati ya kupewa milioni 10...
  8. KERO Changamoto za mfumo wa Ajira Portal zinachochea Matapeli kuigeuza fursa!

    Ndugu wana jukwaa napenda kueleza kwa ufupi sana kusikitishwa kwangu na mfumo mbovu wa secretariat ya ajira yaani Ajira Portal. Ajira Portal wameweka utaratibu kwamba ili u qualify kuomba kazi ni lazima walau profile yako ya Ajira Portal, wenyewe wanaita dashboard ifikishe walau 70% na ili...
  9. Kwa nini ajira za TRA zinakiuka kanuni za utumishi? Je, wako juu ya sheria?

    Amani iwe nanyi! Ajira zote za serikali husimamiwa na Sekretarieti ya Ajira, ambapo baada ya mchakato kukamilika, majina ya waliopangiwa vituo hutolewa katika tovuti ili kila mmoja kuona. Hii imekuwa tofauti kwa TRA, ambao walianza vizuri kwa kutoa majina ya walioitwa kwenye usaili. Cha ajabu...
  10. Nafasi za ajira kwa Wataalam wa Afya katika Eli Hospital Arusha

  11. Kwanini vijana wa SUA hawana ajira?

    Hello JF... Leo nauliza kwa nini wanafunzi wa SUA hawana ajira.??? Wenzetu mtu mwenye degree ni mtu mwenye uhakika na ajira... Kwa nini serikali isijenge vyuo vingi vya Kilimo watu wasome... Watu kuanzia waliomaliza darasa la saba mpakla form six waliofeli waingie kwenye hivyo vyuo wasome...
  12. PreGE2025 Heche: Rais anasema sio wajibu wa serikali kutengeneza ajira, msoma ilani anasema watatengeneza ajira milioni 8

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche ameeleza kuwa nchi ya Tanzania inayo fursa ya kutengeneza ajira za kutosha kwa Watanzania iwapo tu kutakuwa na mifumo madhubuti ya kiutawala na kiutendaji ambayo amedai kuwa kwa sasa haipo. Heche ameyasema hayo...
  13. D

    Mfumo wa ajira portal una shida

    Network ziko down...tatzo nn?
  14. R

    Vijana wasiokua na ajira, wakawagwajimanize hao wanasiasa wanaoona kama wao ndio wana hatimiliki ya kuiongoza nchi

    Habari za muda huu wanajamvi. Kumekua na tatizo kubwa la ukosefu wa ajira nchini na wanasiasa hawaonekani kuguswa na hii kadhia Zaidi wanawaambia vijana wajiajiri lakini wao wanaomba ajira kwa hao wanaowaambia wajitafutie ajira Huduma za afya ni mbovu. Miundombinu hairidhishi na mambo mengine...
  15. Tangazo la ajira mbalimbali. Fungua Document hapo chini

    👇🏻👇🏻👇🏻 open document hapo chini upate maelekezo.
  16. Samia anasema Ajira si jukumu la Serikali. So msitegemee kitu

  17. W

    Kozi ya Uhasibu inaenda kuwa na tatizo kubwa sana kwenye ajira, kuna utitiri wa vyuo vingi sana mikoa mingi

    Tunakoelekea kazi za uhasibu wataanza kukaza kwenye gpa kupunguza utitiri wa waombaji, pia nafasi zitakuwa ni kwajili ya watu waliosoma uhasibu tu, wale waliosoma procuremnt, business administration,economics wataanza kuwekwa pembeni. Hivi ni baadhi tu ya vyuo TIA - DSM, Tanga, Mwanza, Mbeya...
  18. Ongezeko la ajira 300 za TRA wasailiwa hawajatendewa haki

    Wakuu Habari. Usiku wa leo TRA imetangaza siku ya matokeo ya oral lakini pia ndani ya taarifa hiyo wamesema kulikua kuna ongezeko la ajira 300 ambazo hazikuepo hapo awali katika usaili wa kuandika. Kuna watu wengi wamekosa nafasi ya kwenda oral interview kwa sababu ya ratio na sio kwa sababu...
  19. Ajira post

    Kama kuna mtu anaitaji kijana wa kumenya chips na kuuza au biasha kuumuuzia nipo dar ..swala la uaminifu mpaka kwa mjumbe
  20. B

    Dereva Uber na Bolt

    Dereva Uber/Bolt Habari! Mimi ni Dereva mzoefu na nimeendesha Gari kwa miaka mitatu Sasa Bila kupata Ajali, Natafuta Gari ya mkataba Au Hesabu kwaajili ya kutumia kama Uber na Bolt. Pia nipo Tayari kuwa Dereva wa Mtu au Kampuni. Namba zangu Hizi: 0614424736
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…