ajira

  1. S

    Pharmaceutical technicians wanazidi kupoteza soko la ajira kila kukicha

    Siku hizi ajira nyingi za maduka ya madawa haswa dldm wanahitaji either nurse au clinical officer kwa kigezo cha kuuza dawa na kuchoma sindano wakipata mgonjwa wa namna hiyo. Pharmaceutical technicians huwa wanatoswa kwenye hizi ajira jambo ambalo linawauma sana.
  2. Napendekeza kuwe na mikopo ya milion 2.5 kwa vijana ambao wanamaliza vyuo kama mtaji

    Katika kupunguza changamoto ya malalamiko ya Ajira kwa wimbi kubwa la ukosefu wa ajira Kwa vijana wanaomaliza vyuo vya kati na vikuu, utoaji wa mikopo hii itasaidia kupunguza malalamiko na kuchochea kasi ya uchumi wa nchi Swali hizo hela zitatoka wapi? Jibu ni hili 1. Kupunguza...
  3. Ubunge sio ajira? Mbona wenye ajira ndio wanao kuomba wasio na ajira hawaombi

    Vijana wasio na ajira mbona hawajitokezi kuomba ujira UO? Mbona wenye ajira ndio wanao omba ubunge? Kasoro king msukuma ndo Hana ajira maana Hana elimu
  4. Misukosuko tunayopitia wakati wa kutafuta ajira

    Utangulizi Katika nchi ya Tanzania, ndoto za vijana hujengwa vyuoni na kubomolewa polepole wanapokutana na changamoto halisi za kutafuta ajira. Wengine wanatoka vijijini wakiwa wamebebewa matumaini na familia, wengine wamelelewa mjini lakini wote wanakutana chuoni wakiwa na hamasa na kiu ya...
  5. KERO Mfumo wa Ajira unawakataa waliosoma kozi ya Development Finance & Investment Planning

    Mimi ni mhitimu wa Bachelor Degree in Development Finance and Investment Planning, ambayo imekuwa ikitajwa mara kadhaa kama miongoni mwa sifa zinazohitajika kwenye matangazo mbalimbali ya kazi serikalini kupitia portal ya ajira. Hata hivyo, kila ninapojaribu kutuma maombi ya kazi ambazo...
  6. A

    DOKEZO Kuhusu kudhulumiwa pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya Muleba ajira mpya (afya) 2024

    Habari!. Fikisha kwa jamii. Halmashauri ya wilaya ya Muleba imeamua kututapeli pesa zetu za kujikimu,tukiuliza tunapewa majibu ya kutoridhisha. Kwa Mujibu wa maelekezo ya Tamisemi ya Muongozo wa ulipaji wa ajira mpya mwaka 2024 ilibidi uwe hivi:- Degree 170k *7 Diploma 150k*7 Certificate 100k*7...
  7. Mbunge Ahoji kuhusu wahitimu kufanya mitihani kupata ajira

    Mbunge wa Viti Maalum, Cecilia Paresso amehoji utaratibu mpya wa serikali unaowataka wahitimu wa vyuo kufanya mitihani mbalimbali ili kuajiriwa, akitaka kujua kama hatua hiyo inaashiria kwamba serikali haina imani na elimu inayotolewa vyuoni.
  8. P

    Nafasi za Kazi Kampuni ya Ulinzi ya Synergy Security Ltd

    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA ULINZI. Kampuni ya ulinzi ya SYNERGY SECURITY Ltd Inatangaza nafasi za kazi za ulinzi kwa vijana wakike na wakiume, kwa sehem zifuatazo; Dodoma, Dar es salaam,Masasi, Arusha, Na Zanzibar; wenye sifa zifuatazo; 01. Awe mtanzania mwenye umri wa kuanzia miaka 18 na...
  9. W

    Ni kwa nini degrees na diploma za IT zinazidi kukosa soko kwenye ajira zisizo na connection, kipaumbele ni computer science na computer engineering ?

    IT iliwahi kuwa kozi yenye dili sana lakini sikuhizi imekuwa haipewi kipaumbele, ajira nyingi wana prefer kushortlist computer rngineering na computer science
  10. F

    Hakika sekretariat ya Ajira inajitahidi katika majukumu yake

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw.Juma Mkomi ameipongeza Sekretarieti ya Ajira kwa kuendesha mchakato wa ajira kwa ufanisi. Bw.Mkomi ametoa pongezi hizo jijini Dodoma katika kikao kazi kilichowakutanisha Sekretarieti ya Ajira pamoja na wadau...
  11. L

    Vijana wa Kenya wakumbatia ujuzi wa kidijitali huku kukiwa na ongezeko la ajira za kujitegemea

    Akiwa ameketi kwenye kiti cha plastiki kwenye kituo cha teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) katika mji wa Ndhiwa, takriban kilomita 366 kutoka Nairobi, mji mkuu wa Kenya, vidole vya Jackline Juma vinacheza kwa kasi wakati anapobonyeza kibodi ya kompyuta. Kijana huyo mwenye umri wa...
  12. Moja ya Mazuri ya Samia ni kufungua nchi kwenye Ajira. Kilichomtoa Mchezoni ni Mambo ya Utekaji na Mauaji ambayo serikali yake imeshindwa kutoa jawabu

    Mpo Salama! Hata wanaomchukia wanakiri kuwa Rais Samia alipoingia aliwatia katika wakati Mgumu. Kwanza, aliamua kufuata Haki ya watu kuwa Huru Kujieleza. Hiyo nilimpa Big tick! Katika haki hiyo wapo waliomzodoa na kumkabia kooni kwa namna Mbalimbali. Wengine wakimvunjia heshima Kama Rais wa...
  13. N

    Changamoto ya kubadili password ajira portal

    Nimekumbana na changamoto ya kubadili password yangu kwenye account yangu ya Ajira portal ambapo kila nikitaka kubadili kupitia ile njia ya forgot password inaniambia niingize email kisha na tarakimu za siri ila niki submit inaniandikia unable to change password nimejaribu kuwapigia wahusika...
  14. Tanzania na changamoto ya Ajira

    “Changamoto ya ajira nchini Tanzania haiko kwenye ukosefu wa kazi, bali kwenye mfumo wa unyonyaji unaoendelea, hususan katika sekta binafsi. Watu wanatumia muda wao mwingi, maarifa yao ya hali ya juu, na nguvu zao kuzalisha thamani kubwa kwa waajiri, lakini malipo wanayopata ni duni...
  15. K

    Hivi haya mashirika ya umma wao ajira zao huwa wanazitangazia wapi?

    Mko salama? Kwa kweli sielewi haya mashirika yenyewe huwa yanatangazia ajira zao wapi,mpaka nikahisi labda huko kwenye hayo mashirika watu huwa hawafi wala hawastaafu. Mashirika yenyewe ni haya. 1.Pssf 2.Nssf 3. Msd 4.wcf 5.Tanesco 6.Ewura 7.Latra 8.Tcaa 9.Tcra 10.heslb 11.CAG
  16. Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi

    Ajira humfanya Mtu awajibike na kushiriki katika nyanja za Kijamii na Kiuchumi Ajira kwa Vijana Ajira ni nyenzo muhimu kwa maendeleo ya Mtu Binafsi, Jamii na Taifa kwa ujumla. Ajira humfanya mtu awe na ari ya kutosha, kuwajibika na kushiriki kikamilifu katika nyanja zote za Kijamii na Kiuchumi...
  17. Baada ya kuhitimu masomo ilikuchukua muda gani hadi kupata ajira yako ya kwanza?

    Achana na swala kutafuta ajira, unaweza kutembea na bahasha hadi ukahisi una mkosi au umelogwa ili usifanikiwe, Kuna wengine wana bahati, Baada ya kuhitimu wanapata ajira on spot, but wale wenzangu na mimi tuliosota miaka kadhaa kutafuta ajira nawapa pole sana. Ukipita kwenye makampuni unakuta...
  18. A

    KERO Wanachuo kutoka NCT Kutopata Ajira serikalini kupitia Ajira Portal

    Katika jambo la kushangaza vijana wengi waliohitimu chuo Cha taifa Cha utalii wamekua na kilio kisichoisha kwani kila Ajira zinapotangazwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wao kupata kazi imekua ngumu.. kwani mfumo wa Ajira (Ajira portal) unawakataa na hii imekuwa kilio Cha wazazi walio wengi...
  19. Ukitaka uchumi wako ukue kwa kasi hapa Tanzania jifunze kusifu na kuabudu

    Wewe jitoe ufahamu na kuimba sifa utaona kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi wako. Vyombo vyote vya dola vitakushabikia nawe utakula mema ya nchi.
  20. Suluhisho la jobless wanawake na graduate waliokosa ajira kwasasa ni kuolewa? Inanishangaza sana

    Inanishangaza sana inaonekana kwa sasa suluhisho la jobless na graduate wengi sana waliokosa ajira ni kuolewa na hii hali inanishangaza sana aisee sasa najiuliza hapa nikiingiza miguu yangu kwamba hawa wanawake wote watanihitaji kwa ajili ya mapenzi na ndoa au kwa ajili ya kusukuma siku ziende...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…