ajira

  1. Hivi kwenye ajira, waajiri huwa wanaangalia nini zaidi?

    Wakuu! Hebu tupeane uzoefu kidogo Hivi kwenye ajira, waajiri huwa wanaangalia nini zaidi? wakati wa interview ya Kazi? ✅ CV yako ilivyoandikwa? ✅ Uzoefu wako kazini? ✅ Ufaulu/GPA yako? ✅Kipaji? ✅ Au chuo ulichosoma?
  2. Je ratiba ya waajiriwa(wanawake) inawapa nafasi ya kutimiza majukumu yao ya ndoa? Je ratiba ipangiliwe vipi ili majukumu ya ndoa yatimizwe?

    Amebarikiwa mwanamke anayerudi nyumbani kabla jua halijazama na kupika chakula Cha mumewe,hii ni Kulingana na kikao Cha wanaume.Lakini wanawake hao wamekuwa adimu sana zaidi ya almasi za mwadui.Zimekuwepo nyuzi nyingi zinazopinga wanaume kuoa wafanyakazi.Pia wengi wamejikita kuangalia ugumu wa...
  3. A

    KERO Kukataliwa na mfumo kwa wahitimu wa Digrii ya Microfinance & Enterprises Development

    Kuna Changamoto Ambayo Tunaipata Sisi Wahitimu wa Degree Ya Microfinance And Enterprises Development tunakuwa Auto Rejected kwenye Ajira Portal Wakati hata sisi kweye Core za Masomo yote tunatambulika kama watu wa Fedha(Finance). Pia hata kwenye vigezo vya Ajira kabisa hata sisi tumo ila...
  4. A

    KERO Shirika la Uwakala Wa Meli Tanzania (TASAC) kutangaza ajira mpya bila ya kuwarudisha baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake sio sawa

    Wasalaam , Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
  5. B

    Ajira za Utumishi

    Ninaomba msaada wadau ninapoandika barua ya maombi utumishi address yao lazima iandikwe kwa Secretary, PSRS?
  6. S

    Kinachoharibu taasisi za Usalama wa Taifa na Polisi ni waajiriwa wengi wa "connection" ambao loyalty yao iko kwa wale waliowaunganisha kupata kazi

    Ni lini uliona tangazo la serikali la nafasi za kazi idara ya Usalama wa Taifa? Au ni lini uliona mtu wa kawaida asie na connection yeyote na viongozi wa juu nchini anatamani kufanya kazi Uslama wa Taifa na akanikiwa katika tamanio lake? Labda ni zile enzi za Nyerere, ambapo wafanyakazi wa...
  7. Mnatuchangisha fedha Ili mpate ajira mpya?sisi mlituchangia wakati tumeitwa na Tamisemi?

    Jibuni swali nyinyi maccm tafadhali
  8. KERO Kukataliwa kwa wahitimu wa BA in History and Political science kwenye Ajira Portal

    Wahitimu wa Udsm wa ba. In History and Political science wana disqualify kuapply public administration and HRM Japokuwa walizisomea darasa moja na lecture mmoja pamoja na wanafunzi wa political science and public administration ambao ndyo wako more favored. Kwa hiyo kama ni ngumu kuajiriwa...
  9. Msaada Ajira Portal NIOMBE IPI?

    Kwenye tangazo la kazi Serikalini, kuna nafasi 3 katika shirika moja, Marketing, customer service, sales, business development Kote huko nina vigezo vya kuomba, je ninaweza kuomba zote? Na nikiomba zote, ninaweza kutokea kwenye interview zote? Na je barua ya maombi IANDIKWE KWA MKONO AU...
  10. J

    JF tenganisheni jukwaa la AJIRA na TENDA

    Admin JF please Jukwaa la sasa la ajira na tenda kwa kweli limejaa mambo ya ajira mengi sana kiasi kwamba kama unatafuta tenda uta scroll mpaka basi. Nashauri jukwaa la tenda liwe peke yake au lichanganywe na kazi za consultancy; Na jukwaa la ajira libaki peke yake ili watangaza ajira na...
  11. S

    Ajira portal issue

    Hivi jamanii wana wa forum Naomba niulize kitu kuhusu portal ya ajira maaana ni janga hili kwa vijana wengi,, kwanini mtu unakuwa na vigezo vyote lakn mfumo unagoma kuomba kazii? Utaweza kuta kozi yako ipo Kama kawa lkn haikubali kuapply.. Alafu pia kuna baadh ya kozi zinaingiliana mfano...
  12. MSAADA: Fani niliyosomea imegawanyika mara mbili AJIRA PORTAL

    Niende moja kwa moja, Nimesoma Ordinary Diploma in Laboratory science and Technology... Pale kwenye kuchagua kozi kuna Diploma in Laboratory science and technology na pia kuna Diploma in Laboratory technology Changamoto ni kuwa nimechagua Diploma In Science and Laboratory Technology...kazi...
  13. Umechoka Kutafuta Ajira? Hizi Hapa Biashara 5 Unazoweza Kuanza Na Mtaji wa Chini ya 50,000 TZS

    Kutafuta ajira kunaweza kuwa jambo la kuchosha na kukatisha tamaa. Lakini inawezekana kabisa kujiajiri mwenyewe kwa kuanzisha biashara ndogo yenye mtaji wa chini. Kwa mtaji wa chini ya TZS 50,000, unaweza kuanzisha biashara inayokuwa na kukuingizia kipato. Hizi hapa ni biashara 5 unazoweza...
  14. Nanenane inatukumbusha: Ajira ya kwanza Mwanadamu aliyopewa na Mungu

    Ajira au shughuli ya kwanza mwanadamu kupewa na Mungu ilikuwa ni Kilimo. BWANA Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. mwanzo 2:15 Ndio maana ameahidi AKUBARIKI mjini na mashambani. Kumuenzi Mungu ka maelekezo haya hakikisha pamoja na mengine Unashamba...
  15. Exploring Ajira Portal News, Portal Ajira, Ajira Portal Jobs in Tanzania, and Ajira Jobs Portal August, 2025

    The President’s Office Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) has announced several important updates on the Ajira Portal for job seekers and stakeholders. Job Vacancies Announcements The Ajira Portal is a centralized platform designed and managed by the Public Service Recruitment...
  16. Mnaopenda ajira na mishahara, Mwamposa ana ujumbe wenu huku

    https://www.tiktok.com/@ariseandshinetanzania/video/7533525144904420664
  17. Kati ya mtaji million 20 au ajira ya kudumu mshahara 700k, utachagua kipi?

    Wakuu, Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi. Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara ni kila mwisho wa mwezi na unamfanyia mtu mwingine kazi Utachagua kipi mdau?
  18. R

    Investigator mgodini

    Tangu Serikali kupendekeza kuanzishwa kwa National Bureau of Investigation naona wale investigator wa kujitegemea wanasikilizia kuona lini itaanza kazi ili waanze kufanya application
  19. R

    Nahitaji ajira ya ulinzi, UAE, Qatar au Oman

    Hello Members wa JF... Kama nilivyotangulia kusema kwenye kichwa cha habari. Ni kweli niko seriously natafuta agents wanaohusika na kazi za uarabuni. Niko tayari kufanya kazi za ulinzi, mashambani, bustani, supermarket au sehem yeyote rafiki. Kwa agent ambaye anahusika anitafute inbox au...
  20. RC Balozi Dkt Batilda Buriani: Tanga inaviwanda 4,000 ajira 65,000 zimezalishwa na viwanda hivi Wamachinga 2,300 wamepatiwa vitambulisho 1,100

    Hadi kufikia Juni 2025, mkoa una jumla ya viwanda 4,117 vilivyosajiliwa, ambapo viwanda vidogo na vidogo sana ni 4,013, viwanda vya kati ni 69, na viwanda vikubwa ni 35. Hili ni ongezeko kubwa kutoka viwanda 2,441 vilivyokuwepo mwaka 2020. Kwa viwanda vikubwa, kumekuwa na ongezeko kutoka viwanda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…