ajira

  1. Dr Kigwangala aanza kusaka ajira mbadala ya Ubunge

    Mwamba baada ya Nzega kumnyoosha ameanza kuiboresha CV Kusaka ajira mpya HALMASHAURI ili angalau asikose kitu kila mwezi. TEUZI ndo basi tena. Asanteni Nzega
  2. A

    KERO Wilaya ya Geita Vijijini tangu March 2025 mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu

    Wilaya ya Geita Vijijini tangu Mwezi wa tatu mpaka leo Walimu wa Ajira Mpya hatujapewa hela ya kujikimu, hivyo maisha yamekuwa magumu sana mitaaani naomba utusaidie kupaza sauti Jamii Forums. Nyingine soma ~ Ajira mpya za Walimu Msingi na Sekondari Mwaka wa fedha ulioisha hatujalipwa fedha za...
  3. Jamaa kasomea uinjinia wa umeme lakini hana ajira

    Kutoka katika ukurasa rasmi wa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche ameandika..... "Nchi ya Tanzanite, migodi mikubwa ya dhahabu, Nchi ya almasi, Nchi ya Ngorongoro, Serengeti na Serous.. Nchi ya makaa ya mawe, chuma, uranium, nickel na cobalt. Nchi inayoagiza Mpaka gunia la Kubenea viazi...
  4. Sisi tusio kuwa na Vyama tunaomba ajira basi ya kuhamasisha watu kupiga kura

    Wakuu habari za mida hii, wanasemaga usiache fursa ikapita bila kuichungulia, hichi ni kipindi cha kampeini na uchaguzi Tunaomba basi ajira za kuhamasisha watu kupiga kura iwe nyumba kwa nyumba kanisani na misikitini au maeneo yenye mikusanyiko tutafika Dau langu ni dogo tu 150000 inanitosha...
  5. A

    KERO Ajira mpya somo la biashara wengine tumenyimwa mikataba na TSC

    Habari, Naomba kuwasilisha changamoto yetu walimu ajira mpya somo la biashara tulioajiriwa kwa ajili ya uhaba wa walimu wa somo hilo tumenyimwa mikataba na TSC. Wanasema sisi bado sio walimu sasa wanasema wanasubiri muongozo mpaka leo kimya ila wenzetu wengine wamejaza mikataba ya TSC Naona...
  6. N

    Mwaka huu TAKUKURU hawatoi ajira?

    Wakuu mbona mwaka huu kimya TAKUKURU?
  7. Wajuzi wa mambo kuhusu nafasi za ajira utumishi

    Kuna nafasi TANROADS walizozitangaza tangu mwezi wa 6, 2025 kupitia Utumishi kuna mwana nilimuazima laptop yangu kwa ajili ya kufanya maomba juzi kati naonana nae namuuliza vipi interview anasema bado hawajaitwa. Mpaka leo mwana hajaitwaa kwa ajili ya Interview, Je ni kiini macho au wanasubiri...
  8. Call for Interview Utumishi 2025: Ajira Portal, PSRS August, 2025

    Called for Interview UTUMISHI – Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) August, 2025 Job recruitment Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) on behalf of various government institutions would like to inform all job applicants who applied for a job that the interview is expected to...
  9. KARANI WA POSTA LEVEL YA KIDATO CHA 4 ANALIPWA BEI GANI? Na maswalj yapi ataukizwa inter view AJIRA PORTAL

    Naomba majibu
  10. M

    Ajira ajira

    Ajira ajira Madereva wenye vigezo tajwa wanatafutwa Tafadhari usitume message, piga simu kwa ufafanuzi
  11. Fanya hivi ikiwa umesoma ila hauna ajira inayokuweka mjini.

    Umesoma vizuri, mambo hayaendi maana yake akili imekungusha, sasa jaribu nguvu, potelea porini, fyeka miti, lima kwa mkono wako, fuga, jenga hata kijumba cha nyasi, anzisha maisha huko bila kujihurumia, potelea huko kwa miaka mitatu, minne, utaanza kuvuna mazao, ya mikono yako, pata pesa...
  12. Naungana na Zemanda na Natafuta Ajira kupinga Usimp

    Watu wengi wanauelewa ambao sio sahihi kuhusu usimp,na ndio maana wanaona kama hawa ma expert wanashawishi wanaume kuwa na roho mbaya kwa wanawake. Ukweli hauko hivyo,ebu tufahamu kidogo tunamaanisha nini tunapo zungungumzia usimp au simp Here we go....... Simp ni mtu (mara nyingi mwanaume)...
  13. Tanzania miongoni mwa nchi nne za Afrika zitakazonufaika na ajira, ujuzi kupitia mpango wa Japan wa thamani ya dola bilioni 5.5

    Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi nne za Afrika zitakazonufaika na mpango mpya wa Japan uitwao “Hometown Initiative”, mpango unaolenga kuimarisha uhusiano na Afrika huku pia ukishughulikia changamoto za idadi ya watu nchini Japan. Kupitia mpango huo, Jiji la Nagai katika Prefecture ya...
  14. Kijana miaka 25-30 kwanini uendelee kukaa kwa shemeji yako? Ati kisigizio ‘unasikilizia ajira’?

    Kwanza sipo hapa kukubeza au kukutukana bali kukumbushana kama wanaume Tegemewa wa leo na kesho pia nataka kujua hasa uwezo wako wa akili upo kiasi gani kichwani mwako! Ni kweli una elimu Ni kweli mfumo wetu wa Elimu una mjenga msomi kuwa tegemezi wa ajira tu hilo sipingi lakini bado haiindoi...
  15. Tangazo la ajira

    TANGAZO LA KAZI Kampuni yetu inatafuta Wafanyakazi Wenye Ujuzi na Uzoefu kujaza nafasi zifuatazo: 1. Mchoro/Mchoro wa Majengo (Architect) Kiwango cha Elimu: Cheti (Certificate) au Diploma katika Architecture Uzoefu: Si lazima, lakini uzoefu utapendekezwa 2. Mhandisi wa Ujenzi (Civil...
  16. Ajira portal wana cha kujifunza kwenye mfumo wa maombi ya ajira wa magereza.

    Habari za asubuhi ndugu. Samahani nimewiwa kuandika kuhusiana na uzoefu wangu nikiwa nafanya maombi ya ajira za magereza. Mfumo kwenye kusomana uko vizuri haina haja ya kuhakiki vyeti tena, vyote vinaweza kuishia online kwa mbonyezo mmoja tu. Nawaasa ajira portal wafanye hima pia waweze...
  17. M

    Wazazi msio na connection mnaosomesha watoto kwa matumaini makubwa waje kuajiriwa, mmejipangaje kisaikolojia na jinsi ajira zilivyo ngumu ?

    Ajira nyingi zina nafasi zaidi kwa watoto wa maboss, watoto na ndugu wa wanasiasa wakubwa, watoto wa matajiri wanaojuana na watu wakubwa, wazanzibari wanaopewa mgao wa ajira ili kubalance muungano. Halafu sasa kuna upande wa pili wazazi wanofosi kingi bila kujua hatma ya watoto, mmejipangaje ...
  18. Je inawezekana kuhama kituo cha kazi kwenda mkoa mwingine kabla miaka mitatu haijaisha baada ya ajira?

    Je inawezekana kuhama kituo cha kazi kwenda mkoa mwingine kabla miaka mitatu haijaisha baada ya ajira?
  19. M

    Nina marafiki waliowahi kusoma Kenya na Uganda Primary, wameteseka kupata ajira, Je kusomesha mtoto nje ni kumpunguzia uwezekano wa kuajirika Tanzania

    Nina classmates waliowahi kusoma nje ya nchi elimu ya msingi kwa shule za Uganda na Kenya. Walirudi Tanzania kuendelea na elimu ya sekondari hadi vyuo kusomea IT, HR, Accounting, Law, Engineering na procurement. Ni moja tu alieajiriwa serikalini, hao wengine wapo walio kampuni binafsi wengine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…