ajira

  1. T

    Utatuzi changamoto za ajira portal, nssf portal nk

    Kama una changamoto kama kusahau password,email na kutengeneza akaunti kwa mifumo kama AJIRA PORTAL, NSSF PORTAL,LOAN BOARD, NK Wasiliana na 0623446608 kwa msaada binafsi
  2. M

    Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  3. KERO Ni mateso kwa ajira mpya Halmashauri ya Msalala-Kahama

    Niwe mkweli sijawahi ona halmashauri wazembe, wala rushwa, wavivu kama halimashauri ya Msalala-Kahama. Halmashauri hii imegeuka kuwa kilio kwa watumishi wa umma, ukiwa na shida husikilizwi, mtumishi unaonekana kama kibaka. Ajira mpya walioajiriwa toka February halmashauri hii imegoma kata kata...
  4. Je, ajira mpya zaidi ya elfu 17 zilizotangazwa na Serikali ni kupunguza vuguvugu la vijana kuelekea uchaguzi mkuu?

    Ni nani Miongoni mwenu angeweza amini Hawa Vijana wa TikTok , wenye Miaka 18,19,20,21 ni Tishio Kwa Samia?. Sasa tazameni Kutoka Kwa LISSU Hadi PADRE KITIMA Hadi POLEPOLE Hadi MDUDE hadi Vijana wa miaka 18, 19, 20, 21. Kwa Mama mwenye Akili, Hawa bado ni watoto Kwa namna yoyote wanayobehave ...
  5. T

    Ajira mpya Leo kupitia ajira portal

    AJira nyingi kwa kada za afya,walimu,nk zimetangazwa Leo. Kwa wenye changamoto katika kuomba wasiliana na 0623446608 usaidiwe personally
  6. Mko wapi mliokuwa mnasema Makonda ni Mzalendo?

    Kuna kelele kibao mpaka wakasema Makonda mzalendo anaweza kuvaa viatu vya Magufuli. Wapi sasa ukweli? Ukweli uko wazi; jamaa yenu Makonda hana uzalendo wowote. Tangia Magufuli alipoondoka, wazalendo wa kweli tumewaona kwa macho yetu, na maskio waliobaki wote walikuwa ni kelele. Kipindi cha...
  7. Naungana rasmi na Zemanda na Natafuta Ajira kwenye operation tokomeza simping

    Rasmi najiunga na Zemanda na Natafuta Ajira kwenye operation tokomeza simping! kwanzia sasa wakurugenzi wa hii operation naomba mnitag popote mtakapokuwa mnazungumzia hili swala. We gotta save this generation! Na kwa kuanza natoa some point on how to stop simping! Daily moves to kill...
  8. Rais Mstaafu Kikwete Anampotosha Samia: Wakati Wake Alisimamia Demokrasia, Ajira na Kuepusha Mauaji

    Wanasemaga mchawi hatoki mbali au mchawi ni nduguyo Yaani Mstaafu wetu ndo amshauri Samia mambo ya ajabu kama haya 1. Wakati wa Kikwete Democrasia ila hai Leo anamshauri mwenzake apeleke wabunge wa Chama kimoja tu bungeni 2. Wakati wa Kikwete hapa kuwa na mauaji kama kipindi hiki. Watu...
  9. GE2025 Hata ajira hawa wanazo wamezificha wanasuburi wabustiwe

    Salamu, Ya Mwendokasi mmeyaona ? October 29 Twendeni tukawaboost. Ajira Zipo.
  10. S

    Natafuta ajira ya kibarua

    Habari za wakati huu wanajamii wenzangu, Naomba kuchukua nafasi hii kuwasalimia na kuwaomba msaada wenu. Mimi ni kijana mchapakazi, mwenye ari na nguvu za kufanya kazi mbalimbali ili niweze kujipatia riziki halali ya kila siku. Kwa sasa ninatafuta kibarua chochote halali, iwe ni kazi ya muda...
  11. Week chache zijazo Chawa na Wasiojulikana wanakwenda kupoteza ajira

    Moja la jambo kubwa sana tunakwenda kulifanya kwa mustabali wa nchi yetu
  12. Machawa wanaenda kupoteza ajira, mkoloni anaondoka

    Zile buku kumi kumi na picha na viongozi mnazoziweka sebuleni, ndiyo zimefika mwisho. Ni muda nchi inaenda kurudi wa watanzania. Kama haukujenga au kutumia vizuri nafasi mliyopewana wakoloni jiandae kutumia akili. Uzi tayari
  13. N

    KERO Sekretarieti ya Ajira /Ajira Portal Wahudumu wenu hawapokei simu

    Hii ni changamotoni kubwa sana. Hawa jamaa wa huduma kwa wateja wa Ajira Portal unaweza kuwapigia tokea asubuhi hadi jioni na simu haipokelewi na mbaya zaidi namba yao sifo free kupiga kwahiyo unapopiga dakika zinaenda. Naomba wahusika wajaribu kuwapa elimu watoa huduma wao tafadhali, wawe...
  14. W

    GE2025 Wagombea wasiishie tu kutoa ahadi za Ajira kwa vijana Uchaguzi 2025. Je watalitekelezaje hili?

    Miaka nenda miaka rudi kila mgombea akiwa ananadi sera zake wanatumia tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana iliw achaguliwe. Lakini viongozi hawahawa tukishawapeleka bungeni ndo wanaorudi na kusema "Vijana mjiajiri serikali haiwezi kuajiri kila mtu." Wananchi tunaposikiliza tunatakiwa kuuliza...
  15. Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa watu wenye asili ya Afrika kimekuwa kiashirio cha Uchumi wa Marekani

    Tovuti ya habari ya Axios ya nchini Marekani, hivi karibuni imetoa ripoti, ikisema kiwango cha ukosefu wa ajira kwa Wamarekani wenye asili ya Afrika kimeongezeka kwa kasi mwaka huu, na kutoa tahadhari kwa uchumi wa Marekani, ikimaanisha kwamba kiwango hicho kimekuwa kiashirio cha uchumi wa...
  16. Sekta ya Teknolojia Tanzania: Tech Zinazodominate na Fursa za Kazi kwa Job Seekers

    Habari wadau wa Jamiiforum! Mimi ni tech enthusiast hapa Dar, na leo nataka kushare thoughts zangu kuhusu technologies zinazotawala Tanzania na how they can help you kufind job au improve in your current one. Kama unajua, global tech na local one ni different sana, especially in developing...
  17. Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF) linatekeleza zoezi la ajira kitaifa Oktoba

    Jeshi la Ulinzi la Kenya (KDF), kupitia taarifa iliyotolewa Jumapili, Septemba 14, linasema kuwa zoezi hili litalenga kuajiri Wakandarasi wa Huduma za Kawaida (GSO) – kwa kawaida na wahitimu wa vyuo vikuu, Wakandarasi Maalumu, Wajibu wa Kawaida, Wafundi wa Kazi na Wanawake, pamoja na Askari wa...
  18. Ajira Portal System Error

    Nafanyaje chuo changu nilichosomea Diploma hakionekani Ajira Portal Mpya. Chuo ni Al Maktoum College of Engineering and Technology (AMCET) - Registered by NACTE as REG/EOS/039 (Full Registration) kipo Mbezi Beach. 1. Nimejaribu kupiga chuoni: Wanasema shida sio yao ni ya Ajira Portal. 2...
  19. M

    Aliemaliza degree 2018 yupo kitaa, mwenzake alierudia form 4 akiwa "25 years" kahitimu diploma mwaka jana 2024 ila tayari kapata ajira taasisi nzito

    Hawa ni wanafunzi naowajua vizuri walimaliza form 4 mwaka 2012 Moja alifaulu kwa division 1 ya point 16 (ya enzi hizo), akaenda A Level shule nzuri ya private akafaulu division 2 nzuri, chuo akamaliza 2019, hakuwa mvivu wa kusubiria kazi ijilete, ni mpambanaji, kajitolea sana na kuhudhuria...
  20. KERO Walimu ajira mpya msitusahau bado tunalia

    Nipo zangu Nachingwea! Ajira mpya lakini bado hatujalipwa lakini hainizuii Oktoba kutiki.. nitatiki miye japo najua watu wale wanakeleka. Na bado! Mpwayungu Village tusemee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…