ajira mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    HOJA Ajira mpya Serikalini tunapiga tu story ofisini, hakuna kazi za kufanya

    Nimebahatika kupata ajira serikalini kwenye taasisi moja yenye jina kubwa tu hapa nchini. Tangu niripoti kituo cha kazi na wenzangu wanne hii ni week ya pili hakuna kazi tunafanya,tunaenda kazini kila siku asubuhi tunaishia kunywa chai na kupiga gumzo tu mpaka muda wa kutoka unafika.wenyeji...
  2. N

    KERO Watumishi wapya wa RUWASA tulioajiriwa Septemba 2025 hatujapata mafunzo elekezi wala fedha za kujikimu

    Habari, tunaomba mamlaka husika zifuatilie changamoto zinazotukabili watumishi wapya tulioajiriwa katika Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) kuanzia Septemba 2025 hadi sasa. Tangu tulipoajiriwa hatujapokea fedha zetu za kujikimu, huku pia hatujapatiwa mafunzo elekezi...
  3. A

    KERO Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama tumelipwa 250,000 tu ya fedha za kujikimu

    Sisi ni walimu tulioajiriwa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama. Baada ya kudai fedha za kujikimu kwa muda mrefu, mwezi Agosti tuliingiziwa TSh 250,000/= bila maelezo yoyote rasmi. Tangu hapo, viongozi wamekaa kimya hadi leo. Tunaomba TAMISEMI na mamlaka husika zitusaidie...
  4. Isenye

    Naomba ABC za mkoa wa Kigoma, nimepangwa ajira mpya huko

    Habari za leo wakuu? Ebana nimepangwa mkoa wa Kigoma ajira mpya, mwajiri ni National Audit Office of Tanzania. Naomba kupata ABC za huo mkoa wa Kigoma kwa ujumla, kuanzia hali ya hewa ya mkoa, nature ya watu wa huko, totoz kama zipo, vyakula, hali ya maisha kwa ujumla etc. Asanteni
  5. A

    KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Wilaya Handeni tumelipwa pesa ya kujikimu Tsh350,000 tu

    Vijana tulioajiriwa kuanzia mwezi wa 7 pamoja na kucheleweshewa fedha zetu za kujikimu, sasa tumelipwa kiasi cha tsh 350,000 tu kama posho ya kujikimu. Hatuna pa kusemea. Sijui posho ya kujikimu huwa wanaangalia nini ili kuamua kiasi cha kulipa.
  6. A

    KERO Waajiriwa wa Julai 2026 katika Halmashauri ya Namtumbo hatujalipwa fedha za kujikimu, Wilaya nyingine wamelipwa

    Watumishi walioajiriwa Julai 2026 katika Wilaya ya Namtumbo hawajapewa fedha za kujikimu. Wachache wamepewa Shilingi 750,000 pekee, badala ya kiasi kilichoainishwa kwenye barua zao za kuripoti kazini, huku wengine hawajapokea fedha hizo kabisa. Viongozi hawatoi majibu wanapoulizwa kuhusu hatua...
  7. A

    KERO Kukosa Fedha za Kujikimu Ajira Mpya Halmashauri ya URAMBO-TABORA kunapunguza morali yetu

    Walimu ajira mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA, hadi sasa hatujalipwa Pesa ya Kujikimu. Tukiuliza Ofisi za Utumishi hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha tamaa, hatujui cha kufanya. Kucheleweshewa pesa za kujikimu siyo tu kunauwa morali yetu bali pia...
  8. A

    KERO Fedha za Kujikimu zinaua morari ya Ajira Mpya Urambo - Tabora, tulipeni

    Walimu Ajira Mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA hadi sasa Oktoba 2026 hatujalipwa pesa ya kujikimu. Tukiuliza ofisi za UTUMISHI hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha tamaa, hatujui cha kufanya. Kucheleweshewa pesa za kujikimu siyo tu kunauwa morali yetu...
  9. A

    Ajira mpya sekta ya Elimu - Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti hatujalipwa mishahara ya Agosti na Septemba

    Ajira Mpya katika sekta ya Elimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti, tuliingia kazini na kuripoti Agosti lakini mpaka sasa tunakabiliwa na changamoto kubwa ya kutolipwa mshahara wetu wa mwezi wa nane pamoja na mwezi wa tisa. Tulipojaribu kwenda kuulizia makao makuu ya halmashauri...
  10. A

    KERO Walimu tulioajiriwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC) mwaka wa pili sasa hatuna fedha za kujikimu

    Walimu walioajiriwa hivi karibuni katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita (Geita DC), huu ni mwaka wa pili sasa hatujapewa fedha za kujikimu, licha ya kuona watumishi wa idara nyingine wakilipwa. Tunaomba mamlaka husika itusaidie kufuatilia suala hili na kuhakikisha na sisi walimu tunapatiwa...
  11. A

    KERO Mufindi: Watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu

    Tangu tuliporipoti kazini miezi sita iliyopita, sisi watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu. Tunapofuatilia madai yetu, tunaelezwa kuwa fedha hizo hutolewa na TAMISEMI na bado hazijaingizwa hadi sasa. Aidha, tuliitwa kusaini fomu za...
  12. K

    KERO Ajira mpya Halmashauri ya Wilaya Kilindi hatujalipwa pesa za kujikimu

    Baada ya kuajiriwa, hatukulipwa fedha za kujikimu kama inavyopaswa. Tuliingizwa kwenye mfumo wa malipo (payroll) na kuanza kuripoti kazini, lakini stahiki hizo bado hatujazipokea. Kutolipwa fedha za kujikimu kumesababisha changamoto kubwa katika maisha ya kila siku, kwani baadhi yetu...
  13. A

    KERO Watumishi wapya wa Halmashauri ya Chunya hatujalipwa stahiki tezu

    Watumishi wapya tulioajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Chunya hatujalipwa stahiki zetu za kujikimu hadi sasa. Pamoja na kufuatilia suala hilo, viongozi husika hawajatoa majibu ya wazi kuhusu sababu ya kuchelewa kwa malipo hayo wala lini watumishi tutalipwa. Hali hiyo imeanza kuathiri...
  14. A

    KERO Walimu ajira mpya Halmashauri ya Mkalama tumelipwa TZS 250,000 badala ya 925,000

    Sisi walimu walioajiriwa mwezi Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida, tunaomba mamlaka husika zisaidie kufuatilia stahiki zetu za fedha za kujikimu ambazo tumekuwa tukizidai kwa muda mrefu. Tumekuwa tukipewa taarifa kwamba fedha hizo bado hazijafika. Hata hivyo, hivi...
  15. Doubleg Malafyale

    KERO Halmashauri ya Meru (Meru DC) haijawalipa pesa ya kujikimu Walimu ajira mpya wa mwaka wa fedha 2025/2026

    Halmashauri ya Meru (Meru DC), Mkoani Arusha, inachelewesha malipo ya pesa za kujikimu kwa walimu walioajiriwa katika Mwaka wa Fedha 2025/2026. Walimu tumekuwa tukifuatilia malipo tangu Januari hadi sasa, lakini tumekuwa tukizungushwa bila kupewa maelezo ya kueleweka. Tunaambiwa kuwa fedha hizo...
  16. Pfizer

    Maandalizi kuelekea kuhitimisha mafunzo ya askari wa ajira mpya 268 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania TAWA

    Maandalizi kuelekea hafla ya kuhitimisha mafunzo ya askari wa ajira mpya 268 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa) ambapo walianza mafunzo hayo ya kijeshi tarehe 22 februari 2026 na wanatarajia kuhitimisha tarehe 5 septemba 2026 Mlele, Mkoani Katavi. Kwa niaba ya kamishana wa...
  17. A

    KERO Waziri wa TAMISEMI shughulikia tatizo la ajira mpya katika Halmashauri mbalimbali kutolipwa fedha za kujikimu

    Tunakuomba Waziri wa TAMISEMI kushughulikia matatizo ya watumishi, hasa waajiriwa wapya katika kada ya elimu nchini. Tumekuwa tukinyanyasika kwa kutopata stahiki zetu za kiutumishi, hususan fedha za kujikimu. Wengi wetu tuliajiriwa ndani ya siku 100 za Mama Samia mwezi Januari. Hata hivyo...
  18. A

    KERO Walimu walioajiriwa mwaka 2026 katika Halmashauri ya Bukombe hatujalipwa fedha za kujikimu

    Walimu walioajiriwa mwaka 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe hatujalipwa fedha za kujikimu tangu tuliporipoti kazini hadi leo, huku kimya kikiwa kimetawala na bila kupewa maelezo yoyote. Kila tunapojaribu kuhoji, tunakutana na vitisho kutoka kwa viongozi, wakati wenzetu wa kada ya...
  19. K

    Tunaomba halmashauri ya wilaya ya Buchosa ilipe hela ya kujikimu kwa watumishi wa ajira mpya 2026

    Halimashauri ya wilaya ya Buchosa haijalipa fedha ya kujikimu kwa watumishi wa umma toka mwezi wa tatu hadi sasa na tushafuatilia tukaambiwa mtapewa sasa hatuelewi tutapewa lini ingali ni miezi sita imepita.
  20. Abdulziad

    KERO Lini Muheza DC itathibitisha Watumishi wa ajira mpya ya Mei 2025 na kulipa fedha za kujikimu?

    Watumishi tulioajiriwa mwaka 2025 katika idara mbalimbali bado hatujapewa barua za kuthibitishwa kazini, pamoja na fedha zetu za kujikimu. Serikali, tunaomba mtusaidie.
Back
Top Bottom