afya

  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kampuni bora ya Bima ya Afya

    Heshima kwenu wadau wa jukwaa. Ndugu yangu ana ugonjwa inasemekana wa neva. Ni kampun gan bora kwa bima ili kukabiliana na tiba bora nchini? Maana hii kupimwa pimwa tu bila tiba inatupiga sana pesa! Sio mtumishi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania USHAURI-MABARA NZURI YA KUPIMA AFYA

    Wadau naomba ushauri maabara bora ya kupima afya maeneo ya Bunju, Tegeta na hata Mbezi Beach. Iwe maabara tu sio hospital. Ahsante
  3. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai alikuwa na hoja ya msingi, tatizo sio kukopa bali kukopa wakati kuna tozo za miamala ambazo mlidai zanajenga madarasa na vituo vya afya

    Bunge la JMT lilipitisha tozo ambazo ama kwa hakika zilizua tafrani na kuzua kilio kwa wananchi, bila hata aibu Mwigulu Nchemba akainuka na kudai kuwa ambae hataki kulipa tozo basi ahamie Burundi. Sasa kama mlipitisha tozo na mkadai kuwa zinajenga, shule, madarasa, zahanati na vituo vya afya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mbunge wa CCM akiwa ameweka ugali aliopika juu ya karo la choo huku akifurahia. Kweli mtu ni afya

    Mahindi nayo yameanikwa juu ya karo la choo, hapa afya anajali kweli?
  5. JamiiForums Tanzania Mamlaka za Afya nchini tulindeni Watanzania

    Afya ndio msingi wa maisha yetu. Bila kuwa na afya hakuna Jambo linaweza kuwa sawa kwa mtu binafsi, familia na hata Taifa. Kwa hali inayoendelea sasa nchini ya watu kupatwa na mafua na homa kali, nasukumwa kuziomba Mamlaka zetu kuwa Malini na kila kinachoingia nchini hususani vifaa tiba...
  6. JamiiForums Tanzania Mamlaka za Afya nchini tulindeni Watanzania

    Afya ndio msingi wa maisha yetu. Bila kuwa na afya hakuna Jambo linaweza kuwa sawa kwa mtu binafsi, familia na hata Taifa. Kwa hali inayoendelea sasa nchini ya watu kupatwa na mafua na homa kali, nasukumwa kuziomba Mamlaka zetu kuwa Malini na kila kinachoingia nchini hususani vifaa tiba...
  7. JamiiForums Tanzania Bugando wanaleta mzaha kwenye afya za wa Wagonjwa wa Figo. Dr. Gwajima fuatilia hili

    Imekuwa mazoea sasa ambapo watu wanaopata huduma ya Dialysis pale Bugando kushindwa kufanyiwa huduma kwa kuambiwa kuwa vifaa havipo au havijafika. Wagonjwa wa Dialysis idadi yao inajulikana na forecast inafanywa kwa kujua mahitaji lakini inafikia sehemu wagonjwa mpaka wanalala kwenye chumba cha...
  8. JamiiForums Tanzania Wameibuka wandishi wa habari wenye masihara sana, ni afya kwa Taifa?

    Uandishi wa habari kwa sasa umekuwa wa ajabu sana. Umegubikwa na masihara, mizaha na kutoa taarifa ambazo ni za uongo. Tukiendelea kulea na kuendekeza masuala haya tutaua nchi yetu. Hakuna mtu anayekemea, viongozi wapo kimya tu. Kwanini haya mambo hayakemewi!?
  9. JamiiForums Tanzania Daraja la Tanzanite upotevu mkubwa wa pesa ambazo zingetumika kuimarisha sekta ya afya tungeokoa maisha ya akina mama wengi vijijini

    Unajenga daraja la bil 243 ili kurahisisha usafiri wa viongozi wa CCm kwenda kwao huko Osyterbay na masaki huku ukisahau kuwa kuna sekta ya afya ambayo bado ipo nyuma kabisa. Vituo vingi vya afya havina vifaa tiba na watumishi. Ni majengo tu ambayo yanafugia popo. Na hata raia wengi vijijini...
  10. JamiiForums Tanzania "Dokta nimekuelewa, ila kama unadhani hizo Dawa ni Tamu, Meza wewe"

    Kiukweli binadamu ni wabishi sana. Yaani mtu ameathirika na VVU, akashauriwa kuanza kumeza dawa akakubali. Baada ya kumeza kwa muda akaacha. Sasa leo anatafutwa tujue tatizo nini ili kulinda afya yake haya ndio majibu anatoa🙄 Anyway, hawa ndio binadamu.
  11. JamiiForums Tanzania Barabara ya kivule Kuelekea banana ni hatari kwa usalama wa afya za abiria

    Moja kwa moja. Siku za hivi karibuni nilipanda usafiri wa daladala kutoka banana hadi kivule kwenye harakati zangu ,Kwa kweli Ktk Maisha yangu sijawahi shuhudia barabara mbovu kama ile na kila siku hali ile ile miaka nenda miaka rudi Kutokana na ubovu wa barabara uliopitiliza nilipata...
  12. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya, hii inakuwaje?

    Hello JF... Naomba kuuliza kwa nini wizara ya Afya haiko responsive kukitokea milipuko ya magonjwa??..... Week iliyopita karibu kila mtu Dar es Salaam alikua na mafua, nilitegemea serikali kuja public kama ni kitu serious tujue jinsi ya kujikinga, ama ni kitu tu cha kupita. Sometimes we just...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Waziri Mkuu na ile ya katibu Wizara ya Afya juu ya uviko zote ni sahihi

    Wizara ya Afya imesema kuwa taarifa ya Waziri Mkuu kwamba hakuna wimbi la 4 la UVIKO19 na ile ya Katibu Wizara ya Afya, kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya UVIKO19, zote ni sahihi. Kwani kuongezeka kwa maambukizi au visa hakumaanishi kuwa tayari ni wimbi jipya la maambukizi. Prof. Makubi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais tupia Jicho malalamiko ya askari wako hayana afya kwa Nchi

    Niliandika asubuhi japo ujumbe haukuwa moja kwa moja kwako,,lakini uzalendo wangu umenituma kurudia tena kuandika,,,Mimi ni mwananchi ambae shughuli zangu hunifungamanisha sana na askari wa majeshi mbali mbali nafikiri toka kipindi cha Magufuli. Binafsi sipendezwi na maneno ambayo yana...
  15. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Hali iliyopo ni mafua ya kawaida

    Wizara ya Afya imesema watu wengi wamekuwa wakiripoti kuwa na dalili za mafua na homa kwa siku za karibuni Wizara imesema uchunguzi umebaini hayo ni mafua ya kawaida ya kila mwaka yanayosababisha na vipindi vya hali ya hewa Wananchi wameshauriwa kufika vituo vya afya kwa matibabu sahihi, ikiwa...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dr Kigwangallah Waziri mpya wa Afya

    Taarifa kutoka vyanzo vya uhakika Dr Kigwangallah ndiye Waziri mpya wa Afya. Wazee wa Urambo wameshafanya yao bila kijana wao kupewa nafasi hakuna namna.
  17. JamiiForums Tanzania Dar: Kuna Tatizo la watu Homa na Mafua, Wizara ya Afya ipo kimyaa..

    Takribani kwa muda wa wiki moja tangu tarehe 10 Desemba 2021, kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wakaazi wa Dar es Salaam, wamekumbwa na hali ya homa sambamba na kupata mafua na kikohozi, kila mtu analalamika kwa namna yake, Mimi juzi nimekumbwa na hii homa nikahisi nina malaria ila ni...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri ndani ya CCM kuna kundi la Rais Samia na la Hayati Magufuli

    Huu ndio ukweli ulio wazi ingawa CCM wenyewe hawawezi kukiri hadharani. Kuna hatari ya kundi la Mwendazake kutaka kumuhujuma Mama na mnyukano huu unalenga uchaguzi wa 2025. Hata hivyo, kundi la Mwendazake wajue tu kwa katiba hii mbovu, hakuna wataloweza na ninachowashauri waungane na wapinzani...
  19. JamiiForums Tanzania Uzito uliopitiliza ni hatari kwa afya yako

    UZITO ULIOPITILIZA Mgawanyo wa uzito kwa BMI hapa chini Uzito ulio mdogo <18.5 Uzito wa kawaida 18.5-24.9 Uzito uliozidi 25-29.9 Uzito uliopitiliza(obesity) 30-39.9 Uzito uliopitiliza na hatari zaidi BMI Huu ni mfumo wa ukokotoaji wa uzito wa mtu(KG) chini au ugawe kwa urefu wake(urefu...
  20. JamiiForums Tanzania Ifahamu funga yenye kuleta afya

    Huu ni aina ya ufungaji wenye kusaidia kutibu magonjwa sugu. Katika magojwa haswa kisukari, shikizo la damu na maumivu ya maungio kwa muda mrefu. Aina hii ya mfungo ni nzuri Zaidi ukaifanya kwa siku 3 hadi siku tano kutegemeana na aina ya ugonjwa wako wenyewe. Siku moja kabla ya kufunga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…