afya

  1. JamiiForums Tanzania Tangazo la kazi lililotolewa na Wizara ya Afya lina Mapungufu

    Salaam, Kuna kazi zimetoka siku 2 hizi, zimetokea Wizara ya Afya zikitangaza kada tofauti tofauti, katika kada hizo pia kuna nafasi za madereva (4), lakini wameelezea vigezo na masharti ya kada zote walizoweka lakini hawajaweka maelezo kwa kada ya udereva. Je, mpaka tangazo hili limeameriwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatangaza nafasi za kazi 1,650

    Kila la heri mtakaopata. == JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA Telegrams “AFYA”, DODOMA Mji wa Serikali - Mtumba, Nambari ya simu: +255-026-2323267/2351196 Barabara ya Afya, Nukushi Na: +255-22-213806 S. L. P 743, 40478 DODOMA. TAARIFA KWA UMMA SERIKALI YATOA KIBALI CHA...
  3. JamiiForums Tanzania Tangazo la ajira 1650 Wizara ya Afya

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA TANGAZO LA AJIRA Wizara ya Afya kupitia Kibali cha Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya wasaidie Wafanyakazi wa Mloganzila wapate pesa zao za madai ya UVIKO-19

    Mheshimiwa Waziri wa Afya, nikiwa kama "collateral" ambaye nina ndugu yangu anayefanya kazi pale Mloganzila Hospitali, naomba nikufikishie taarifa kwamba wafanyakazi wa pale hawajalipwa posho za UVIKO-19 (Risk Allowances) hata za wimbi 1 japokuwa hizo pesa mlishazilipa kulingana na tangazo...
  5. JamiiForums Tanzania Maji ya kunywa ya Afya yanatishia soko la Maji ya Kilimanjaro huko Kaskazini mwa Tanzania

    Maji ya kunywa ya Kilimanjaro lita 1.5 inauzwa sh. 1,000 mpaka sh. 1,200 kutokana na upandaji wa bei ya bidhaa mbalimbali. Maji ya Afya sasa yameingia rasmi kaskazini mwa Tanzania ambapo lita 1.5 utaipata kwa sh. 600 mpaka 700 huku lita 1 ikipatika kwa sh. 500/= Ukiwa na sh. 500 kwa kampuni ya...
  6. JamiiForums Tanzania Aprili 7: Maadhimisho ya Siku ya Afya Duniani (World Health Day)

    Maadhimisho ya Siku hii ni kila Aprili 7, na kwa mwaka 2022 yanabeba ujumbe usemao "Dunia Yetu, Afya Yetu" Shirika la Afya Duniani (WHO) linakadiria kuwa zaidi ya vifo Milioni 13 kote ulimwenguni kila mwaka vinatokana na sababu za kimazingira zinazoweza kuepukika Hii ni pamoja na janga la...
  7. JamiiForums Tanzania Tanganyika: Wanakijiji kutembea umbali wa zaidi ya kilomita 50 kufuata huduma za Afya

    Wananchi wa vijiji vya Bungwe, vikonge, Ngomalusambo katika kata ya Tongwe wilayani Tanganyika katika mkoa wa katavi wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali na kubwa zaidi ni kokosekana kwa zahanati katika vijiji vyao,. Wanakijiji wa kutoka kijiji cha Bungwe wamekuwa wakisafiri umbali wa...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Anayejua jinsi ya kulipia bima ya afya NHIF kupitia huduma ya TIGOPESA

    Habarini jamani, Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ukipata Sup diploma ya afya unarudia mwaka, hii sio fair hata kidogo

    Mtu wa degree akipata sup anachomoa na maisha yanasonga Ila wa diploma akipata sup haruhusiwi kuingia mwaka unaofata mpaka achomoe Mbaya zaidi Kuna mitihani ya written na oral au Ospe au mitihani ya wodini Ukifaulu written na ukafeli oral unarudishwa nyuma unawaacha wenzako wasonge mbele wewe...
  11. JamiiForums Tanzania Isingekuwa mfuko wa bima ya afya (NHIF) ningefanya nini?

    Nawaza ningewezaje kumudu gharama za matibabu ikiwa bima ya afya isingekuwepo, mwezi Sasa tangu nimuhifadhi Mama yangu katika nyumba yake ya milele Ila kila ninapozunguka swali ninalojiuliza ningewezaje kumudu gharama ya kumtibu Kama isingekuwa NHIF. Nikifikiria gharama ambazo zimetumika wakati...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini, hii ndio thamani ya kichoma taka inayodaiwa na mafundi wa Wizara ya Afya

    Mafundi wa Wizara ya Afya wanaidai kata ya Ipera kiasi cha Tsh. 16,900,000 baada ya kujenga kichoma taka yaani "Medical waste incinerator" Katika Kituo cha afya Ipera. Kituo hiki kipo Kata ya Ipera wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma. Kwa mujibu wa maelezo ya Diwani wa kata ya Ipera Mh...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Katika vitu ambavyo huwa navipa kipaumbele basi ni kuzamia chumvini wanawane. Ila umkute demu anajua kupakwosha kule. ...unaweza kuzama ukaibuka na magugumaji. Sasa napenda kujua madhara yake. =====
  14. JamiiForums Tanzania Spika Tulia amtembelea Profesa Jay, asema afya yake inaendelea kuimarika

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, jana Machi 14, 2022 aliwatembelea na kuwajulia hali Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay pamoja na Mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Halima Mdee, Bi. Theresia Mdee ambao wamelazwa na kupatiwa matibabu katika...
  15. JamiiForums Tanzania Msimu huu wa joto kali ni vizuri wizara ya afya ikahimiza wananchi kunywa maji mengi/matunda

    Mikoa mingi hapa nchini kwa sasa inapitia katika kipindi cha jua kali na lenye joto kali kupindukia, si usiku si mchana joto ni kali. Bado wananchi mfumo wao wa maisha ni ule ule kutokana na wengi kutokujua umuhimu wa kunywa maji mara kwa mara hususani kipindi kama hiki. Kipindi kama hiki...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je wewe ni mtaalamu wa afya na ungependa kufanya kazi ya kimataifa nje ya nchi? 🇬🇧 🇺🇸 🇦🇺

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata ajira kwa wataalam wa afya na suluhisho

    Habari wanajamvi Tangu miaka michache iliyopita kulitokea changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa wataalamu wa afya, na sasa tumefika mashala ambapo mtu anapomaliza internship, anarudi nyumbani na kukaa muda mrefu, hata miaka bila kuitwa hata kwenye usaili wa kazi nyingi ambazo ameshaomba. Hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania World Hearing Day: Watu Bilioni 1.5 Duniani wanaishi na tatizo la usikivu

    Machi 03, 2022 ni Siku ya Usikivu Duniani ambapo inaelezwa takriban Watu Bilioni 1.5 Duniani kote wanaishi na tatizo la usikivu. Wataalamu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wanasema idadi hii inaweza kuongezeka hadi Bilioni 2.5 kufikia Mwaka 2030 Inaelezwa, Mamilioni ya Vijana wapo hatarini...
  19. JamiiForums Tanzania Video: Uhuni wa Mfalme Zumaridi umenifikirisha sana juu ya afya ya akili ya watu wengi

    Nimeangalia hii video kwa umakini Mkubwa na pia nimefatilia mjadala kuhusu mfalme zumaridi nimejikuta nashangaa na kujiuliza vitu vingi sana. Hiyo video hapo chini inamuonesha mfalme Zumaridi akimuamuru Michael Jackson aingie kupitia mtumishi wake atoe show kanisani 😂😂😂, na kuna watu...
  20. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya msimwangushe Rais Samia

    Baada ya Rais Mhe. Samia Suluhu na Waziri wa Fedha Mwigulu kutoa pesa za IMF kwa manunuzi ya vifaa mbalimbali hospitali za mikoa kwa nia ya kuboresha Afya, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya alikasimu mamlaka ya kununua vifaa hivyo kwa baadhi ya taasisi zilizopo chini yake. Lilikuwa wazo jema kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…