afya

  1. JamiiForums Tanzania UBORA wa elimu na ajira

    Tanzania hususani idara ya elimu bado tuna mapungufu kadha ambayo yakifanyiwa kazi basi soko la ajira litakua kwa Kasi na vijana kupungua kukaa vijiweni na kutumia mihadharati, Mfano mitaala elimu ya sasa ni tofauti na miaka ya 2000 kurudi nyuma, Tulikua na masomo kama sayansi kilimo, stadi za...
  2. JamiiForums Tanzania Abraar Education Centre tumeunda pavers zenye faida kubwa kiafya

    Katika muendelezo wetu wa kubuni vifaa vya ujenzi vya kipekee vyenye ubora wa hali ya juu na gharama nafuu, sasa tuna pavers paving bloks za kipekee Tanzania (kama sio duniani). Pavers zetu hizi tunaziita Abraar Massage Stepping Stones. Kwanza jioneneezi zilivyo, halafu tutaendelea kuwaelezea...
  3. JamiiForums Tanzania Kufungua Huduma ya Afya "Kituo Cha Afya"

    Wakuu habari za wakati huu, natamani sana kujua ABCs za kuanzisha kituo Cha Afya Cha binafsi. Je ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia? Je, Kuna mtu anaweza ku-share experience namna ya kukiendesha kwa faida? Natanguliza shukrani sana
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ni afya kwa Serikali kutoa taarifa za mapato na matumizi ya tozo ya miamala mara kwa mara

    Serikali ilipiga kampeni kali ikielimisha juu ya umuhimu wa tozo ya miamala kuwa ingejenga miundombinu mbalimbali nchini ili kuboresha huduma kwa wananchi. Mwanzo wananchi walipiga kelele juu ya utitiri wa kodi au tozo mbalimbali jambo lililofanya serikali kujitokeza na kutolea...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Uduni wa taarifa(Data), ni chanzo cha huduma mbovu za afya

    Ubora Wa Taarifa (Data Quality), Ni mnyororo wa Taarifa sahihi za mtu, kitu au huduma Fulani katokana na mahitaji au Mazingira ya Umuhimu wa taarifa hiyo. Huduma Bora ya Afya, Ni Mnyororo sahihi wa upatikanaji wa taarifa za kiafya kutoka kwa Watoa huduma, Kituo Cha Afya au kitengo maalumu kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Akina dada acheni kukaa kwa kubinuka kwenye bodaboda, ni hatari kwa afya

    Madada wa mjini Wana tabia ya kukaa kwa kubinuka kwenye bodaboda, hii inawasaidia chura kuongezeka kwa 13% mpaka 45% lakini pia ina madhara Kama kutokuvaa helment. Kuna dada namfahamu kiuno kilikataa kunyooka baada ya kupata ajali, alikuwa na hiyo tabia pia.
  7. JamiiForums Tanzania Serikali iwatambue madalali na kuweka mazingira sahihi ya wao kufanya biashara, ongezeko la vijana wenye tatizo la afya ya akili ni kubwa

    Kuna Kijana kwenye page yake kapost gari na specifications zote, kaweka bei na maelekezo kuwa punguzo lipo. Kapigiwa simu na mtu anayelihitaji gari akatoa maelekezo kuwa gari ni la mtu wake wa karibu anamsaidia kuuza hivyo afuatwe eneo alipo waende kwenye gari likaguliwe likipendwa yeye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bigirimana alifeli vipimo vya afya Ulaya, anaumwa homa ya ini

    Kuumwa ni ibada na usimuombee mtu ugonjwa ila ukweli usemwe Ulaya wachezaji wote kabla ya usajili hupimwa afya ila huku tumeona watani wanashusha tu vifaa, hatujaona wala kusikia wakipimwa afya. Mpira sio mchezo wa draft au karata, mpira ni vita unatumia energy nyingi sana uwanjani. Sasa huyu...
  9. JamiiForums Tanzania Nimepata ajira Katavi, naomba kujua mazingira ya huko

    Jamani nimepangwa hospitali ya rufaa ya mkoa Katavi. Naomba kujua mazingira ya hii hospitali yakoje? Je ni mpya au?
  10. R

    JamiiForums Tanzania Serikali na Wadau wa afya sikieni kilio hiki cha NHIF

    Siku Moja katika pita pita zangu nlikutana na Jamaa mmoja anitwa NHIF ,huyu jamaa ni mdau mkubwa sana wa Afya kwa kifupi ni kajitolea kuwatunzia pesa zao Watu kwa Ajiri ya Matibabu yao baadae . Wakati napita alikuwa mlangoni nlimsikia akilia kwa Nguvu sana akisema Ooh God ,thank you for another...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ilivyoimarisha huduza za afya

    Miongoni mwa sababu za kuongezeka umri wa kuishi kwa Mtanzania kutoka miaka 67 na miezi mitatu mwaka huu hadi miaka 74 ifikapo mwaka 2035 ni uboreshwaji wa huduma za afya. Serikali inahakikisha vituo vya afya vinajengwa karibu na makazi ya watu, miundombinu ya kufika hospitali ipo vizuri kama...
  12. JamiiForums Tanzania Je, afya ya mapafu yako ipo vizuri? Jipime mwenyewe kwa zoezi hili

    Bana pumzi kuanzia point A mpaka ufikie point B bila kuachia. Ukiweza zoezi hili basi jua mapafu yako yako vizuri
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu awatembelea pacha waliotenganishwa Muhimbili, aelezea afya zao

    Waziri Ummy Mwalimu (kulia) akiwa na mama wa watoto pacha waliotenganishwa Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amewatembelea Watoto pacha Rehema na Neema waliofanyiwa upasuaji wa kutenganishwa na kusema wanaendelea vizuri. Aliwatembelea Julai 6, 2022 na kusema amefurahishwa na hali za maendeleo ya...
  14. JamiiForums Tanzania Boris Johnson akalia kuti kavu, mawaziri wawili waandamizi wajiuzulu. Ni Waziri wa Fedha Rishi Sunak na Waziri wa Afya Sajid Javid

    Boris Johnson akiwa na Rishi Sunak na Sajid Javid Bungeni, Picha na PA. Mawaziri wawili waandamizi wa serikali ya Uingereza jioni hii wamejuzulu nafasi zao. Mawaziri hao ni waziri wa fedha Rishi Sunak na waziri wa afya Sajid Javid. Katika barua zao za kujiuzulu mawaziri hao waandamizi...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu course za afya diploma

    Habarini wana jamvi, Nina mdogo wangu kahitimu kidato cha nne na kwa masomo ya science kafaulu kwa wastani wa C. Je, ni course gani nzuri anaweza kusoma ambayo uhitaji wake ni mkubwa kwa sasa?
  16. JamiiForums Tanzania Waombaji wa ajira za kada za afya, majina yao yameorodheshwa

    TANGAZO LA KUITWA KAZINI Wizara ya Afya inapenda kuwataarifu waombaji wa ajira za kada za afya zilizotangazwa kwenye Tovuti ya Wizara ajira.moh.go.tz tarehe 16 Aprili, 2022 hadi tarehe 03 Mei, 2022 kwamba zoezi la uchambuzi wa maombi ya kazi yaliyopokelewa limekamilika. Waombaji waliokidhi...
  17. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya na ninyi toeni hiyo PDF, najua mumenipiga kibuti kama TAMISEMI

    Mwaka jana nilifanya maombi 8 ya kazi Serikalini(Tamisemi na Afya), taasisi binafsi. Nilipigwa kibuti sehemu zote, taasisi moja tu ya binafsi ndio walinipa mrejesho wa kunikataa japo kwa usahili, mrejesho wao kidogo ulikuwa unaumiza ila nilipiga moyo konde na nikaamua kukaa kimya bila kutuma...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa ajira mpya ualimu na afya

    Hizi hapa ajira mpya ualimu na afya
  19. JamiiForums Tanzania Interns wa Afya watakiwa kusimamiwa vizuri

    Watendaji katika Vyuo vya Afya na Hospitali wametakiwa kuwasimamia vizuri Watarajali (Interns) ili kuepusha kutibiwa na watu wasio wa uwezo Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi ametoa wito huo akisisitiza ubora kwenye Mafunzo yao ili watimize majukumu yao ipasavyo akisema, "Ukiacha...
  20. JamiiForums Tanzania Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

    Wana JamiiForums habari za leo Nimeona nilete Uzi huu kwanii yamebaki Masaa machache waziri mwenyedhamana kutangaza majina ya waliopata kazi kulitumikia Taifa katika kada yavualimu na kada ya afya. Hivyo basi wale mtakao fanikiwa njooni hapa tujuzane . ili uweze kupata mwenzio, .au wa njia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…