afya

  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya afya yakanusha Mabadiliko ya ratiba ya ufanyaji Mitihani

    Wizara ya afya yakanusha Mabadiliko ya ratiba ya ufanyaji Mitihani
  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya: Tango na faida zake mwilini

    Mara kadhaa tumekua tukitumia Tango kama moja ya matunda yetu. Lakini je umepata kujua kazi za Tango mwilini? Makala hii itaangazia faida kedekede za Tango katika mwili wa binadamu. Wengi wetu tumekua tukila matunda kwa kupenda ladha yake lakini hatujapata bahati ya kujua kwa undani faida za...
  3. JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa nne aliyepona UKIMWI

    Habari gani ndugu zangu wanajamvi la Habari Mchanganyiko. Habari zetu zinaanzia huko carlfonia, Marekani ambako mgonjwa wa HIV ambaye ametumia dawa za kufubaza makali ya virusi vya UKIMWI, almaarufu kama ARV, kwa muda mrefu takribani miaka 30 sasa amekutwa hana Virusi hivyo. Hiyo imetokea...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Afya ya uzazi: Upungufu wa nguvu za kiume

    UKOSEFU AMA UPUNGUFU W NGUVU ZA KIUME Mwandishi: DR. Yassayah M, 0752591744/0682080069 wa -Tegeta DSM UTANGULIZI Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume kitaalam – Erectile Dysfunction ni hali ya uume kushindwa kuamka/kusimama au kuamka kwa muda mfupi kisha kushindwa kuendelea kusimama wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Ijue Afya ya Engine ya gari yako

    Afya ya engine ya Gari lako. Je, unajisikiaje ukinunua gari baada ya muda mfupi sana ikakulazimu ufanye overhaul ya engine? Ili tuseme engine ya gari ina afya[engine mechanical health], Inatakiwa iwe na uwezo wa kuzalisha Compression pressure inayotakiwa. Bila compression hakuna gari itawaka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utoaji wa elimu ya afya na mazingira na umuhimu wake katika jamii

    UMUHIMU UTOAJI WA ELIMU YA AFYA NA MAZINGIRA KATIKA JAMII. Mazingira ni jumla ya vitu vinavyomzunguka mwanadamu. Elimu ya mazingira ni namna/taratibu/njia au mafunzo yanayoelekeza njia za utunzaji wa mazingira katika jamii.  Afya ni hali uimara kimaumbile,kijamii na kiakili au ni hali ya...
  7. JamiiForums Tanzania Je, naweza pata STI's baada ya kufanya oral sex kwa sekunde 15?

    Za jioni jamani na polen na harakati zote naomba msaada ya ishu imeni face Ni hivi leo nilikutana na demu fulani hivi mida ya saa 2 asubuh sasa nikifany oral sex kwake kwa kama 15 seconds hivi. Nauliza iv naeza pata STIs especially HIV japokua sikua na vidonda vyovyote japo jion hii ndiyo...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Afya ya akili kwa Vijana

    Habari ndugu zangu mliomo humu. Ningependa leo tutafakari kwa pamoja kuhusu hili suala la "Afya ya akili kwa vijana". Tuanze na kujiuliza kuwa; Kijana ni nani? Na kwanini afya yake ya akili iathirike zaidi kuliko kundi lingine? Si kwamba watu wazima afya zao za akili haziathiriki, la hasha, ila...
  9. JamiiForums Tanzania SoC02 Wizara ya Afya chukueni hili kwani afya zetu, anguko letu ama maendeleo yetu

    Sekta ya afya ina mchango mkubwa sana katika maisha ya kila siku kwa kila mmoja katika taifa,hii inapelekea akili yangu kuwaza sekta hii ina uelekeo gani.Je,inaleta anguko ama inaleta maendeleo katika jamii?.Tazama jinsi mnyororo wa afya ulivyo na athari katika jamii,iwapo mtu mmoja ambae ni...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Je ni kozi zisizokuwa hazikosi ajira?

    Nimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi ajira kamwe pindi tu anapotoka chuoni (fresh graduate)
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ajira za afya

    Nimemaliza pcb 2022 nimepata division 1.8 phys C chem B na Bio C natafuta course ambayo nikimaliza tu chuo nipate ajira swali langu je ni kweli kuwa kozi za afya ni kozi ambazo watu wake hawakosi ajira kamwe pindi tu anapotoka chuoni (fresh graduate)
  12. JamiiForums Tanzania Wahudumu wa afya wa ziada waitwa kumhudumia Putin baada ya afya yake kudorora

    Tarehe 22 julai rais putin alilalamika kupata kichefuchefu kisicho cha kawaida hali iliyosababisha matabibu zaidi kuitwa ili kumhudumia. Taarifa hizo zilitolewa katika mtandao maarufu wa telegram katika chaneel ya SVR inayomilikuwa na Luteni Generali wa zamani katika vikosi vya ujasusi vya...
  13. JamiiForums Tanzania Eleza vimbwanga ulivyowahi kukutana navyo hospitali, vituo vya afya na zahanati

    - Katika hospitali ya rufaa kabisa, madaktari waliokuwa zamu walikuwa wanasoma dalili za ugonjwa kwenye internet na YouTube, nilichoka sana lakini kwa bahati mgonjwa wetu alipona tulipewa daktari ambaye alikuwa ni professional zaidi. Lakini yule mgonjwa waliyekuwa wanamsomea sidhani kama...
  14. JamiiForums Tanzania Soft drinks na juisi ziwekewe onyo kuwa unywaji kupita kiasi ni hatari kwa afya zetu

    Hizi habari za soft drinks na juisi tumeiga tu kwa wazungu lakini watu weusi hazitufai kabisa. Kwanza metabolic rate ya mzungu ipo juu kuliko ya mtu mweusi. Pengine sababu ni wao kuishi maeneo ya baridi. Hivyo mzungu anachakata chakula haraka kuliko mtu mweusi. Pili magonjwa yatokanayo na...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Misingi ya kiimani katika mitaala inayowaongoza wataalamu wa afya

    Imani katika kutoa huduma za afya ni kitu bora sana ukizingatia kunamatukio mbali mbali yanayotokea kupitia huduma za afya katika mazingira ya huduma ikiwemo hospitali za serikali na binafsi pamoja na vituo vidogo vya afya. Matukio mengi yanayofanyika yanahusisha Imani potofu, na mazoea katika...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mfumo maalum wa uendeshaji wa vyuo vya Afya- Colleges Health And Allied Sciences (COHAS)

    Habari wa jamiiforums Kwa uendeshaji wa vyuo vya Afya nimeandaa mfumo maalum wa uratibu wa matokeo na ada kwa vyuo vya afya kwa ngazi ya NTA level 4,5 & 6 Mfumo huu utarahisisha kuhifadhi taarifa na kutoa matokeo kwa wanafunzi kwa wakati, Wanafunzi ambao hawajatoa ada wanaweza kuzuiwa kuona...
  17. JamiiForums Tanzania Mkuu wa CIA kasema Putin ni mzima wa afya

    Kama mnakumbuka miezi kadhaa iliyopita zilitembea rumors kwamba Putin anaumwa siujui ni kansa, wakasema anaumwa sana anakaribia kukata moto wengine walifika mbali Wakasema ameshakufa tusubiri tu breaking news , tena humu Kuna mdau ndio alikuwa kinara wa kusambaza hizo taarifa huku...
  18. JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi 746 kwa Kada ya Afya (Limerudiwa kutangazwa)

    Ofisi ya Rais - TAMISEMI inawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye uwezo na sifa za kujaza nafasi za ajira za Kada za Afya 746 kwa ajili ya Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya na Zahanati Tangazo hili linarudiwa kwa mara ya pili baada ya kukosa waombaji wenye sifa katika tangazo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Mgunda, ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini

    Wana Bodi tumesikia kuhusu ugonjwa wa Homa ya Mgunda hiki ni kipimo kingine kwa Wizara ya Afya, NIMR pamoja na Wataalam wa Afya nchini Kama ifuatavyo 1. Kuweza kutafuta ukweli wa ugonjwa huu pamoja na dalili zake 2. Kujua kutofautisha kati ya Siasa, Sayansi na Utaalamu wa kada ya Afya na...
  20. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Ugonjwa wa Mkoani Lindi ni Homa ya Mgunda (Leptospirosis)

    Waziri wa Afya Mheshimiwa Ummy Mwalimu amesema kuwa upimaji wa sampuli za wagonjwa waliokuwa wakiugua Ugonjwa Usiojulikana katika Wilaya ya Ruangwa katika Mkoa wa Lindi umethibitisha mlipuko huu kuwa wa ugonjwa wa Leptospirosis, Field Fever kwa lugha ya Kiswahili inajulikana kama Homa ya Mgunda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…