afya

  1. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nilivyoanzisha Chuo cha Afya bila kuwa na mtaji wa fedha

    Baada ya kuhitimu chuo kwa ngazi ya shahada nilipata sehemu ya kujishikiza kufundisha chuo ambacho kimsingi hakikuwa na kipato kikubwa sana kwa hivyo nilikuwa kama najitolea kwa muda wa miaka mitano. Lakini badae tulianzisha programu ya kuwanufaisha wakufunzi kupitia kuleta wanafunzi kwa maana...
  2. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya za watanzania ni rafiki kwa maendeleo ya nchi?

    Ndugu zangu nawasalimu kwa lugha adhimu kabisa ya kiswahili...... Najua wengi wetu hususani vijana wenzangu kila mara tunapoianza siku mpya kwetu ni kama kuingia vitani kupambania ukombozi wa taifa letu, haijalishi umeajiriwa au umejiajiri. Mtu yoyote anayejihughulisha na shughuli halali ni...
  3. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Upatu/ VICOBA/ Marejesho na Afya ya wanawake

    Mwishoni mwa mwezi uliopita nilikuwa natoka maeneo ya Manzese (kufuatilia jambo) kuelekea Makumbusho. Eneo nililokuwapo lina Kituo cha Daladala kiitwacho Big Brother na ndipo nilipopandia gari. Garini palikuwa na abiria wachache waliotawanyika mithili ya punje za mtama zilizotoswa ardhini. Nami...
  4. JamiiForums Tanzania SoC02 Bima ya Afya ya Jamii

    BIMA YA AFYA YA JAMII 🇹🇿 UTANGULIZI; Salamu Watanzania wote. Ni muhimu kwa nchi hasa zinazoendelea, kuwa na dira/sera ambayo ndio muongozo wa utoaji na usimamizi wa huduma na maendeleoya nchi husika. Ili nchi yoyote isonge mbele kiuchumi, inahitaji jamii yenye Afya Bora ili...
  5. JamiiForums Tanzania SoC02 Ugonjwa wa Afya ya Akili upo

    Habari ndugu mwana Jamii Forums,Umewahi kusikia kuhusu Ugonjwa wa Afya ya Akili?,pengine labda ukahisi ni kitu kidogo au Cha kawaida,hapana kina madhara makubwa hasa kwa utendaji kazi kiufanisi.Kwani ugonjwa Afya ya Akili ni nini?,Ugonjwa Afya ya Akili unatafsiriwa kwa maana tofauti kulingana...
  6. JamiiForums Tanzania Takwimu za sensa zitaboresha huduma za Afya

    Mpishi mzuri hupenda kujua idadi ya watu waliopo, ili kupika chakula cha kutosha watu wote, kauli hii inaendana na kila ambacho Serikali inakwenda kufanya katika sensa ya watu na makazi Agosti 23, kwani ili iweze kuhudumia wananchi wake ipasavyo ni muhimu kujua takwimu zilizopo na kuzitoa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari wawafanyia upimaji wa afya wazee kwenye maeneo ya makazi mjini Hefei, China

    Agosti 10, 2022, katika mji wa Hefei, eneo la makazi la Hupotan lilishirikiana na kituo cha huduma za matibabu katika mtaa wa Hupo kutoa huduma ya kupima afya kwa wazee, ambapo watu wanaojitolea na madaktari waliwatembelea wazee wenye umri mkubwa na kuwapima afya nyumbani kwao.
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy nashauri ukae na wataalamu wa afya kabla ya tamko la bei ya huduma za afya

    Nampongeza Waziri wa Afya kwa kupata updates mbalimbali za sekta unayoisimamia kwa wakati na hivyo kuwa responsive. Nikijikita katika mada, Mimi ni muumini wa sustainable health system financing yaani sekta ya afya inahitaji njia endelevu ya rasilimali fedha ili iweze kuleta tija. Mfumo wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Makusudi wanayofanya wahudumu wa afya kutoa dawa kwa watu wanaotumia bima za afya

    Kumekuwa na hii tabia ambayo wahudumu wa afya wanaifanya sana kwa wagonjwa wanaotumia bima za afya. Unakuta mtu anaumwa ugonjwa fulani anaandikiwa dawa ambayo kwa makusudi kabisa wanajua dawa husika haipo kwenye orodha ya dawa kwenye fungu la bima alilopo mgonjwa husika na ni ngumu dawa hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, tunakuomba usiishie kwa Lightness tu. Tupo lukuki ambao vitambulisho vyetu vya NIDA vimeshikiliwa Mloganzila Hospitali

    Kwanza nakushukuru Mh. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kwa kulivalia njuga hili jambo la mwanafunzi Lightness Shirima (22) ambaye baba yake Priscus Shirima alifariki Hospitali ya Mloganzila kisha wakakishikilia kitambulisho chake cha NIDA mpaka hapo atakapomaliza deni lake la milioni 9. Labda kitu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kelele , jana NACTVET/ Wizara ya Afya wametoa Ratiba ya mitihani ya vijana wa Afya

    Shame upon you! Mpaka watu walalamike ndio mzinduke. Hamstahili kuwa ofisini nyote mnaohusika na wajibu huu wa kutoa ratiba. Shame upon you!
  12. JamiiForums Tanzania MSAADA: Tatizo ni meno kuwa na rangi nyeusi (Meno 🦷)

    HABARINI ZA WEEKEND WANA JF, Natumai mu buheri wa afya. Kwa Ufupi Mimi ni kijana wa kiume miaka 22. Ni mwanafunzi wa chuo kikuu kimojawapo apa Tanzania. Nimeandika huu uzi kuomba msaada ni dawa gani nzuri ya meno au tiba ambayo itatumika kungarisha meno. Apa tatizo ni meno kuwa na rangi...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa kuwa na vituo afya vinavyosafiri

    Maelezo ya gari tiba linalo safiri Kwa maelezo zaidi vituo afya vinavyo safiri ni magari maalumu yanayotoa huduma moja kwa moja kwenye jamii husika yakiwa na idara mbalimbali za matibabu na wataalamu wa huduma kutoka eneo moja hadi lingine. Ni magari ambayo yatakuwa yana safiri katika maeneo...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Mfumo wa ajira katika Taasisi Binafsi za Afya na za Serikali

    Ijapokuwa changamoto za mfumo huu huwa zipo maeneo mbalimbali lakini napenda kujikita zaidi kwa wahitimu wa kada za Afya nchini ambao ni Madaktari, Afisa Tabibu, Wauguzi, wateknolojia Dawa, Wateknolojia Maabara na Afisa Tabibu Meno. Mifumo ya elimu kwa ajili ya kumuandaa mtu wa kusomea taaluma...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Shairi: Afya ya uchumi

    Habari yenu jamii, mko salama jamani, inaniuma namimi, twapotea hasirani, twakosa tiba kwanini, nchi ni yako namimi, leo nahitaji nipate, afya ya uchumi. watu wanahangaika, ajira zionekani, serikali kutoweka, fursa kazi hadharani, watu kazi wanataka, huishia wizi mtaani, kwanini ajira hazipo...
  16. JamiiForums Tanzania NHIF yasitisha mabadiliko yaliyokuwa yaanze 2/8/2022

    Baada ya wananchi kupigia kelele mabadiliko ya mfuko wa bima ya afya, hatimaye NHIF wamesitisha mabadiliko hayo. Hii ndio nguvu ya mitandao ya kijamii ============== Pamoja na hivyo kumetolewa taarifa mbili ambazo ni wazi zina onesha wahusika hawakujipanga, taarifa ya kwanza imetolewa na NHIF...
  17. JamiiForums Tanzania Kupunguza Fraud mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Uhudumie hospitali za umma tu

    Ieleweke kuwa kuna mlipuko wa uanzishwaji wa Hospitali binafsi almaarufu Polyclinics na Specislized clinics hapa nchini ambazo kwa maoni yangu nyingi zimejibatiza majina tu. Nyingi ya clinic hizi zinategemea malipo kutoka mfuko wa bima ya afya (NHIF) na kiukweli bila NHIF nyingi zitakufa...
  18. JamiiForums Tanzania Wizara ya afya yakanusha Mabadiliko ya ratiba ya ufanyaji Mitihani

    Wizara ya afya yakanusha Mabadiliko ya ratiba ya ufanyaji Mitihani
  19. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya: Tango na faida zake mwilini

    Mara kadhaa tumekua tukitumia Tango kama moja ya matunda yetu. Lakini je umepata kujua kazi za Tango mwilini? Makala hii itaangazia faida kedekede za Tango katika mwili wa binadamu. Wengi wetu tumekua tukila matunda kwa kupenda ladha yake lakini hatujapata bahati ya kujua kwa undani faida za...
  20. JamiiForums Tanzania Mgonjwa wa nne aliyepona UKIMWI

    Habari gani ndugu zangu wanajamvi la Habari Mchanganyiko. Habari zetu zinaanzia huko carlfonia, Marekani ambako mgonjwa wa HIV ambaye ametumia dawa za kufubaza makali ya virusi vya UKIMWI, almaarufu kama ARV, kwa muda mrefu takribani miaka 30 sasa amekutwa hana Virusi hivyo. Hiyo imetokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…