afya

  1. JamiiForums Tanzania Madhara ya Vinywaji vya kuongeza nguvu (Energy Drinks) kwa afya

    Energy drinks hutangazwa kama vinywaji vinavyoweza kuongeza nguvu na kuamsha ubongo. Matumizi ya bidhaa hii yameongezeka sana siku za hivi karibuni jambo lilaloongeza hamu ya kujifunza na kufahamu madhara yake kwa sasa na baadae. Wingi wa kemikali za caffeine huathiri utendaji kazi wa moyo na...
  2. JamiiForums Tanzania CC YA CCM: Hata kama tozo zimejenga vituo vya afya 234 na shule za Sekondari 214 bado wananchi wana hoja, zitazamwe upya

    CCM yatoa maelekezo kwa Serikali kuhusu tozo,Asante CCM kwa kulituliza Taifa, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi kuhusu tozo sambamba na kujielekeza katika kubana matumizi ya serikali na kutanua wigo wa kodi...
  3. JamiiForums Tanzania Watumishi wa JWTZ wakatiwe Bima ya Afya

    Andiko hili limechochewa na habari ya kujinyonga kwa mwanajeshi William Chacha Giriago huko Dodoma, na malalamiko ya wastaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania ambayo yako kila siku, kuhusu wao kukosa Bima ya Afya. JWTZ linajinyumbulisha kuwa lina hospitali pande zote, kuweza kutoa huduma kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Afya ya Umma ni muhimu kwa kuwa inakuza ustawi wa watu wote katika jamii

    Afya ya umma ni namna ya kulinda usalama na kuboresha afya ya wanajamii kupitia elimu, utungaji sera na utafiti wa kuzuia magonjwa na majeraha Afya ya Umma ni muhimu kwa kuwa inakuza ustawi wa watu wote katika jamii huku ikihakikisha usalama wa wanajamii na kuwalinda dhidi ya kuenea kwa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mnatuchosha wanasiasa. Mtulipishe tu huo umeme wenu laki 8, Kila kitu tumejenga shule, afya mara barabara. Hizo V8 zenu mbona hamzitaji?

    Viongozi wa serikali Kila gharama serikali inayoingia kuhudumia jamii mnalalamika wakati Kodi mnazichukua kwetu. Kwani mnataka pesa ya serikali mfanyie nini? Mbona kama V8 zenu, maposho na mishahara mikubwa mnayolipana hatulalamiki? Juzi Waziri Afya eti NHIF inapata hasara Hadi kutamani...
  6. JamiiForums Tanzania Mkakati wa kuwa na Bima ya Afya kwa wote na kuikuza NHIF

    Mheshimiwa Rais, naomba upokee maoni haya kuhusu NHIF. Ili kufikia lengo la afya kwa wote na pia kuwa na NHIF stable, ni vema kila raia wa Tanzania mwenye NIDA hadi watoto wasajiliwe na kuwa wanachama wa NHIF. Michango ya NHIF iwekwe kwenye mfumo wa TOZO kwenye bidhaa kama umeme, maji na mizigo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya ya Mama na Mtoto

    Habari, jina langu ni Miriam, na leo ningependa kuzungumza na wanajamii kuhusu afya ya uzazi kwa wakina Mama na watoto. Kumekua na wimbi kubwa la wanawake/mabinti wanaopata ujauzito kwa miaka ya hivi karibuni, kutokua na elimu sahihi juu ya makuzi ya mtoto tumboni. Moja kati ya eneo ningependa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vyuo vya afya Tanzania na duniani

    Jamani wakuu mnisaidie hapa tujulishane kuhusu vyuo vya afya vya jeshi vipoje make sivifaham kbc hata vipoje Kama Kuna mtu anauelewa atupe ma concept.
  9. JamiiForums Tanzania Changamoto ya Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kufilisika haiwezi kutatuliwa kwa mipango ya Ummy Mwalimu

    Wanabodi, Katika kipindi hiki ambacho Shirika la Bima ya Afya Tanzania (NHIF) linafilisika, ni vyema kufahamu jitihada zinazo chukuliwa na serikali kuhakikisha kwamba watanzania walio jiunga na mfuko huu wanaelendea kupata huduma. Kwanza kabisa tujaribu kuangalia athari ya shirika hili...
  10. JamiiForums Tanzania Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya? Ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na sufuria?

    Habari yenu ndugu zangu, Maji ya kuchemsha na maji ya chupa yapi ni salama zaidi na yenye afya? Je, ni sawa kuchemsha maji ya kunywa kwenye birika ya umeme tofauti na kawaida tulivyozoea kuyachemsha kwenye sufuria kwa jiko la gesi au mkaa?
  11. JamiiForums Tanzania Ili watoto wawe na Afya Njema ni muhimu kuwapa chakula kipi Specific?

    Unakuta watoto hawana afya ya kuridhisha hata ukiwaangalia kwa macho tu. Lakini Kuna Watoto wa familia nyingine ukiwatazama Wana Afya nzuri. Naomba kuuliza ni nini kitamfanya mtoto aonekane kuwa na Afya Njema hata Kwa kumtazama tu?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa ameziagiza halmashauri kushirikiana na taasisi za dini zinatotoa huduma za afya nchini

    WAZIRI BASHUNGWA AMEZIAGIZA HALMASHAURI KUSHIRIKIANA NA TAASISI ZA DINI ZINATOTOA HUDUMA ZA AFYA NCHINI. OR TAMISEMI - Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amewaagiza Wakurugenzi na Waganga Wakuu wa Halmashauri zote nchini...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa afya unayajua haya ya Ludewa?

    Kwanza pokea pongezi za dhati nimepita wilayani ludewa mwezi uliyopita nimeona eneo la hospitali ya wilaya ni kubwa na majengo ya watumishi. Ujenzi wa jengo la mochwari unaendelea hongera. Lakini pamoja na pongezi sasa nataka kukusoa utendaji wa baadhi ya wahudumu pale yani wagonjwa unakuta...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa wanaosoma Diploma za Afya njooni tujadiliane hapa siri ya kwenda degree vyuo vya serikali tu

    Natumai muwazima wa afya wana JF. Asikudanganye mtu yoyote siri kubwa ya kwenda degree ya afya ukitokea diploma ni kupata G.P.A KUBWA (KUANZIA 4.5 MPAKA 5.O) Ukipata hiyo G.P.A Hakuna chuo chochote kwa hapa Tanzania utachokosa mkuu haijalishi Umeipatia wapi hiyo GPA yako kubwa maana hawaangalii...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Afya katika imani potofu

    Nakala yangu hii nitazungumzia AFYA katika IMANI POTOFU, Imani yangu kupitia Nakala hii itasaidia kuleta MABADILIKO KWENYE JAMII, Nitatumia Sayansi ya Uumbaji katika hili, lakini kabla ya kwenda kwenye Mada husika, kwanza tuijue hii Sayansi ya Uumbaji ni nini!? Sayansi ya Uumbaji ni MSINGI wa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Nashauri elimu na afya ziingizwe kwenye Wizara za Muungano

    Katibu inaweza kubadilishwa kwa manufaa ya taifa. Ushauri wangu, Zanzibar hainufaiki kwa elimu na afya kwasababu ya udogo wake. Tanzania bara tuna nufaika na kutumia mbinu zinazofanana kuanzia kujenga shule, maabara, hospitali na vyuo vya afya. Wenzetu wa Zanzibar wanapata shida maana hizi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu ushindani wafanyakazi wajiunge na bima ya afya wanayoitaka

    Hadi sasa kuna kampuni nyingi za bima ya afya nchini ikiwemo NHIF. Cha ajabu, katika mazingira sawa ya kibiashara licha ya NHIF kuwa na upendeleo wa kuwa na wanachama wengi kuliko kampuni zote za bima nchini kwa kujaziwa wanachama lukuki kutoka serikalini na taasisi za serikali, ni NHIF pekee...
  18. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya

    AFYA Afya ni Hali ya kuhisi vizuri kimwili na kiakili, afya ni chachu ya maendeleo katika Kila sekta. Tukianzia na madawa, ningependq kuona serikali inatoa kipaumbele Cha kwanza kwenye uagizaji wa dawa kutoka inje, iweke mipango madhubiti ya kukagua ubora wa madawa hayo, kabla hayajaingia...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Heri kubaki na afya njema kuliko kutafuta matibabu bora

    Awali ya yote, nipende kumshukuru Mungu mwenyezi atupae uhai na uzima bure, pamoja na afya kwa wana jamii forum wote. Afya njema iko juu ya mali na utajiri. Afya bora ni zaidi ya umaridadi au umashuhuri, na tena afya ni zaidi ya kutokuwa na ugonjwa. Zipo tafsiri mbalimbali juu ya afya ikiwemo...
  20. JamiiForums Tanzania Senegal: Wahudumu 3 wa afya wakamatwa kwa uzembe baada ya kifo cha mama na mtoto wakati wa kujifungua

    Daktari wa magonjwa ya wanawake, daktari wa ganzi na muuguzi wa wa hospitali ya Kedougou wanashikiliwa kwa mahojiano kutokana na tuhuma za uzembe katika upasuaji uliosababisha kifo cha mjamzito na mwanae baada ya kudaiwa kupoteza damu nyingi Chama cha Madaktari wa Wanawake na Madaktari wa Uzazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…