afya

  1. JamiiForums Tanzania 'Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote 2022'. Je, unapata Huduma za Afya zenye Ubora?

    Kila Desemba 12 ya kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Huduma ya Afya kwa Wote ambayo inalenga kutoa wito kwa Viongozi kufanya Uwekezaji wenye Tija na kuharakisha juhudi za kuelekea katika mpango wa 'Afya kwa Wote' Katika kujenga 'Dunia Tunayoitaka', kila Mtu kila Mahali anaweza kupata Huduma...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta hospital yenye daktari mzuri wa koo

    Nitapata wapi specialist wa koo mzuri Dar es Salaam. Inafika miezi mitano sasa nasumbuliwa na koo.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli huduma za afya zimeboreshwa?

    Rais Samia Suluhu anaendelea kuboresha sekta muhimu zinazomlenga direct mwananchi na sekta ya afya aliipa kipaumbele, Serikali ilitenga bajeti katika sekta ya afya shilingi Trillion 1.1 ili kukamilisha mahitaji yote yanayotakiwa katika sekta hiyo ikiwemo ununuzi wa vifaa tiba, ujenzi wa vituo...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiona dalili za mimba kuharibika nenda kituo cha afya usipate huduma ya kienyeji

    Mwanamke yeyote ambaye mimba imetoka au kutolewa anatakiwa kupata huduma ya afya ya uzazi kwa kuokoa Maisha yake katika kituo chochote cha afya kilichopo karibu yake. Huduma hii ni salama akiipata kwenye kituo cha afya kwani ataweza kupata huduma ya kusafishwa kizazi , atapata ushauri wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kituo cha afya chazinduliwa bila choo Ikungi, Singida. MoH mko wapi?

    Na Gregory Jumbe Mahanju, Tunaambiwa kua uyaone, tembea uone mengi, ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Hizi methali nilipokua mdogo nilidhani tu misemo tu ya waswahili làkini kumbe ni ukweli wenyewe unaotendeka kwenye jamii yetu. Katika hali ya kustaajabisha kabisa, baada ya Malalamiko...
  6. JamiiForums Tanzania Mfikishe Mkeo Kileleni na Afya ya Uume

    Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Angalizo: Andiko hili linawahusu watu wote wenye umri kuanzia miaka 18 waliyokwenye ndoa. Iwe ndoa ya kimila, kidini au kiserikali. Isihesabike niliandika ili kuhamasisha ngono, bali kwaajili ya waliyoruhusiwa kufanya tendo la ndoa. Nami...
  7. JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE atafutiwe Mtaalam wa Tiba ya Kisaikolojia, mafanikio ya Yanga yanaweza kuhatarisha afya yake

    Kwanza kabisa nimpongeze Gentamycine kwa kuwa shabiki wa mpira zaidi kuliko shabiki wa timu, Ni mtu ambae Timu yake ikicheza hovyo hawezi kumezwa na ushabiki kuipamba, hata kwa haya mafanikio ya Yanga huwa hasiti kukubali kwamba Yanga wapo mbele kitu ambacho ni nadra kwa shabiki wa Simba, Lakini...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Umaskini wa nchi za Afrika ni matokeao ya kukataa kukosolewa. Unapokosolewa ni afya kwa nchi yako. Kubali kukosolewa, badilika au achia ngazi

    Kwa asilimia kubwa mimi nawakubari wazungu.kwanza wanatumia akili sana kutatua mataizo yao tofauti na sisi wa Africa tunaotaka mambo yetu yote yaamliwe na mizimu (babu zetu wa kale) au Muumba wa mbingu na nchi.katika maandiko matatakatifu tunaambiwa """ watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa...
  9. JamiiForums Tanzania Ripoti Afya: Asilimia 76 ya watu wazima Tanzania hawapigi Mswaki

    Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya kuhusu Afya ya Kinywa nchini umeonesha zaidi ya Watanzania Milioni 47 wameoza Meno na sababu ikitajwa kuwa ni kutosafisha mdomo inavyopaswa. Pia, Mkurugenzi Msaidizi wa Kinga na Meno kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Baraka Nzobo amesema uchungizi wao umebaini...
  10. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa kituo cha Afya Ikungi - Singida, Mashaka matupu mwaka unaisha ujenzi haueleweki

    IKUNGI-SINGIDA Na Gregory Jumbe Mahanju, Wakati Mama yetu anaendelea kujipambunua kutafuta pesa kwa wahisani ili kutekeleza ilani ya CCM, huko Wilaya ya Ikungi mkoani Singida katika kata za Ntuntu na Irisya tangu pesa zitolewe miradi ya ujenzi wa vituo vya afya katika kata hizo haijakamilika...
  11. JamiiForums Tanzania Afya: Kubadilishana vituo vya kazi

    Habari zenu wapendwa. Mimi EN, njoo Arusha/Arumeru nije Kyela Mbeya. DM me
  12. JamiiForums Tanzania Sababu Muswada wa Bima ya Afya kwa wote kukwama tena Bungeni

    Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHC), ambao kwa miaka zaidi ya mitatu umekuwa ukikwama kuwasilishwa bungeni, kwa mara nyingine umegonga mwamba kujadiliwa na kupitishwa kwa kile kilichoelezwa kukosekana kwa chanzo cha fedha kitakachowezesha utaratibu huo kuwa endelevu. Muswada huo ulitegemewa...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Kinyama kimeota sehemu za siri

    Habari zenu wana Jamvi, samahanini kidogo niwatake wenye kujua suala hili waweze kunijuza na namna linaweza kutatuliwa. Jambo lenyewe ni kuhusu Afya ya uzazi wa mwanamke, mimi mke wangu katika sehemu zake za siri (ukeni) kuna kama kinyama kimeota na humsababishia maumivu Makali Wakati wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mishahara kada za Afya iongezwe, wanahatarisha sana maisha yao

    Watoa huduma za afya wana maisha magumu sana kulinganisha na kazi wanazozifanya. Kwa kiasi kikubwa wanahatarisha sana maisha yao kutokana na idadi kubwa ya wagonjwa wanaowahudumia, wapo katika risk kubwa ya kuwa contaminated. Licha ya hivyo wanafanya kazi muda mrefu mno. Serikali wawaangalie...
  15. JamiiForums Tanzania Je, unaweza kumpa wanafunzi au mwanao Elimu ya Afya na uzazi wa mpango?

    Dunia ya sasa imebadilika sana. ni ukweli uliowazi kabisa kuwa ngono kimekuwa sio kitu cha siri sana. Na uwepo wa ujuaji wa watoto kuhusu ngono umechochewa na mabadiliko mbalimbali yaliyopo ikiwemo Utandawazi kama vile Simu za mikononi, Television na hata muingiliano wa tamaduni za jamii...
  16. JamiiForums Tanzania Ninasumbuliwa na homa mjuzi anisaidie kuhusu homa

    Za mida wakuuu natumai ni wazima Kwa wiki ka 8 iv nasumbuliwa n homa.kali sana ambayo.kuna muda hua unalungua . Nilijarbu kuenda ku test HIV. TYPHOID N MALARIA PAMOJ N MKOJO wiki kama 3 zilizopita nkaambiwa shida ni TYPHOID tu na nikapewa dawa cipro, ambayo n dozi ya wiki mbili ila sasa. Ni...
  17. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya kuzindua Chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi Nov 26, 2022

    Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema Novemba 26, 2022 watazindua upya utoaji wa chanjo ya Saratani ya Mlango wa kizazi nchini kwa wasichana ili kuwakinga dhidi ya aina hii ya saratani. “Tulianzisha sisi chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana (HPV vaccine), ikaanza...
  18. JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote ni neema kwa Watanzania wote

    BIMA YA AFYA KWA WOTE NI NEEMA KWA WATANZANIA WOTE Na Amosi Richard Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema “Ni kupitia bima ya afya kwa wote ndipo tutaweza kutoa matibabu kwa kila Mtanzania anayeishi ndani ya nchi yetu. Mfuko huu utahakikisha mtu...
  19. B

    JamiiForums Tanzania DC Ikungi awapeleka watatu TAKUKURU kukwamisha ujenzi kituo cha afya Irisya wamaliza milioni 500 ujenzi haujakamilika

    Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro leo tarehe 01/11/2022 amemuelekeza mkuu wa takukuru wilaya ya Ikungi kuanza uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili watumishi watatu waliokuwa wanasimamia ujenzi wa kituo cha afya kata ya Irisya tarafa ya Sepuka jimbo la singida magharibi Pamoja na hatua...
  20. JamiiForums Tanzania Watendaji Chuo cha Muhimbili watakiwa kujitathimini, wapewa miezi mitatu ya uangalizi

    Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameutaka Uongozi wa Chuo cha kati Elimu ya Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUCOHAS) kujitathimini katika uwajibikaji wao na namna ya Uongozi unavyoendesha mambo yake. Prof. Makubi ameyasema hayo Oktoba 30, 2022 wakati alipokitembelea chuo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…