afya

  1. JamiiForums Tanzania Fahamu Sababu za Maumivu ya korodani na nini ufanye upatapo tatizo hili

    Wiki iliyopita tulieleza kwa urefu tatizo la kuvimba korodani, leo tunaendelea kufafanua tatizo hili na tutaeleza nini ufanye upatapo tatizo hili. Ni kwamba ugonjwa unaoathiri korodani na kuifanya ivimbe, inaweza kusababishwa na bakteria au virusi. Kutokana na maambukizi ya vimelea hivi...
  2. JamiiForums Tanzania Faida na tahadhari za mboga za spinach kwa afya

    Spinach ni mboga yenye faida nyingi kwa afya ya binadamu. Baadhi ya virutubusho vinavyopatikana kwenye mboga hii husaidia mwili kusafirisha vizuri hewa ya Oxygen, kutoa kinga dhidi ya magonjwa, kuongeza uzalishwaji wa damu pamoja na kuboresha afya ya macho, ngozi, nywele na mifupa. Pamoja na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi MUNGU Aendelee Kumjalia Afya njema Rais Wetu Mama Samia Katika Kuelekea kufunga miaka Miwili ya mafanikio na Matumaini katika kila secta.

    Ndugu zangu watanzania, Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anaelekea kufunga miaka Miwili Tangia alipoapishwa kuwa Rais wa Taifa Letu,Imekuwa Ni miaka ya kazi,miaka ya utumishi uliotukuka,miaka ya kujenga umoja wa watanzania,miaka ya kushikamana Kama Taifa,miaka ya kupanda na...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Nimeanza kuona uzembe kwa Watumishi wa Afya, Tutawawajibisha

    Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo baada ya Watumishi 2 wa Afya, Rose Shirima na James Getogo kutoka Zahanati ya Ishihimulwa, Tabora kuonekana wakijibizana kuhusu kutumia Vipimo vya #Malaria vinavyodaiwa kuisha muda wa Matumizi. Ummy amesema “Nimeona clip Mtu anang’ang’ana kumpima Mgonjwa Malaria...
  5. JamiiForums Tanzania Ukikosa Bima ya Afya hupati Leseni ya Udereva kuanzia mwaka 2026

    Serikali imesema muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote ukipitishwa na kuwa sheria na kuanza kutumika mwaka huu, mwananchi yoyote ambaye hatakuwa na bima hiyo kuanzia mwaka 2026, hataweza kupata huduma zingine ikiwamo leseni ya udereva. Kauli hiyo imetolewa leo na mjumbe wa sekretatieti ya...
  6. JamiiForums Tanzania Hatua za kukabiliana na joto la Dar es Salaam

    Kwa hali ilivo Dar es Salaam wakati huu sio ya kawaida. Joto lililopo wakati huu linatukumbusha kufanya vitu vingi sana kwanzia kwenye miili yetu mpaka maeneo tunayoishi au kushinda. Unapaswa kunjwa maji mengi ya kutosha, kama hauendi haja ndogo mara kwa mara na ukienda mkojo unakua na rangi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

    Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara. Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri. Mamlaka ziangalie jambo hili
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwako Ummy Mwalimu - Mbunge wa Jiji la Tanga na Waziri wa Afya

    Heri ya mwaka mpya!! Odo Ummy wakati unatembelea hospital huko Dar bas huku tanga hospital ya mkoa, hospitali ya Bombo ni jipu. Nieleze kisa kifupi, mwezi ulioisha tulikua na mgonjwa, ni mama mjamzito uzuri alijifungua kwa uzur kabisa shida inakuja hio bill, Wanabambikia watu mnoo yani...
  9. JamiiForums Tanzania Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote ndiyo utakuwa mkombozi wa afya za Watanzania. Tushauri uundwe vizuri

    Huduma ya afya ni haki ya msingi kwa kila mtanzania. Ni wajibu wa serikali kuweka utaratibu wa kuwezesha kila mtanzania anapata haki hii ya msingi. The Healthcare must be easily accessible and affordable to every tanzanian. Huko nyuma hadi mwaka 1998 huduma hii ilikuwa inatolewa bure na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya isiwe lazima, Serikali msitake faida tu, wekezeni

    Amesikika Waziri Ummy akidai wadau wanataka bima ya afya kuwa lazima. Amekwenda mbali kuonesha wastani wa mapato ya chini ya mtanzania kuwa 137,000/- kwa mwezi. Ingependeza tukajua wastani wa mapato kwa mwezi kwake yeye kama waziri ni kiasi gani. Wadau wataka ulazima bima ya afya Kwanini...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa kukokotoa tukitumia takwimu za sensa, TSh 30,000 kwa kaya kwa Bima ya Afya kwa Wote inawezekana

    Huduma ya afya ni haki ya msingi kwa kila mtanzania. Ni wajibu wa serikali kuweka utaratibu wa kuwezesha kila mtanzania anapata haki hii ya msingi. The Healthcare must be easily accessible and affordable to every tanzanian. Huko nyuma hadi mwaka 1998 huduma hii ilikuwa inatolewa bure na...
  12. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Kuna ongezeko la kasi la UVIKO-19 nchini

    Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Afya zimeonesha ongezeko la wagonjwa wa Uviko-19 nchini kutoka asilimia 4.1 hadi asilimia 5.5. Takwimu za wiki ya kwanza ya Novemba 2022 zinaonesha kati ya watu 1,154 waliopima Uviko-19, waliokuwa wanaugua ni 47, huku takwimu za wiki ya pili zikionesha kati ya...
  13. JamiiForums Tanzania Tunajenga Taifa la Wajinga Kujinufaisha Kisiasa - Ati Trilioni 13 zatekeleza miradi ya afya, elimu Mbeya

    Ati Mkoa wa Mbeya umetumia Trilioni 13 kutekeleza miradi mbali ya maji, elimu na afya kwa mwaka 2021/2022. Hii ikiwa ni zaidi ya robo ya bajeti Taifa iliyotengwa na serikali kwa mwaka wa fedha 2021/2022 ambayo ilikuwa ni kiasi cha trilioni 41. Ikiwa kila mkoa umetumia trilioni kiasi kama hicho...
  14. JamiiForums Tanzania Senegal: Mwandishi anayeshikiliwa, afya yake yawa tete baada ya kugoma kula

    Pape Ale Niang, ambaye anajulikana kwa kuandika maandiko yanayoikosoa Serikali amekimbizwa hospili kutokana na kuweka mgomo wa kula akipiga mashtaka dhidi yake. Niang alikamatwa Novemba 6, 2022 akidaiwa ‘kufichua habari zinazoweza kudhuru ulinzi wa taifa’. Alifanya mgomo wa kula Decemba 2, 2022...
  15. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Mkopo wa Shilingi Trilioni oni 1.8 kwa Tanzania kwa ajili ya Sekta ya Afya na kuimarisha Uchumi

    Habari wadau. Benki ya Dunia kupitia dirisha la kusaidia Nchi masikini la IDA ,imeidhinisha mkopo nafuu wa dola za Marekani Milioni 775 sawa na shilingi Tilioni 1.8 kwa ajili ya Tanzania.. Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa na WB na kinukiliwa na gazeti la daily news,mkopo huo Ni kwa ajili ya...
  16. JamiiForums Tanzania Tunataka kuishitaki wizara ya afya, nisaidieni kujua kampuni nzuri ya mawakili

    Ni watanzania takribani 100 tumejichanga kutafuta haki yetu ambayo wizara afya imetunyima kwanjia ya mazungumzo. Tunatafuta kampuni nzuri ya uwakili ambayo inaweza kutusaidia swala letu kupata haki. Fedha ya consultation na kuendesha kesi tayari tunayo . Tunaomba kusadiwa wawasiliano ya...
  17. JamiiForums Tanzania Video ya Rais wa Sudan Kusini akitokwa na haja ndogo yazua maswali kuhusu afya za viongozi

    Katika tukio lisilo la kawaida, Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir mwenye miaka 71 ameonekana akitokwa na haja ndogo wakati wa hafla ya Kitaifa na wimbo wa Taifa ukipigwa. Kitendo hicho kinaibua maswali kuhusu hali za kiafya za viongozi wengi duniani kuendelea kukaa madarakani hata baada ya umri...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Wanaokata Bima ya Afya wakiwa wagonjwa wanatishia ustahamilivu wa Mfuko

    Mdau kwenye mtandao wa Twitter ametoa hoja yake kuhusu bima na kuwatag Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, Viongozi wa Taasisi ya NHIF na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima. Ameandika: “Kilio cha Wazazi wengi kwa Sasa ni Swala la Ku Apply Bima ya...
  19. JamiiForums Tanzania Tabia hii kwenye vituo vya kutoa huduma za afya haipo sawa

    Habarini, Kuna tabia imejengeka kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya (hospitali, zahanati, vituo vya afya) ambapo mteja baada ya kumaliza kuhudumiwa, analazimika kuacha karatasi ambayo ina taarifa za msingi kuhusu mgonjwa husika. Karatasi hiyo inakuwa na taarifa za aina ya vipimo na majibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…