afya

  1. JamiiForums Tanzania Iringa: Wananchi wahofia kufanyiwa Upasuaji kwenye Kituo cha Afya kisicho na Jenereta

    Mganga Mfawidhi wa Kituo hicho, Dkt. Selestini Vulua amesema kituo hicho ni kati ya Vituo 6 vilivyopo kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi ambapo kinahudumia Kata 7 na Vijiji zaidi ya 30 kwa Huduma ya Upasuaji. Dkt. Vulua amesema "Kuna wakati unafungua Tumbo la Mama halafu Umeme wa TANESCO...
  2. JamiiForums Tanzania 40% ya Wagonjwa wanaotibiwa Saratani Hospitali ya Bugando ni Wanawake wenye Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Mkuu wa Idara ya Saratani wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dkt. #NestoryMasalu amesema 40% ya Wagonjwa wote wanaotibiwa tangu mwaka 2009 ni Wanawake wenye #Saratani ya Shingo ya Kizazi. Dkt. Masalu amesema #Bugando inahudumia Wagonjwa wapya 1,500 wenye tatizo la Saratani kwa mwaka huku zaidi ya...
  3. JamiiForums Tanzania Faida za Muswada wa Bima ya Afya kwa Wananchi wa Kawaida na Masikini

    Naikumbuka vizuri sana siku ya tarehe 6/04/2021 ambapo Rais wangu mpendwa Mama Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali pale Ikulu yetu, alisema kuna suala la Bima ya Afya kwa Wote, wataalam kaeni mlimalize hili, tuleteeni Serikalini tulijadili ili tuone kama linatekelezeka kwa kiwango gani. Agizo...
  4. JamiiForums Tanzania Ufaulu huu anaweza kusoma kozi gani nzuri ya afya?

    habari za humu? Huyu dogo amepata three ya 23 na matokeo kama ifuatavyo; Civic-D, Hist-D, B/Math-F, Eng-D, Biology-C, Kiswahil-B, Physics-D, Chemistry-D
  5. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya anaweza kusoma kozi yoyote na ipi ya afya?

    Habari za humu ndani? Bila shaka wote ni wazima. Nina mdogoangu amepata division 3 ya 23 na ufaulu wake ni: physics-D CHEMISTRY-D BIOLOGY-C B/MATH-F ENG.-D
  6. JamiiForums Tanzania Mjane wa mpendwa wetu, alhamdulilah ana afya nzuri kweli

    Mwenyezi mungu amjalie utulivu na afya iliyo njema.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Sekta ya afya yazidi kuimarika chini ya Serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita imekua na mwendelezo mzuri sana sekta ya afya, imejenga zahanati 786, na vituo vya afya 471, pia imekarabati na kuboresha huduma katika hospitali za almashauri 154, Bila kusahau mkoa wa kigoma ambao kimaendeleo ulisahaulika sana, nao umepata mashine ya CT-scan kwa mara...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Lengo kuu la Bima ya Afya kwa Wote inayopendekezwa ni kwa Serikali kukusanya mapato zaidi

    Tangu tupate uhuru, serikali ya Tanzania haijawahi kuwa na nia njema kwa wananchi wake; kisiasa, kiuchumi, wala kiafya. Kodi tunazolipa hazitumiki kuinua hali ya maisha ya wananchi bali kuneemesha viongozi na ndugu zao. Kwa mfano; serikali kununua gari la Tshs 400m kwa ajili ya mkuu wa wilaya...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Changamoto kubwa inayowakabili Watanzania kupata Huduma za Afya ni gharama

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa changamoto kubwa inayowakumba Watanzania katika kupata huduma za afya ni gharama kuwa juu, hivyo amesisitiza wadau kuwahamasisha kuwa na bima ya afya ambayo amedai kuwa itawawezesha kupata matibabu kwa urahisi. "Ukiwauliza Watanzania leo changamoto...
  10. JamiiForums Tanzania Faida ya kula karoti kwa afya ya mwili wako

    Asilimia kubwa tunapenda kutumia karoti katika kuunga katika mboga ya nyama na si kuila karoti kama karoti. wataalamu wanashauri ili uwe na afya bora unatakiwa ule karoti sita kwa wiki au moja kwa siku. Unaweza kula karoti ya kuchemshaa,juisi au mbichi Faida ya kula karoti ni kama zifuatazo i...
  11. JamiiForums Tanzania Fahamu chakula unachopaswa kula ukiwa na zaidi ya miaka 40

    Chakula ni kirutubisho muhimu sana kwa wanadamu na maisha hayangewezekana bila lishe bora. Hata hivyo licha ya umuhimu wa lishe kwa mwili wa mwanadamu, wataalamu mara nyingi huwa wanazingatia faida za lishe bora na kiwango cha chakula ambacho mtu anapaswa kula kwa ajili ya afya yake. Wataalamu...
  12. JamiiForums Tanzania Vitamini D: Faida zake kwa afya ya binadamu

    #VitaminD hupatikana kwenye Vyakula vichache sana vya asili kama Samaki, Maini, Mayai (hasa ya Kienyeji) na Jibini. Pia, Mwanga wa Jua huzalisha Vitamini D ya asili inayosaidia katika vitu vifuatavyo #Mifupa: Vitamini D huusaidia mwili kuongeza ufyonzaji na matumizi ya Madini ya #Calcium...
  13. JamiiForums Tanzania Mamia wajitokeza kuchangia damu MOI wapewa elimu ya umuhimu wa Bima ya Afya kwa wote

    Mamia ya Wanafunzi kutoka vyuo vikuu na kati vya jijini Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi kuchangia damu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwaajili ya kusaidia wagonjwa wenye uhitaji wa damu ambapo zaidi ya chupa 300 za damu zimepatikana kupitia zoezi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Je, Mtu mwenye Kansa, anaweza akapewa Bima Binafsi?

    Ubaguzi mwengine wizara ya Afya. Nina jirani yangu kapatikana na kansa. Tiba yake kaambiwa ajiandae na zaidi ya sh mil 5 cash. Kaulizia iwapo akikata bima kama ataweza kupata tiba. Kaambiwa so ya private; labda apatikane mfanyakazi aliyeajiriwa hivi karibuni na amwandikishe kama mke wake...
  15. JamiiForums Tanzania Faida ya mboga za majani kwa afya

    Hakuna aina moja ya mboga za majani inayotosha kukupatia virutubisho vyote muhimu ili uweze kuimarisha afya yako. Ni muhimu kutokutumia aina moja ya mboga kila siku kwa kuwa haiwezi kukupatia virutubisho vyote unavyohitaji, bali jitahidi kuchanganya au kubadili mara kwa mara ili uweze kunufaika...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano wa afya kati ya China na Afrika wapiga hatua kubwa katika miaka 60 iliyopita

    Kwenye kitongoji kilichoko kusini mwa mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, kuna jengo moja la kisasa linalong'aa chini ya anga ya bluu na mawingu meupe. Jengo hili ni awamu ya kwanza ya mradi wa Makao Makuu ya Kituo cha Kudhibiti na Kukinga Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) unaofadhiliwa na China...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya tusaidie kufuatilia daktari wa Lugalo aliyechangia kifo cha huyu dada

    RIP sis Angel, Jirani, dada, mwanamazoezi mwenzangu leo umelala nyumba yako ya milele. Mh Waziri wa Afya narudia kuwapongeza humu niliwahi kuandika vitendo vya hospitali Kijitonyama juu ya mzee wangu mkafuatilia na wahusika wakakutana na waliyoyatafuta. Leo naja na kisa hiki cha kuhuzunisha...
  18. JamiiForums Tanzania Mjamzito ana Bima ya Afya lakini ameambiwa alipe cash kufikisha malipo ya huduma ya kujifungua

    Wakuu habari Nina Rafiki yangu ambae mkewe alikua mjamzito, lakini sasa ameshajifungua. Sasa wakuu changamoto baada ya kujifungua ameambiwa bima yake inacover 1.5M tu ya gharama za kujifungua. Gharama iliobaki ya 280,000 anatakiwa alipie cash ili akamilishe gharama zote za kujifungua. Nina...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaojifanya wagumu kupatikana kimapenzi, wengi wao hawana mahusiano yenye afya

    Kuna aina 3 unaweza kuwa-group wanawake, aina ya 3 ni wale ambao mtaani wana sifa ya kugawa papuchi karibia kwa kila mwanaume, aina ya 2 majority ya wanawake wako hapa utakuta Akiongozwa anamkubali huyu, anaMkataa yule. Aina ya kwanza ndo wanawake ambao mtaani, wana sifa ya kukataa kila...
  20. JamiiForums Tanzania Je, hauna furaha kabisa na hujui chanzo chake na kila njia unatumia haileti matumaini kwako?

    Kukosa furaha kabisa kwa muda mrefu sana bila sababu yoyote ya msingi huwa ni kiashiria cha tatizo sugu ambalo unakuwa upo nalo kwa muda mrefu sana bila kulipatia ufumbuzi. Kuna tatizo la kisaikolojia ambalo huitwa PTSD -KIWEWE CHA MATUKIO YENYE KUUMIZA, KUHUZUNISHA NA KUSHTUA SANA. Ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…