Wana Jamii Forum nawasalimu sana wote, wakubwa kwa wadogo.
Nina shida ya Afya!.
Naombeni msaada; Juzi Jumapili iliyopita, mafua yalinianza na kwa kuwa huwa inanishikaga nikadhani kawaida tu lakini cha kushangaza ni kwamba nilianza kukohoa kikohozi kikali japo sio kavu na nilienda Hospital...